NITUME NIKUTUMIKIE
Member
- Apr 28, 2024
- 22
- 31
Habari za kazi wakuu, poleni na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku,
Mimi ni kijana wa kiume mwaminifu na chapakazi sitaki nizungumze sana ila ufanyaji wangu wa kazi utajieleza.
lengo la kuandika uzi huu maalumu ni kwamba kwa unyenyekevu mkubwa kabisa napenda kukutaarifu boss wangu natuma ombi kwako kuwa kama unataka huduma ya kunituma ndani ya jiji la Dodoma ,basi ya kupasa kuondoa shaka MIMI NIPO.
UZOEFU WANGU ; Kupokea na kuwasafilisha watoto wa shule ambao wazazi wao wanakaa nje ya mkoa huu, kuhudhuria vikao vya shule kama mzazi (kuwakilisha) endapo mzazi yupo mbali na mkoa au kabanwa na majukumu, kuagizwa kwenye ofisi mbalimbali za kiserikali na sizo za kiserikali, kupokea mizigo na kusafilisha mizigo (mizigo midogo midogo) pamoja na kuleta vinywaji kama wine na dompo na mtu wa mikoani kama ananunua bei ya jumla anaweza kutumiwa maan Dodoma bei ya hivyo vinwaji ipo chini
CHANGAMOTO: Ni kukutana na wateja ambao siyo waaminifu wanakuambia fanya kazi nitakulipa ukishafanya anaacha kupokea simu yako hiyo ndiyo changamoto kubwa.
MAWASILIANO: 0757072333
WHATSAPP 0785076070
NB: kama utanitafuta ili uweze kujiridhisha Zaidi na kuwa na Imani na mimi nitakutumia soft copy ya vitambulisho vyangu na hizo namba zimekua registered kwa majina yangu halali ya kwenye kitambulisho.
KARIBUNI SANA ''NITUME NIKUTUMIKIE''