Charles Darwin 3rd Degree MM aliefanikiwa kuupotosha ulimwengu kwa Illuminati agenda

Unajuaje kwamba resistance ni lazima ije kwa kuongezeka kwa information? Kwa nini isiwezekane kutokea baada ya kupungua kwa information?
Swali hili linaonyesha theory ya evolution na facts around it hujaifanyia homework vizuri.
Ukirudi kuisoma upya utagundua sasa, Mutation/resisitveness ya bacteria haina uhusiano wowote na evolution.
Ili iwe evolution inabidi awe ni bakteria mpya kabisa mwingine. Ni sawa na wewe upate mtoto kutokana na MUTATION azaliwe hana Meno. Maana yake naturally hawezi kuugua ugonjwa wa meno maana hayapo. Mtoto wako akienda kucheza na wenzake wenye meno haimaanishi mtoto wako ni kiumbe kipya. Bakteria kuwa resisitive to abtiobiotics haimaanishi ameundergo evolution,
 
Knowledge is empirical. Surprisingly the weakness of Darwin's theory of evolution is also its strength. We can talk about the flaws of this theory only because there are testable proofs and experiments to dislodge the theory of evolution and that is where its strength emanates. This is contrary to the creation theory which relies on intuition to justify it.
 

Asante mkuu. Nitakisoma.
 

[emoji107]
 

Uliweza kweli kusoma links nilizokupa? Au imesearch tu "lies of darwin" na kuchukua copy and paste?

ALRIGHT, lets say evolution is damn wrong, how will you explain the origin of species? Whats your paradigm then?

Enlighten me.
 

I will let Berkeley speak for me

Antibiotic resistance: delaying the inevitable

Applying our knowledge of evolution
Evolutionary theory predicted that bacterial resistance would happen. Given time, heredity, and variation, any living organisms (including bacteria) will evolve when a selective pressure (like an antibiotic) is introduced. But evolutionary theory also gives doctors and patients some specific strategies for delaying even more widespread evolution of antibiotic resistance. These strategies include:
 
Back to basics za EVOLUTION.

There is nothing new in Dublication instead a copy of origin gene. According to ancient evolution Theories, we expected a new gene to evolve by itself. Ukichukua Picha yako Ukaitoa copy alafu ukaziunganisha utasema huyo ni dada yako au au utabaki wewe huyo huyo. sema sasa unaonekana katika mfumo tofauti.
Ndio maana nilikwambia Hapa wanalazimisha tu, lakini. Nionyeshe Molecule (SIJUI ILITOKA WAPI) iliwezaje kubadilika kuwa MTU by GENE dublication miaka 100 Millioni iliyopita. Na najua Miaka inakimbizwa huku mbali ili Iachie mwanya wa meaningless assumptions.
Pia Nilikuuliza A BLAND NEW GENE na SIo Combination of a copy of present GEne With same information.
Hii ni sawa na Uji unapokuwa Ugali yote ogininally ni Muunganiko wa MAJI NA UNGA.

Katika case nyingi kwa mwili wa mwanadamu ikitokea dublication, ilapelekea magonjwa na udhaifu, Mfumo huu dhaifu unawezaje kutumika kama ushahidi wa kutengeneza kitu bora kabisa mfano mwanadamu kutoka kwenye single Cell, Kitu ambacho si kweli badala yake Iyo Cell ingekuwa dhaifu na dhaifu hadi kufa sio bora na bora hadi kuwa mtu.
Mfano mzuri kwa binadamu Ni Pale Mtoto anapozaliwa na Three copies of Chormosomes badala ya Mbili kama iliyokawaida na madhala anayopata.

Karibu, Kwa maarifa zaidi
 
Uliweza kweli kusoma links nilizokupa? Au imesearch tu "lies of darwin" na kuchukua copy and paste?

ALRIGHT, lets say evolution is damn wrong, how will you explain the origin of species? Whats your paradigm then?

Enlighten me.
Nimesoma,
Kuhusu Orgin of species Mimi naamini THEY WERE NOT BY CHANCE but BY DESIGN.
Na Pia naungana Mkono kabisa na Modern scientists/baadhi katika hili. baada ya kuangalia sio dunia tu bali UNIVERSE yote, Solar Systems, GAlaxies, The balancing of oxygen and other gases to support living for years on earth etc, Na kugundua it was not by chance to have All these creatures arranged in a interrelated manner, With billions of genes containing trillions of information to support these organisms in adapting different enviroments. A single CEll or molecule cannot grow to Billions of cells with different Fuctions, Amazing communication and interrelation between them haikuwa by chance bali INTELLIGENT DESIGN.
Na hapa ndipo naanzia kufikiri na kuamini Sio njia hiyo ambayo wengi mmeichagua. Na intelligent deigner must be something Supernatural. God the CREATOR OF HEAVEN AND EARTH.
Hapa sitasema sana maana mzizi wa Thead hii ni Huku kwenye Evolution. Nitakuja na THREAD How the universe it self prove it was Created and not EVOLVED nikitumia hata baadhi ya Material unayosomea. Tutajadili pia kwa undani.
 
If They were able to predict posibility of a romantic Bacteria to be come Resistive na hii mkaiita EVOLUTION.
Kwa nini huyo bakteria asievolve akawa kirusi ili ashindikane kabisa ila anapiga marktime tu hapohapo. Wakati mnatufundisha ni bakteria ndiye aliyebadilika na kuwa mtu. Kwa nini leo awe kama gari lilikwama kwenye matope anazunguka hapohapo.
Unatakiwa usome wewe uelewe alafu uelimishe jamii inayosoma hoja zako. Haina faida kama utasoma kutu utaelewa alafu huwezi kukieleza kwa jamii.
 

Kwa nini unaipangia evolution unavyotaka wewe bacteria awe kirusi wakati the main idea behind evolution is based on random mutation na natural selection?

Umesoma hiyo habari? Umeelewa kwa nini wanasema "delaying the inevitable"?

Kwa nini unafikiri anapiga mark time hapo hapo wakati process ya kubadilika inatumia mabilioni ya miaka?

Wewe unakuwa kama wale wanaouliza kwa nini hatuoni nyani akibadilika kuwa mtu kama vile evolution inatumia miaka michache wakati inachukua mabilioni ya miaka.

Ni kama vile ubishie continental drift theory kwa kuuliza "kama continents zime drift na zina drift, mbona hatuoni Afrika na South Amerika zikigongana?

Wakati rate ya movement ya continents ni 2 centimeters per year!
 
kwa hiyo mnatumia miaka millioni ngapi kutengeneza antibiotic mpya kama na yeye anachukua miaka million kubadilika ili awe ressistive(If resitiveness is due to evolution). Ukiendelea mbele utachanganyikiwa mkuu hawa jamaa wakajisifu wamefanikiwa project yao.
System yenyewe ya kuthibitisha hizo miaka million mnazojivunia assumptions zake zina zinamapungufu mamillion, nikiweka hapa utashangaa japo ni grobally acceptable maana evolutionists wako kila kona.
 
Unauliza swali halafu unajijibu mwenyewe au unataka nikujibu mimi?

Kitu gani hakina mapungufu dunia hii?
 

Umepewa mfano mzuri wa bacteria, ungeuelewa kwanza kujibu hayo maswali yako.

Pia tukumbuke evolution sio theory inayoelezea origin of life bali inaelezea kuhusu origin of species. Origin of life hiyo ni mada nyingine na sio maelezo ya evolution. Evolution inaelezea how species zinapotokea na jinsi mabadiliko katika viumbe inasababishwaje.

[emoji837]Nimekuomba utupatie theory yako juu ya asili ya viumbe na jinsi mageuzi yalivyo.
 
Eti molecule inachukua miaka bilioni kubadilika kuwa kitu fulani kwahyo unataka tuendelee kuamini miungu yenu michafu hata tunapokufa huku tukiwa na tumaini feki kuwa ipo siku baada ya miaka bilioni moja binadamu atabadilika kuwa kiumbe kingine! acheni udanganyifu na Darwinism yenu, kwanza hiyo molecule hadi kutokea na kusogea hadi kwenye maji ya bahari, je ni nguvu gani zilipelekea kuibuka kwake na kusogea hadi baharini na sio sehemu nyingine? Je hayo maji ya bahari yalitokea wapi au yaliumbwa na nani? Na kwanini hayo maji ya bahari yalikuwa na mipaka, je nani aliyawekea hiyo mipaka ya kuyazuia kusogea nchi kavu? Kitu gani kilipelekea hiyo molecule kuibukia nchi kavu na sio baharini moja kwa moja? Usiniambie yalitokea by chance! Tafakari Chukua hatua MUNGU MUUMBAJI NDIYE MUUMBAJI WETU, angalia usifungwe na dhana ya kishetani yaani Darwinism.
 
Ninachofahamu mimi ni kwamba binadamu na hao nyani walikuwa na common ancestor... Hii habari ya binadamu kutokana na nyani sijui huwa mnaitoa wapi??
 
Kwa kupigwa kwake sisi tumepona, yeye aliyachukua magonjwa yetu. Kwa mungu wa Ibrahim, Isack, na yakobo hakuna ukimw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…