Latimore Mimo wangeci
JF-Expert Member
- Feb 1, 2019
- 898
- 1,081
haha kenya tunapenda watu you welcome broHiyo basic ina include neno "anasa" ambalo wewe kwa kutokujua kiswahili basic limekupiga chenga. Ofcoz kila mtu anataka kuja Kenya kwa sababu unemployment rate iko chini, hamna issues za kigaidi, vivutio vingi vya kitalii including Mt Kilimanjaro, amani na political stability, chakula cha kutosha, madini na ardhi kubwa yenye kustawisha kila aina ya mimea... the list is endless. Ata mimi nina ongeza ujuzi wa lugha ya Kiswahili ili nije Kenya niweze kuwasiliana na wewe [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app