MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,607
Unajuaje kwamba resistance ni lazima ije kwa kuongezeka kwa information? Kwa nini isiwezekane kutokea baada ya kupungua kwa information?Umeandika
Unajuaje kwamba resistance ni lazima ije kwa kuongezeka kwa information? Kwa nini isiwezekane kutokea baada ya kupungua kwa information?
Unajuaje kwamba kama kuna strains 100 za arrangement ya information, na tatu zikawa the weak link in the chain, ziko susceptible kwa antibiotics na kusababisha bacteria kufa akikutana na antibiotic, halafu mutation Fulani ikafanya hizo tatu zisiwepo kwa baadhi ya bacteria, na kwa sababu hiyo bacteria hao wakawa wanaweza kuzaliana Zaidi na kufanya next generations za bacteria ziwe na wanaoweza kuwa resistant mpaka population yote ya bacteria hao ikawa resistant?
The rest of the piece argues kwamba kuna bacteria waliogundulika kabla ya antibiotics kugunduliwa wako resistant kwa antibiotics.
Hili linaonyesha kutojua mambo Fulani.
1. Kwamba hata kama antibiotics zimegunduliwa miaka 40 iliyopita, hili halina maana kwamba hazikuwapo kabla ya miaka 88 iliyopita na Professor wa Bacteriology Alexander Fleming wa St. Mary's Hospital London, hilo halina maana kwamba zile naturally occurring chemicals zilizomo katika antibiotics hazikuwapo kabla ya hapo. Ukigundua kwamba mchaichai unatibu pumu na kutengeneza kidonge cha mchaichai hilo haina maana watu hawajawahi kutumia hiyo dawa ya mchaichai kabla ya kidonge kugunduliwa.
2. Hao bacteria waliokutwa wamekutwa katika miili ya watu ambao hawakuwa katika controlled environment, even though they were frozen, that does not mean that the bacteria were not there because of later contamination.
3.Hata kama bacteria walikuwa intact, kupata bacteria wa zamani walio resistant kwa dawa mpya hakumaanishi kwamba bacteria resistant haisababishwi na mutation. Kunaweza kusababisha kwamba kuna namna moja ya bacteria resistant haisababishwi na mutation.
4.Hata kama bacteria walikuwa intact, kupata bacteria wa zamani walio resistant kwa dawa mpya hakumaanishi kwamba bacteria hao hawaja mutate na mutation hizo over the years kusababisha resistance kwa dawa mpya.Utajuaje kama kuna biological arrow of time inayofanya bacteria wa evolve from being less resistant to being more resistant to antibiotics hata kama hawajakutana nazo?
5.Kinachotakiwa kuoneshwa ni kwamba hawa bacteria ambao wanadaiwa kuwa wamekuwa resistsnt to antibiotics, hawajawa resistant kutokana na mutation. Mimi nikisema "Nyumba hii kuna watu wamekunywa pombe kwa muda mrefu, zamani pombe ilikuwa inawalewesha, lakini siku hizi pombe ile ile haiwaleweshi, inabidi mpaka tuwatafutie pombe mpya ili walewe, hawa watu wamekuwa walevi sugu, vichwa vyao vimeweza kuhimili pombe Zaidi" huwezi kuniambia "Hao kuweza kao kuhimili pombe hiyo Zaidi hakutokani na vichwa vyao kuwa sugu kwa sababu kuna watu wengine hawajawahi kunywa pombe tangu wazaliwe na pombe hiyo hiyo haiwaleweshi". Unajuaje kama hao wengine hawajala chakula ambacho kinawafanya wasilewe na hivyo kufanya comparison yako isiwe na maana kwa sababu hailinganishi vinavyolingana?
Swali hili linaonyesha theory ya evolution na facts around it hujaifanyia homework vizuri.
Ukirudi kuisoma upya utagundua sasa, Mutation/resisitveness ya bacteria haina uhusiano wowote na evolution.
Ili iwe evolution inabidi awe ni bakteria mpya kabisa mwingine. Ni sawa na wewe upate mtoto kutokana na MUTATION azaliwe hana Meno. Maana yake naturally hawezi kuugua ugonjwa wa meno maana hayapo. Mtoto wako akienda kucheza na wenzake wenye meno haimaanishi mtoto wako ni kiumbe kipya. Bakteria kuwa resisitive to abtiobiotics haimaanishi ameundergo evolution,