Chapati ni chakula cha anasa kenya?

haha kenya tunapenda watu you welcome bro
 
haha i agree na wewe but hio part ya mwisho ni lie,coast chics wanapenda watu kutoka nairobi coz if our swahili na pia kuna dhana kuwa watu watown ni wajanja na oia wanapesa n btw huko coast kumejaa kamba na jaluos na pia few kyuks so hakuna big deal,ukiwa mombasa na umetoka nairobi,immediately unakuwa famous kwa hio mtaa
 
kunao wengi,kuna time kulikuwa na debate about how kenyans hawajui swahili na enyewe mulituingilia tu sana bro
 
There is nothing like jakadala .... you are just a tribal hatemonger!!! Watu wanaongea kuhusu chapo wewe unaleta your tribal rhetoric!!!
haha imagine huyu msee sijui waluo walimfanyia?ama mjaluo alikuja huko Tz then akachukua bibi yako ndo maana unaongea mbaya sana kuwahusu,unabahati hii staff si kenyan we tunge ku track then ushikwe ufinywe makende[emoji1] [emoji1]
 
Nimeshuhudia kwenye maharusi mengi ya Kenya,chapati ni sehemu ya chakula chao cha anasa sana wakati tz chapati zinauzwa kila kona kwa bei chee tu.

Hii ikoje wakenya???
Hivi huna cha kuandika?????? Kenya imegawanyika kuna mwambao wa pwani ambapo sherehe zao zinaambatana na aina ya vyakula ambavyo nina uhakika hata wabongo wengi ukiondoa Tanga na Unguja hawavifahamu. Kwenye mikoa ya kati hasa Nairobi, inategemea unaenda kwenye sherehe ya aina gani kwani kwa wenye nazo hasa Nbi siku hizi kuna vyakula vya ki thai na vyenginevyo ambavyo hata huku kwetu ni nadra sana kuviona kwenye sherehe. Mikoa ya Magharibi, wengi wao ni wale wanaotukuza vyakula vya mila zao pamoja na pilau,chapatii, maandasi kwa kuku/nyama karanga.
Sioni sababu ya kubeza vyakula vya wenzenu wakati hata huku kwetu mikoani
vyakula vya kimila vinachanganywa na vile vya pwani kama milo kwenye sherehe.
 
Akuna jakadala na wewe...plus I come from Nyanza migori county kwa border ya kenya na tz so kiswahili tunaitambua vizuri tunaeza ongea both dialects ya kenya na ya TZ.I prefer kenyan one, jakadala was a hoax
haha same nashanga jakadala tena,this guy ametupa tu mbao tu sana,aende akalale
 
Hata mi naona ingekuwa nasty lakini mujitahidi juu muongee vile proper Swahili inataka siyo kukakaa kwa kochi kisha useme sijui swahili ilianzia Kenya wakati wajua kabisa hii mambo ya Swahili home kwake ni Tz hahahaaaa

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
haha siezi kataa mko poa swah hapo no debate,lakini afadhali sisi acceny yetu ya swahiki huwa poa,bro ushaiskia m Congo akibonga kiswahili?afadhali sisi utashinda ukicheka bro
 
We kilaza vipi? Kiswahili home kwake Tanzania vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haha siezi kataa mko poa swah hapo no debate,lakini afadhali sisi acceny yetu ya swahiki huwa poa,bro ushaiskia m Congo akibonga kiswahili?afadhali sisi utashinda ukicheka bro
Sasa wewe ni mkenya usijilinganishe na mcongo , chimbuko la Kiswahili ni Kenya na Tanzania litakua Jambo la aibu ujilinganishe na mcongo wakati anajifunza kutoka kwako ,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kule Kwa migodi iliisha? Unajua wewe upo upande wa sirare,jaribu kule Kwa akina junet. Bado ipo ,watu hawali bata kama ilivyo desturi ya watu wa migori. Wakuria kule kwenu kupo Sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
ilikua story ya kutisha watu my maternal side wanatoka karibu na macalder mines so I pass there sometimes.ulikua unasemekana ugonjwa huo upo Migori mjini baada ya msanii fulani aitwae jakadala alikuja kuigiza huko ndipo uvumi huo ukasambaa na ulithibitishwa na wizara ya afya kua haupo.lakini watu walitulia sana wakati huo aisee.lakini si uongo ile sekete iko uko mines si mchezo kwanza hao wake za watu thats why HIV prevalence is high uko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…