Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali lipo wazi hapo na picture naomba jibu.Mkuu Kiranga hapo umewauwa...Kila kiumbe kinabadilika kulingana na mazingira, mfano bacteria na viruses (lower organisms) wanafanya evolution ya haraka kuliko binadamu(higher organisms).Ndio maana kuna aina ( strains) mbali mbali za hawa bacteria na viruses.Angali kitu kama HIV, kuna aina mbali mbali wa HIV, zamani kulikuwa na aina moja(Possibly) ya huyu kirusi lakini kutokana na kubadilika kwa mazingira anayoishi, DNA zake hubadilika(Evolution) ili aweze kuadapt kwenye mazingira mapya.....Kama mtu anasumbuliwa na ugonjwa unaosababishwa na bacteria au virus flani na kutumia dawa, kuna uwezekano wa yule mdudu kujibadili ili aweze kuishi kwenye mazingira yaliyobadilika(baada ya kutumia dawa) na hivyo kumlazimu mgonjwa kutumia dawa nyingine.Hii ndio sababu ya ugonjwa mmoja kuwa na dawa zaidi ya moja.
Lakini kwa kuwa hawa wafia dini wana viazi mbatata juu ya shingo, subiri kupewa jibu lililo nje ya swali au kuulizwa swali lililo nje ya mada.
Vinasaba vya viumbe hai vinahusiana nini na madawa?Unafahamu tatizo la antibiotic resistance? Unafahamu kwa nini dawa za antibiotics nyingi za zamani hazifanyi kazi?
Unafahamu tatizo la antibiotic resistance? Unafahamu kwa nini dawa za antibiotics nyingi za zamani hazifanyi kazi?
Mkuu hizi ni nondo za maana umetoa kwakweli siwezi kusema nipo deep sana kama daktari lakini hivi nimevielewa sana.Umenena vizuri,
Mfano tu Lawa of natural selection inapromote Depopulation of specific speacies. Na kama ingeendelea pasikngekuwa na viumbe hai.
Kitu kingine katika utapeli wa huyu free mason uliowakokota maelfu kuwa watumwa wa fikra. Ni evolution kuanzia kwenye CELL.
Ukiangalia Mgawanyiko wa Cells na matumizi yake mwilini hayawezi kutokea BY chance,
Mfano Sensory Cells Zinaspecific control mechanism inayoweza kuzicontrol cell nyingine kama Zile zinazotengeneza Muscles. Na katika Yote hajaelezea kwenye level za DNA na jinsi taarifa za kutosha zinazosababisha viumbe vionekane katika utofauti. Asingeweza hili maana marifa yalikuwa hayampi hizi data kwa sababu dunia ilikuwa na uelewa hafifu katika mambo ya DNA, na components zake. Kwa hiyo yeye alidevelop theories based on what he saw and not caused what he saw.
Hizi ni masonic projects ambazo zimewapofusha mabilioni dunia nzima na zimetapakaa kila kona kwenye Media, Mitaala ya mashule na vyuo, Holywood, etc
Mkuu hizi nondo nani atapingana nazo mkuu?![]()
Sio result ya Mutation. Mutation inapelekea upungufu wa Genetic information sio kuja kwa information mpya by chance.
Alafu ukumbuke genes (gene-pools) zinamabilions of information ambazo unapomuona bacteria haimaanishi ametumia information zote alizonazo. Haya yote darwin alikufa hayajui.
soma na hapa
"Bacteria taken from the frozen bodies of 19th-century explorers are resistant to certain types of antibiotics. Antibiotics came into general use 40 years ago, so the discovery challenges the view that only the widespread use and abuse of antibiotics has built up resistance to them. Kay Kowalewska-Grochowska and coleagues from the University of Alberta Hospital at Edmonton in Canada, isolated six strains of bacteria of the genus Clostridium from the bodies of William Braine and John Hartnell, members of the Franklin expedition to the Artctic in 1845.
Kowalewska-Grochowska grew the bacteria, which are part of the normal flora present in people's intestines, and tested the mocrobes' resistance to various antibiotics... surprisingly, the 140 year-old bacteria were resistant to two other antibiotics, cefoxitin and clindamycin."
-Rhonda Siddal, "Ancient Bacteria Resistant to Some Antibiotics,"New Scientist, Feb 11, 1989, p. 34
Explorers (led by Sir John Franklin in 1845) were sent north to look for a faster water-based trade route which would be better than having to sail all the way around the southern tip of South America to trade between the east coast and west coast of North America, and in a nutshell, they died in their search. The frozen bodies of dead men were discovered preserved in the waters north of Canada, and the bacteria tested in their system was found to be resistant to antibiotics that would not have been invented for another 120 years.
When reading the entire article from New Scientist Magazine, it forced the researchers to look for another explanation for how the bacteria were becoming resistant outside of the "new information" idea. The hilarious thing about this article is that they are listing out many possibilities, but the one they don't consider is that it's just a recessive trait (that causes damage and information loss to the ribosome). They won't consider a simple recessive gene because it doesn't help their religious evolutionary presuppositions.
"In 1988, researchers did autopsies on three of the Northwest Passage explorers whofroze to death in the Arctic in 1845. Bacteria from their colons were carefully cultured, andmany were already resistant to the most powerful modern antibiotics."
-Dr. Carl Wieland, "Antibiotic Resistance in Bacteria," CEN Tech Journal, Vol. 8, No. 1, 1994, p. 2![]()
Keep in mind, if you show this article to evolutionists, they will simply ignore the information because they have a presuppositional bias in their hearts that needs evolution to be true. For this reason, one of the more common dismissals of the documentation will be, "They must have had contaminated samples," but according to research done by the Medical Tribune, contamination was eliminated as a possibility.
"Well-preserved bodies of members of the Franklin expedition, frozen in the Canadian Arctic in 1845, contain bacteria resistant to antibiotics. Because the first antibiotics were developed in the early 1940s, these resistant bacteria could not have evolved in response to antibiotics. Contamination has been eliminated as a possibility."
-Rick McGuire, "Eerie: Human Arctic Fossils Yield Resistant Bacteria," Medical Tribune, Dec 29, 1988, p. 1
If an evolutionist wants to believe with all his heart and soul that evolution is true, then he is welcome to his beliefs. I don't care what he wants to believe. Evolution is a religious presupposition built on a tower of faith-based assumptions, and I just don't have enough faith to believe in it.
Uko vizuri, Walipaswa kujua hata Darwin wakati yuko kwenye meli alikuwa anasoma kitabu cha geology kabla ya kufika kile kisiwa cha archipelago. Story za kwenye kile kitabu zilimuinfluence kutunga hizo baseless theories. Ushauri wa wafuasi wa huyu mzushi wajue Updates sciences especially science of genetics zimemuoutdate Barwin na wafuasi wake.Mkuu hizi nondo nani atapingana nazo mkuu?
Umeona walivyoweupe unajua wakati wanapinga creationism nilikua najiuliza hawa watu ni ma professor wa institutions gani sababu nilijua wapo vizuri kichwani mpaka wamemuelewa Darwin alivyo na theories za ndani hivi achana na mambo ya DNA informations na calculations nyingine ambazo Imeletwa na hawa neo-Darwinists huyu tapeli hakua hata anajua hisabati.
Nimesoma biography yake huyu Freemason alikua mweupe kabisa kwenye hesabu na alikua anakusudia kusoma masomo ya zoology nafikiri na Medical Doctor ila alijiunga na moja ya charity masonry lodge ndio akakutana na huu mchongo wa kuwapumbaza low IQs.
Kumbe hawa evolutionists wa jf wanajua tu kuangalia mistari ya Bible yenye maana mbili ila huku kwingine hata hizi pumba za huyu tapeli hawazijui.
Aya yote hayana uhusiano wowote na evolution.Mkuu Kiranga hapo umewauwa...Kila kiumbe kinabadilika kulingana na mazingira, mfano bacteria na viruses (lower organisms) wanafanya evolution ya haraka kuliko binadamu(higher organisms).Ndio maana kuna aina ( strains) mbali mbali za hawa bacteria na viruses.Angali kitu kama HIV, kuna aina mbali mbali wa HIV, zamani kulikuwa na aina moja(Possibly) ya huyu kirusi lakini kutokana na kubadilika kwa mazingira anayoishi, DNA zake hubadilika(Evolution) ili aweze kuadapt kwenye mazingira mapya.....Kama mtu anasumbuliwa na ugonjwa unaosababishwa na bacteria au virus flani na kutumia dawa, kuna uwezekano wa yule mdudu kujibadili ili aweze kuishi kwenye mazingira yaliyobadilika(baada ya kutumia dawa) na hivyo kumlazimu mgonjwa kutumia dawa nyingine.Hii ndio sababu ya ugonjwa mmoja kuwa na dawa zaidi ya moja.
Lakini kwa kuwa hawa wafia dini wana viazi mbatata juu ya shingo, subiri kupewa jibu lililo nje ya swali au kuulizwa swali lililo nje ya mada.
Unaongelea mutations za pathogens ambazo zinaweza kuleta resistance, siyo? unafikiri ni mazingira gani yangeweza kuleta such radical changes; kutoka kiroboto, minyoo, samaki, nyani hadi binadamu, na ni kitu gani kimesababisha hayo mabadiliko yasiendelee kutokea kwa mnaowaita modern humans, au hiyo evolution imefika mwisho wa reli, Kigoma. Kwa taarifa yako mutations in higher living organisms, mfano binadamu will end up to be lethal mutations or genetic diseases and disorders ambazo haziwezi kupelekea changes of species status, kama kiroboto kubadilika kuwa mnyoo, then kuwa samaki, then kuwa tumbili, then kuwa binadamu. This is stupidity of the highest degree..katafuteni vilaza huko wa kuwadanganya.Mkuu Kiranga hapo umewauwa...Kila kiumbe kinabadilika kulingana na mazingira, mfano bacteria na viruses (lower organisms) wanafanya evolution ya haraka kuliko binadamu(higher organisms).Ndio maana kuna aina ( strains) mbali mbali za hawa bacteria na viruses.Angali kitu kama HIV, kuna aina mbali mbali wa HIV, zamani kulikuwa na aina moja(Possibly) ya huyu kirusi lakini kutokana na kubadilika kwa mazingira anayoishi, DNA zake hubadilika(Evolution) ili aweze kuadapt kwenye mazingira mapya.....Kama mtu anasumbuliwa na ugonjwa unaosababishwa na bacteria au virus flani na kutumia dawa, kuna uwezekano wa yule mdudu kujibadili ili aweze kuishi kwenye mazingira yaliyobadilika(baada ya kutumia dawa) na hivyo kumlazimu mgonjwa kutumia dawa nyingine.Hii ndio sababu ya ugonjwa mmoja kuwa na dawa zaidi ya moja.
Lakini kwa kuwa hawa wafia dini wana viazi mbatata juu ya shingo, subiri kupewa jibu lililo nje ya swali au kuulizwa swali lililo nje ya mada.
Labda nikuulize swali, species mpya inaweza kutokea kwenye species iliyokuwepo?....pili ebu na nyie leteni chanzo chenu cha binadamu ili tukiunge mkono au kukikosoa.Unaongelea mutations za pathogens ambazo zinaweza kuleta resistance, siyo? unafikiri ni mazingira gani yangeweza kuleta such radical changes; kutoka kiroboto, minyoo, samaki, nyani hadi binadamu, na ni kitu gani kimesababisha hayo mabadiliko yasiendelee kutokea kwa mnaowaita modern humans, au hiyo evolution imefika mwisho wa reli, Kigoma. Kwa taarifa yako mutations in higher living organisms, mfano binadamu will end up to be lethal mutations or genetic diseases and disorders ambazo haziwezi kupelekea changes of species status, kama kiroboto kubadilika kuwa mnyoo, then kuwa samaki, then kuwa tumbili, then kuwa binadamu. This is stupidity of the highest degree..katafuteni ****** huko wa kuwadanganya.
Nakuelewa sana Mkuu hasa hapo kwenye mambo ya genetics ninajua traits za kiumbe huwa zinaathriwa sana na genotype haiwezekani genotype ikabadilishwa na phenotype influences lakini ukiisoma hii theory ya huyu jamaa mbona power kubwa ya modifications za organisms zinakuwa influenced na environmental variations.Uko vizuri, Walipaswa kujua hata Darwin wakati yuko kwenye meli alikuwa anasoma kitabu cha geology kabla ya kufika kile kisiwa cha archipelago. Story za kwenye kile kitabu zilimuinfluence kutunga hizo baseless theories. Ushauri wa wafuasi wa huyu mzushi wajue Updates sciences especially science of genetics zimemuoutdate Barwin na wafuasi wake.
Mfano Mdogo tu;
Natural selection Theory haijibu Hicho kitu kilitoka wapi. Theory inacompare vitu viwili ambavyo vipo tayari. Mfano kipepeo mweupe na brown kwenye mti wa brown. Wanaeleza eti DNa Molecules na Genes zilitokea By chance.
Swali Dogo tu;
DNA ni vinasaba vinavyobeba taarifa zote za kiumbe kuanzia jinsi alivyo yaani kila kitu. Gene moja inamamillion ya taarifa kuhusu wewe. Probability ya Kulilipua GOGO upate KITI tena chenye mpangilio wenye kuelewana, Ni Zero. Huu mfano unaua theory nyingine Ovyo kabisa inaitwa BING BANG Theory
Hivi hujui kuwa kila kitu kinabadilika kulingana na mazingira?....hao unaowaulizia unadhani ni kitu gani kingewazuia kukamilisha evolutions na kubakia hivyo?....pili hiyo hatua ya mwishi, ni kweli kuwa binadamu wote ni wazungu kama picha inavyoonesha?Wewe nimekuuliza swali hapo mbona unakwepa hutaki kujibu?
![]()
Mkuu unammaliza mpaka saivi hajitambui hiyo nondo ni hatari sana.Unaongelea mutations za pathogens ambazo zinaweza kuleta resistance, siyo? unafikiri ni mazingira gani yangeweza kuleta such radical changes; kutoka kiroboto, minyoo, samaki, nyani hadi binadamu, na ni kitu gani kimesababisha hayo mabadiliko yasiendelee kutokea kwa mnaowaita modern humans, au hiyo evolution imefika mwisho wa reli, Kigoma. Kwa taarifa yako mutations in higher living organisms, mfano binadamu will end up to be lethal mutations or genetic diseases and disorders ambazo haziwezi kupelekea changes of species status, kama kiroboto kubadilika kuwa mnyoo, then kuwa samaki, then kuwa tumbili, then kuwa binadamu. This is stupidity of the highest degree..katafuteni ****** huko wa kuwadanganya.
Sasa mbona unanipa swali ambalo wewe ndio ungenipa majibu.Hivi hujui kuwa kila kitu kinabadilika kulingana na mazingira?....hao unaowaulizia unadhani ni kitu gani kingewazuia kukamilisha evolutions na kubakia hivyo?....pili hiyo hatua ya mwishi, ni kweli kuwa binadamu wote ni wazungu kama picha inavyoonesha?
Mkuu huo utabaki Peke yako wenzako walishatoka siku nyingi.Je Mutations na Geographical isolation ya viumbe wa kufanana inaweza kusababisha kutokea kwa species mpya?
Je hao mamilioni ya nyani msituni ni wa species moja wote? na hawa modern men wote wanafanana?Sasa mbona unanipa swali ambalo wewe ndio ungenipa majibu.
Swali saivi kuna mamilioni ya nyani msituni tunayaona na pia wapo mamilioni ya the so called modern men nataka kujua ni kitu gani kimefanya hakuna (theory facts) kuwapo kwa hawa transitioning apes?
Kubadilika kutokana na mazingira Hakujustfy Uchwara wa EVOLUTION.Hivi hujui kuwa kila kitu kinabadilika kulingana na mazingira?....hao unaowaulizia unadhani ni kitu gani kingewazuia kukamilisha evolutions na kubakia hivyo?....pili hiyo hatua ya mwishi, ni kweli kuwa binadamu wote ni wazungu kama picha inavyoonesha?