Chaputa wote

Sasa akaangalie nini? Wewe weka hapa. Sio wote wako Instagram huko shirika la wambea duniani,na wewe unakuja kama insta
Kuna uzi wa jamaa umeandikwa cardi achafua hali ya hewa kama sijakosea kaweka video kalikali zote nmshindwa kuushare humu cuz natumia app ya simu
 
Duh[emoji28][emoji28][emoji28]
Weekend hii kutafutana tu ubaya huyu card b
 
Kama upo mjini telemka masaki pale ingia Havoc hapo kukutana na mastaa wa kibongo ni kawaida hapo hakuna kushobokeana kilamtu kivyake hapo.
Havoc strippers hakuna labda iwe imeanza lini sijui


Si unaongelea havoc iliyo floor 1 na akira?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…