Chapati ni chakula cha anasa kenya?

Chapati ni chakula cha anasa kenya?

Kipindi tulipokuwa tupo wadogo .....in the 90s and early 2000s, hapo ndio tungesema chapati zilikuwa za anasa. Zilikuwa adimu kweli, mara moja kwa msimu....... sana sana Krismasi hivi, ama sikukuu. Ila kwa sasa zimezagaa mitaa yote.
 
Thats what i grew up listening too ,nikama kulaumu mzungu kuongea kizungu na alizaliwa akapata wakiongea ivyo,so pia si kenyan tulizaliwa na tukapata hio 'vilugha' as you call it,n i thank God coz its a good language and it makea me kenyan,coz nikikam Tz watajua immediately am not Tanzanian atleast hio lugha ilileta diffrence yetu na yenu,imagine ka mtu hangeweza juwa diffrence ya mkenya na mtanzania?ingekuwa nasty
Kiswahili ni kiswahili, wewe sema hujui Kiswahili vizuri. Anasa ni neno la Kiswahili lilo rasmi kabisa. Nai Kiswahili kimechezewa na kutokea kwa lugha ambayo ni ya kimtaa. Bahati mbaya itabaki kutumika ki kimtaa (Mostly Wakora na machokoraa) milele kwa sababu haiwezi fundishwa mashuleni wala kutumika kwenye sehemu rasmi. Mimi nimekutana na wakenya wanao jua Kiswahili ila bado utawatambua kwa matamshi yao kwahiyo hoja yako ya kujivunia kuto jua Kiswahili fasaha ili utambulike kuwa ni Mkenya haina mashiko. Ata Tz tunajuana maeneo tunayotoka kwa kusikiliza tu matamshi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Don't say we Kenyans ni wewe ndio hujui labda watoka mkoa wa Nyanza ambao hawazungumzi Kiswahili lakini wakenya Kiswahili wanakielewa Sana maana ndio lugha ya taifa sasa usimchukulie kila mkenya venye upo na Kwa taarifa yako Mimi si mtanzania .

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mara ya kwanza umetoa point toka umezaliwa, ungekua upo bongo ninge kuita sehemu upate moja baridi moja moto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe Kenya itajaa vibada vya chips kama bongo kwetu mbona nasikia wakenya wakituponda kuwa tunakula chips na Maindi choma Kwa ndimu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe Ni mwehu Nini?

1. Wapi Mkenya ameponda Mtanzania Kwa kula chipsi na mahindi Choma?

2. Wapi nimesema vibanda vimetapakaa?

Wacha kujitengezea hoja na kujibisha mwenyewe.
 
buda its either you stupid ama you acting,no kenyan knows swahili we mix english na swah,mayne coast atleast ndo wako sawa kiswahili na pia swahili yao si ya ujinga ka yenu ,and am not from nyanza buda am from Nai,kenya ni kubwa kwani unajua nyanza tu,fucking tanzanian acting like unajua kenya,na unaonanga kwa tv,kuna watu kenya hawajui kiswahili,juu kuna shule huku hazifunzi kiswahili,nigga this is kenya ,mbna tujue kiswahili?kitu muhimu ni bora tu communicate
Unasema ni muhimu ku communicate halafu bado una kubali hujui Kiswahili vizuri! Leo kiswahili kina fundishwa nchini Japan, China, U.K, Russia n.K. Kuna mzungu hajawahi kuja E.A ila anaongea Kiswahili akikutana na wewe mtashindwa kuwasiliana vizuri kwa sababu wewe Kiswahili chako ni cha hapo hapo (mitaa ya Nai). Yani wewe unaposema ku communicate unaishia hapo hapo Nai ata wa Tz na waganda ambao wanajua Kiswahili mtapishana kama hapa ulivyo shindwa kujua maana ya neno "anasa". Msee hujachelewa, uzuri ata hapa unajifunza. Wakenya wengi wamenyo osha Kiswahili kupitia JF.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sitabishana ma wewe westy ni place moja,lakini ukisema westlands ni kubwa,lakini westy hakuwa mkahawa my friend,acha kutupima hapa,ndo maana nimesema maybe westlands coz kikuyu pia iko westlands na many other places,but huku si usema westland kumean westy
We ndio hujaelewa ila sitakulaumu maana naelewa uwelewa wako wa Kiswahili ni haba mno, Westland kuna mikahawa kibao tu, mkahawa kwenye English ni 1a, coffee house ,1b, restaurant,1c, cafeteria hayo majina yote unaweza kuyatumia kumaanisha mkahawa.

hata afunzwe kiswahili atajua tu ile basic yenye kila mkenya anajua and FYI wanajifunza swahili juu wanataka kuja kenya and they know swahili is from kenya and thats why wako eager kusoma and si lazima nijue kiswahili sanifu bro,kenya we have our own swahili
 
buda its either you stupid ama you acting,no kenyan knows swahili we mix english na swah,mayne coast atleast ndo wako sawa kiswahili na pia swahili yao si ya ujinga ka yenu ,and am not from nyanza buda am from Nai,kenya ni kubwa kwani unajua nyanza tu,fucking tanzanian acting like unajua kenya,na unaonanga kwa tv,kuna watu kenya hawajui kiswahili,juu kuna shule huku hazifunzi kiswahili,nigga this is kenya ,mbna tujue kiswahili?kitu muhimu ni bora tu communicate
No Kenyan knows Swahili? This is really sad. did you say you are from Nairobi? Indigenous wa Nairobi sio makaa kama wewe,sasa wewe mtu wa kariobangi Kiswahili utakijulia wapi,unachokijua nikupiga watu ngeta, unapokuja hapa kusema wakenya hawajui Kiswahili hilo nikuonesha ulivyo mpumbavu tu ila sina muda wako ewe kilava.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eeh its either sijui kenya,but westland kweli mtu anaeza order chapai na mandondo ama what do you mean by westlands?ama ume generalise juu westi ni hotels kubwa ,una expect mkenya anaishi westi ,mhindi ama mzungu aende kubuy chapati mandondo ,acha kutupima
Westie kuna vibanda za mahustler. Niulize nikuambie
 
Unasema ni muhimu ku communicate halafu bado una kubali hujui Kiswahili vizuri! Leo kiswahili kina fundishwa nchini Japan, China, U.K, Russia n.K. Kuna mzungu hajawahi kuja E.A ila anaongea Kiswahili akikutana na wewe mtashindwa kuwasiliana vizuri kwa sababu wewe Kiswahili chako ni cha hapo hapo (mitaa ya Nai). Yani wewe unaposema ku communicate unaishia hapo hapo Nai ata wa Tz na waganda ambao wanajua Kiswahili mtapishana kama hapa ulivyo shindwa kujua maana ya neno "anasa". Msee hujachelewa, uzuri ata hapa unajifunza. Wakenya wengi wamenyo osha Kiswahili kupitia JF.

Sent using Jamii Forums mobile app
kusema kweli TZ wanajua kiswahili poa sana kutushinda hio ni fact hapo hakuna debate hata a dumb person can see that,but haimanishi ako si tuko chini then nyi juu,lugha azifananangi and am happy coz sheng kila pande ya kenya hata mombasa wanaelewa so sijui whats your prob and nikija huko kwenu ntaakikisha nimewaambukiza kiswahili ya kenya hahah[emoji1]
 
We ndio hujaelewa ila sitakulaumu maana naelewa uwelewa wako wa Kiswahili ni haba mno, Westland kuna mikahawa kibao tu, mkahawa kwenye English ni 1a, coffee house ,1b, restaurant,1c, cafeteria hayo majina yote unaweza kuyatumia kumaanisha mkahawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
ooooh pole then sikuwa naelewa ka mkahawa ina mean hizo zote eeeh ziko,sai nimekuelewa unajua misamiati joh huwa zinanichenga
 
sitabishana ma wewe westy ni place moja,lakini ukisema westlands ni kubwa,lakini westy hakuwa mkahawa my friend,acha kutupima hapa,ndo maana nimesema maybe westlands coz kikuyu pia iko westlands na many other places,but huku si usema westland kumean westy
Wewe unajua Westy iko na hustlers na working class mob kushinda those wealthy people you are talking about. Watu wanafanya kwa banks, Insurance companies, na small companies unadhani huwa wanakula lunch wapi? Ama unadhani huwa wanaenda CBD kula lunch? Wewe ndio unatupima. Wacha kuargue kitu simple kama hii.
 
Kipindi tulipokuwa tupo wadogo .....in the 90s and early 2000s, hapo ndio tungesema chapati zilikuwa za anasa. Zilikuwa adimu kweli, mara moja kwa msimu....... sana sana Krismasi hivi, ama sikukuu. Ila kwa sasa zimezagaa mitaa yote.
Ukweli mtupu,afu yupo kilaza flani humu anawadhalilisha wakenya eti hawajui Kiswahili sijui huyo dogo katokea wapi,ni pumba Sana walahi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom