ShyaRuwa
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 7,895
- 13,643
Kwenye huu mjadala ikumbukwe kwamba tunajadili THEORIES na siyo PRINCIPLES....Hivyo sii jambo la ajabu kwa theory kuungwa mkono au kukosolewa.Tatizo ni pale ambapo mtu anatumia hisia zake kuforce theory kuwa principle.Theory ni kitu kipo wazi/open kwajili ya mjadala wa ndio au hapana kutokana na kuwa na mambo yanayo onekana kama mapungufu ama ukamilifu.Vile vile ieleweke kwamba mapungufu ya theory flani haifanyi theory pinzani kuwa sahihi,...ndio maana Theory ya special creation ikija mezani utasikia mapungufu yake yakipewa majina na kama fumbo la imani au njia za Mungu hazichunguziki....Mimi nimekuuliza swali, je inawezekana kwa species mpya ikatokana na species za zamani? jibu ndiyo au hapana.Mkuu huo utabaki Peke yako wenzako walishatoka siku nyingi.
Msome huyu Evolutionary Biologist WILLIAM FIX anazika Rasmi huu uchafu baada ya kugundua Idea ya HOMOLOGY, Yaani ukiwachunguza wanyama wengi Wana skeleton zinazoendana na Pentadactyl Limbs (mifupa mitano inayoendana kama vile mikono) inaonyesha Viumbe vyote asili yao ni moja inavofanana. Na huu ndio mzizi wa evolutionist. lakini anasema kama Hizi structure zilikuwa transmitted na same Gene Couples, Zilizobadilikabadilika kwa njia ya Mutation Enviromental selection kidogo ingeleta SENCE, badala yake HICHO KITU HAKIPO.
Na hivyo Basi Imekuja kuwa concluded kuwa HOMOLOGOUS features zimwekuwa produced by different gene complexities ambapo imeprove kuwa hata viumbe vyote havikuanza kwa cell moja au common origin.