Chapati ni chakula cha anasa kenya?

Chapati ni chakula cha anasa kenya?

Totally agree i just cant see the relationship between the tribal hate nigga is spewing here na chapati!!!
haha anatumia story ya chapati and then anaingiza vitu very irrelevant in thia topic,usijam muelewe ni wale watanzania ka kina diamond wenye wao huwish wangezaliwa kenya,my wish include him in your prayers
 
Hivi huna cha kuandika?????? Kenya imegawanyika kuna mwambao wa pwani ambapo sherehe zao zinaambatana na aina ya vyakula ambavyo nina uhakika hata wabongo wengi ukiondoa Tanga na Unguja hawavifahamu. Kwenye mikoa ya kati hasa Nairobi, inategemea unaenda kwenye sherehe ya aina gani kwani kwa wenye nazo hasa Nbi siku hizi kuna vyakula vya ki thai na vyenginevyo ambavyo hata huku kwetu ni nadra sana kuviona kwenye sherehe. Mikoa ya Magharibi, wengi wao ni wale wanaotukuza vyakula vya mila zao pamoja na pilau,chapatii, maandasi kwa kuku/nyama karanga.
Sioni sababu ya kubeza vyakula vya wenzenu wakati hata huku kwetu mikoani
vyakula vya kimila vinachanganywa na vile vya pwani kama milo kwenye sherehe.
Duh..umekasikirika kwani
 
Totally agree i just cant see the relationship between the tribal hate nigga is spewing here na chapati!!!
Am not spewing an hatred here nimejibu huyo jamaa kulingana na kauli yake,wajaluo ndio husema Kiswahili si mdomo yao hawawezi ongea eti ni lugha ya kibantu alivyo kidhalilisha Kiswahili humu nikajua basi yeye ni mjaluo because it's only a Luo who can be against Swahili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ilikua story ya kutisha watu my maternal side wanatoka karibu na macalder mines so I pass there sometimes.ulikua unasemekana ugonjwa huo upo Migori mjini baada ya msanii fulani aitwae jakadala alikuja kuigiza huko ndipo uvumi huo ukasambaa na ulithibitishwa na wizara ya afya kua haupo.lakini watu walitulia sana wakati huo aisee.lakini si uongo ile sekete iko uko mines si mchezo kwanza hao wake za watu thats why HIV prevalence is high uko
Dah! Nilikua nimeenda Kwa Bansi kipindi flani ndio nikaambiwa migori hakuna mchezo hata bata usiwaze, lakini kama haupo hio ni habari njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gwizzy: you did not understand the concept, you should re-read that post , how many times do I have to say that am not tribal? .

Sent using Jamii Forums mobile app

The internet never forgets, this is what you posted;

I would rather be a Tanzanian than call myself a Kenyan from Luo Nyanza full of jakadala disease

How is the statement above not tribal hatespeech ??? What concept do i need to understand? the discussion was about food..... anyway i will say no more. Maybe its my interpretation but this is waaaay out of line!!!
 
Hiyo mokimo ndo nini tujifunze na sisi
Ni kama githeri but sasa utaweka waru ndani ukiwa umezibondabonda then you mix em githeri plus the mashed potatoes and then unaeka managu ama spinach ndo chakuka yote iwe green in general alafu unaeza kula na cabbage na nyama ama supu ya nyama
 
1551716618039.png
1551716658544.png
 
The internet never forgets, this is what you posted;

I would rather be a Tanzanian than call myself a Kenyan from Luo Nyanza full of jakadala disease

How is the statement above not tribal hatespeech ??? What concept do i need to understand? the discussion was about food..... anyway i will say no more. Maybe its my interpretation but this is waaaay out of line!!!
You miss understood me, jakadala is a person a musician I think,right? And when he performs in your area nothing you can do other than his vibes, to me it's a disease because when it catches you , you will have to dance.though don't mind my style of writing I did literature.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duu! Githeri , managu, waru. Mkuu hapa umeniacha tena.

Back
Top Bottom