Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
ndemoseoUri mwega.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndemoseoUri mwega.
Wacha wajinga wajifurahishe.
Mbona povu jirani? Hasira za ninii weeeWacha wajinga wajifurahishe.
Mbona povu jirani? Hasira za ninii weee
😂😂😂Wacha nirudie,
Huku mtu akitaka kuanzisha startup ya foodkiosk, yaani Kibanda. Chakula cha kwanza huwa aidha chapati ama chipsi. Sasa wewe nieleze, chakula kama hicho kitakuwaje cha anasa? Hivi mleta mada anajua maana ya anasa?
Hivi Dar es Salaam chapo ni shilingi ngapi?
haha true i like ovacado alot,naeza kula Ovacado na kila type of meal,shida ni its very expensive
Aaah wapi ..... Nyumbani ni South Nyanza!!
Hiyo kitu kwa mara ya kwanza nili ipiga nikiwa Kampala... waganda ni mabingwa wa kutengeneza hiyo kitu. Ukiipata hiyo halafu unashushia na butunda.Nani hapa ashawahi kula chapati Rolex?
Awapi,chapoo ni normal sana,ila kwa wenzetu wanazipa sana kipaumbele kwenye maharusi yao na kama wakizikosa wanalalamaMbina sherehe nyingi za kibongo utakuwa wali, nyama, vitu ambavyo tunakula kila sika majumbani na haushangai?
Wewe haujakutana na chapati wewe unaweza sahau pizaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Anasa ni niniWacha nirudie,
Huku mtu akitaka kuanzisha startup ya foodkiosk, yaani Kibanda. Chakula cha kwanza huwa aidha chapati ama chipsi. Sasa wewe nieleze, chakula kama hicho kitakuwaje cha anasa? Hivi mleta mada anajua maana ya anasa?
Nikiwa Kampala Uganda nilikula kitu kama hicho ,Nani hapa ashawahi kula chapati Rolex?
We ni kamba?ndemoseo
Ni expensive depending na penye unakaa,kenya kila kitu bei yake hudepend na penye mtu anakaa,lakini huku kwetu Avacado ni expe na shida za ova za suoermarket,ndo nikubwa but nit healthy juu ni Gmo tu
Haha same pia mi i wondered Anasa ni nini?nili assume tu ju hata huwa siget Swahili ya watanzania hata kidogoAnasa ni nini
Kwani hua uget Kiswahili kipo tofauti?Haha same pia mi i wondered Anasa ni nini?nili assume tu ju hata huwa siget Swahili ya watanzania hata kidogo
Kiswahili utakielewa vipi kama mwenyewe unatumia vilugha vya mtaa ambavyo havina maana?Haha same pia mi i wondered Anasa ni nini?nili assume tu ju hata huwa siget Swahili ya watanzania hata kidogo
Thats what i grew up listening too ,nikama kulaumu mzungu kuongea kizungu na alizaliwa akapata wakiongea ivyo,so pia si kenyan tulizaliwa na tukapata hio 'vilugha' as you call it,n i thank God coz its a good language and it makea me kenyan,coz nikikam Tz watajua immediately am not Tanzanian atleast hio lugha ilileta diffrence yetu na yenu,imagine ka mtu hangeweza juwa diffrence ya mkenya na mtanzania?ingekuwa nastyKiswahili utakielewa vipi kama mwenyewe unatumia vilugha vya mtaa ambavyo havina maana?
Sent using Jamii Forums mobile app