[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] hakuna mtu anayependa kupoteza hela yake hovyo hovyo alafu hii bet huwa sitegemei nafanya nikijisikia tu.
Jaribu na ww siku kuweka hela yako alfu tiketi ikishachanika ndio utaona maumivu yake alafu ukute ni team moja tu ndio imekukosesha hela ππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
usijali
Uiii sijui nitalia [emoji38]Jaribu na ww siku kuweka hela yako alfu tiketi ikishachanika ndio utaona maumivu yake alafu ukute ni team moja tu ndio imekukosesha hela [emoji23][emoji23]
Huwezi kupata feelings kama ujajaribu jaribu uwone ndio utajua na chosema ni nn ππUiii sijui nitalia [emoji38]
Uiii sijui nitalia [emoji38]
Haaaah ntakupa laana ya kimbalimbali nikiliwaHuwezi kupata feelings kama ujajaribu jaribu uwone ndio utajua na chosema ni nn [emoji23][emoji23]
Usinikatishe tamaa bwana nataka kujua ile feeling inakuajeDon't try it.
Usinikatishe tamaa bwana nataka kujua ile feeling inakuaje
[emoji4]Okay, kama ndivyo utakavyo.
What if you win that bettting π utanitumia hela na mm? au shukurani yangu ndio utanipa hiyo curse?Haaaah ntakupa laana ya kimbalimbali nikiliwa
Shukran ya kuwin itafanyikia tigo pesaWhat if you win that bettting [emoji23] utanitumia hela na mm? au shukurani yangu ndio utanipa hiyo curse?
πππ ukibet sikuhiyo uniambie sasa.Shukran ya kuwin itafanyikia tigo pesa
Kesho hiooooo jiandae[emoji23][emoji23][emoji23] ukibet sikuhiyo uniambie sasa.
Haya utanitumia pic ya huo mkeka niuwoneKesho hiooooo jiandae
online sio sports pesa heheheheHaya utanitumia pic ya huo mkeka niuwone
Online!? Sijaelewa hapo.online sio sports pesa hehehehe
Si mkeka betOnline!? Sijaelewa hapo.
OK utascreen shot then utanitumia nione hiko kisanga πSi mkeka bet
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] madudu dudu yale[emoji1787]uyaoneOf utascreen shot then utanitumia nione hiko kisanga [emoji23]