Pua yangu inauwezo wa kui-detect hiyo gari kama ipo karibu najua mnyama yupo around hapa.Utakuwa unao mpango wa kuimiliki. Vizuri sana. 🤗
Puma one of my favorite brand! Niliwahi kupewa zawadi ya viatu Puma 2.0 mwaka 2015, havikuweza kunifika vilikuwa vidogo. Nikampatia binti fulani kila alivyovaa nilikuwa naona kama malaika hivi.Puma,
One Plus
Yes sizipendiNaamini hii ni chapa ya Televisheni, sio?!
Kuna Sunbelt hutojutaNimewaza Sana... Leo nimenunua mafuta ya Sundrop ya Alizeti..Ni mazuri... Lengo lilikuwa kununua Lita moja...ila zimeadimika... nikanunue tatu...
Sundrop mafuta ya Alizetu...ndo Chapa ilokuja kichwani[emoji29]
Kuhusumu Simu...Sina aina Simu naifikiria..hata nikiwaona wenye iPhone Roho hainishtuki.... Wala sijali
kookaburra ni mtumiaji wa Bosch nadhani wanayo matoleo yao.Nimekumbuka..natamani Sana kuwa na Oven... Ila sijui kuhusu kampuni zitengenezao oven......
Hata ningezijua...Sina hela
Mimi ni mtumiaji kiasi wa bidhaa za Azam, hasa Ice Cream.Azam.
Zimewahi kukuangusha/disappoint in any way?Yes sizipendi
Dah! Nimecheka sana mkuu, jitume kwa kadri utaweza kuwa nayo. Hakuna kinachoshindikana weka nadhiri.Pua yangu inauwezo wa kui-detect hiyo gari kama ipo karibu najua mnyama yupo around hapa.
Nikiiona shingo inakuwa ina unageuka automatcally bila ruhusa yangu mpaka itapopotea ndio shingo itanisikiliza.
Nikiimiliki pale kwenye Plate nitaandika ELENEST jina langu harisi hilo.
Hakika! Mpaka kilio chetu kisikike. Popote pale uwapo ofisini, nyumbani, mtandaoni, barabarani ni #WeNeedPayPal #TunatakaPayPal #TufunguliePayPal#WeNeedPayPal #TunatakaPayPal #TufunguliePayPal
Nadhani wewe ni mtu wa Electronics na Engineering.!! | Pioneer unafikiri kwa sababu gani zaidi?Yamaha, denon, jbl, pioneer, Klipsch, Jamo, svs.
Hizo zote ni mambo ya sound system.Nadhani wewe ni mtu wa Electronics na Engineering.!! | Pioneer unafikiri kwa sababu gani zaidi?
Yes ndio maana nimekuweka katika fields hizo has Engineering! Wewe ni mtayarishaji muziki au sound engineer?Hizo zote ni mambo ya sound system.
Nimeyaona Mengi..sijui ikraam...namengine...Ila naona Sundrop ndo ilikua. Kichwani..coz mafuta ya Alizeti yalia adimika..nikaenda kupima Yale ya kwanzia hero nikapewa futa la alezi Jeusiiii.... Nikaona Sundrop ya ya litamoja... Nikaona inavyo nga'aaa...nikachana na Yale meusi...nikanunue SundropKuna Sunbelt hutojuta
Mkuu umeniwahi. Nunua sigara kali vuta hapo nakuja kulipiaLand lover Discover 4
Nipe namba unayotumia kupokea pesa wewe ni mtu muhimu nchiniMkuu umeniwahi. Nunua sigara kali vuta hapo nakuja kulipia
sijui kwanini sizikubali disco 4 naikubali disco 2Land lover Discover 4
Sababu zipi zinakufanya kufikiri Bruhm?Bruhm