Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Katika viwango vya mafuta Sundrop yupo. No 5 mkuu . Sema kwa vile mengine hayako kwako kwa sababu ya bei hutakuwa huyajui.Nimeyaona Mengi..sijui ikraam...namengine...Ila naona Sundrop ndo ilikua. Kichwani..coz mafuta ya Alizeti yalia adimika..nikaenda kupima Yale ya kwanzia hero nikapewa futa la alezi Jeusiiii.... Nikaona Sundrop ya ya litamoja... Nikaona inavyo nga'aaa...nikachana na Yale meusi...nikanunue Sundrop
Sijui natangaza baishara yawatu. [emoji29][emoji29][emoji29]
Ubora wake tu umenifanya nifikirie hivyo afu Karibu vitu vingi navyo tumia Ni chapa brΓΌhm..Sababu zipi zinakufanya kufikiri Bruhm?
Ina musthave products za kutosha tuKwa nini Sony na Philips?
Baadhi ya vitu vyao ni vipi kwa wasiofahamu?Ubora wake tu umenifanya nifikirie hivyo afu Karibu vitu vingi navyo tumia Ni chapa brΓΌhm..
Wana tv, freezer, microwave,air condition, water dispenser,blender, pasi, jiko za gesi,subwoofer..Baadhi ya vitu vyao ni vipi kwa wasiofahamu?
Safi Sana!Wana tv, freezer, microwave,air condition, water dispenser,blender, pasi, jiko za gesi,subwoofer..
Mkuu hizi unafikiri zaidi kwa sababu gani?tecno, infinix, itel, vivo, redmi xiaomi,oppo, one plus.....
balenciaga, luis vuitton, gucci, supreme, adidas, nike
TCL, HOMEBASE, STAR X
COCA COLA
SOME OF THE DISTINCTION FEATURES AS COMPARED TO "BULL/BEAST BRAND" AMBAZO TUMEZOEAMkuu hizi unafikiri zaidi kwa sababu gani?
Mimi...nayapenda sundrop yanapatikana mtaani kwetu....Katika viwango vya mafuta Sundrop yupo. No 5 mkuu . Sema kwa vile mengine hayako kwako kwa sababu ya bei hutakuwa huyajui.
Mkuu nikikupa Luis Vuitton iliyojaa madoa na Adidas plain yenye strains na π Adidas Original logo utapendelea ipi?SOME OF THE DISTINCTION FEATURES AS COMPARED TO "BULL/BEAST BRAND" AMBAZO TUMEZOEA
Kanaitwa nani? πNamfikiriaga katoto kangu tu...
Mwenyewe anajijua... π
ADIDAS OGMkuu nikikupa Luis Vuitton iliyojaa madoa na Adidas plain yenye strains na π Adidas Original logo utapendelea ipi?
ADIDAS OG
Mwenyewe anajijua...Kanaitwa nani? π
Hakika! Mpaka kilio chetu kisikike. Popote pale uwapo ofisini, nyumbani, mtandaoni, barabarani ni #WeNeedPayPal #TunatakaPayPal #TufunguliePayPal
Kwa sababu zipi?Dume Condom
Inasikitisha! Tusikate tamaa naona Twitter watu wameanza kutembea na Hashtag.!hawa mafala wanazini internet ni instagram na whatsapp