Chapati ni chakula cha anasa kenya?

first of all have never been to that place secondly am from donny,and kitu ingine am sure we si mkenya 100% umesema maybe am from nyanza nigga my last names are mumo wangeci ushaiskia mjaka anitwa ivyo,enyewe we si mkenya,ni mdomo tu unapiga sema ushaitembea kenya but we si mkenya,whi doesnt know kenya hawajui swahili,hata sisi huku tunajua TZ wanajua swahili kutuliko no debate hapo
 
Mwambie, hawa watu ambao wanazaliwa katika kipindi hichi cha magufuli na Uhuru wanajifanya wajuaji ila hamna wanachokielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante. Comment nzuri sana hili.
 
Mi hupenda kuskiza kugha ya mkenya, na enjoy matamshi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambie, hawa watu ambao wanazaliwa katika kipindi hichi cha magufuli na Uhuru wanajifanya wajuaji ila hamna wanachokielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
peleka utanzanj huko,i hate when pple here act kenyan and its clear to see they not,,,,ww umetoka sijui arusha hivi,and kunashida kuzaliwa time ya kenyatta?juu ww ulizaliwa time ya jomo kenyatta umesaidia nini kenya?
 
Hiyo basic ina include neno "anasa" ambalo wewe kwa kutokujua kiswahili basic limekupiga chenga. Ofcoz kila mtu anataka kuja Kenya kwa sababu unemployment rate iko chini, hamna issues za kigaidi, vivutio vingi vya kitalii including Mt Kilimanjaro, amani na political stability, chakula cha kutosha, madini na ardhi kubwa yenye kustawisha kila aina ya mimea... the list is endless. Ata mimi nina ongeza ujuzi wa lugha ya Kiswahili ili nije Kenya niweze kuwasiliana na wewe [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…