Chapati ni chakula cha anasa kenya?

Chapati ni chakula cha anasa kenya?

NairobiWalker, MK254 tunahitaji maoni yenu hapa.
Sisi wengine hatujawahi kuvuka mpaka.
Wacha wajinga wajifurahishe.

Huku mtu akitaka kuanzisha startup ya foodkiosk, yaani Kibanda. Chakula cha kwanza huwa aidha chapati ama chipsi. Sasa wewe nieleze, chakula kama hicho kitakuwaje cha anasa? Hivi mleta mada anajua maana ya anasa?
 
Wacha nirudie,

Huku mtu akitaka kuanzisha startup ya foodkiosk, yaani Kibanda. Chakula cha kwanza huwa aidha chapati ama chipsi. Sasa wewe nieleze, chakula kama hicho kitakuwaje cha anasa? Hivi mleta mada anajua maana ya anasa?
😂😂😂
 
Mbina sherehe nyingi za kibongo utakuwa wali, nyama, vitu ambavyo tunakula kila sika majumbani na haushangai?

Wewe haujakutana na chapati wewe unaweza sahau pizaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Awapi,chapoo ni normal sana,ila kwa wenzetu wanazipa sana kipaumbele kwenye maharusi yao na kama wakizikosa wanalalama
 
Mimi nakumbuka Mkate wa Eliotts na butter tulikua tunaita "Bandika" halafu unashushia Coke Bariidi wakati huo Moi alikuwa ameponea Chupuchupu ya Coup kutoka kawa Vijana wa Airforce Kenya wanajua kula bana.
 
Kiswahili utakielewa vipi kama mwenyewe unatumia vilugha vya mtaa ambavyo havina maana?

Sent using Jamii Forums mobile app
Thats what i grew up listening too ,nikama kulaumu mzungu kuongea kizungu na alizaliwa akapata wakiongea ivyo,so pia si kenyan tulizaliwa na tukapata hio 'vilugha' as you call it,n i thank God coz its a good language and it makea me kenyan,coz nikikam Tz watajua immediately am not Tanzanian atleast hio lugha ilileta diffrence yetu na yenu,imagine ka mtu hangeweza juwa diffrence ya mkenya na mtanzania?ingekuwa nasty
 
Back
Top Bottom