Charles Darwin 3rd Degree MM aliefanikiwa kuupotosha ulimwengu kwa Illuminati agenda

Charles Darwin 3rd Degree MM aliefanikiwa kuupotosha ulimwengu kwa Illuminati agenda

Kuna moja yaa Darwin kuo binamu yake kuhusisha na ufreemason kidogo imenipa tabu sababu baadhi ya makabila ya kiafrika wanafanya hivyo mfano wazalamu kwao binamu nyama ya hamu vp nao Freemason.
 
Kuna moja yaa Darwin kuo binamu yake kuhusisha na ufreemason kidogo imenipa tabu sababu baadhi ya makabila ya kiafrika wanafanya hivyo mfano wazalamu kwao binamu nyama ya hamu vp nao Freemason.
Sio kuoa binamu kisha basi ni kwamba familia zinaoana familia mbili ndugu wanakua wanaoana wenyewe kwa wenyewe tu na ni marufuku kuoa pengine ni kama royal family ya uingereza.

Kafuatilie ni kwanini princess Diana aliuwawa.
 
Uzuri wa science ubapingwa kwa science nasio porojo nikweli inamapungufu nandio maana kuna theory zingine ila hii ya Darwin imekua nikama mzizi wabinadamu wengine kuanzia utafiti nahiyo ndo science, ukileta dini na hisia binafsi kweny haya mambo utaona kama imenyweshwa chibuku
 
Nakuelewa sana Mkuu hasa hapo kwenye mambo ya genetics ninajua traits za kiumbe huwa zinaathriwa sana na genotype haiwezekani genotype ikabadilishwa na phenotype influences lakini ukiisoma hii theory ya huyu jamaa mbona power kubwa ya modifications za organisms zinakuwa influenced na environmental variations.

Mfano theory ya the use and disuse of an organ. Eti usipoutumia mkono kwa muda mrefu mkono unapotea kwelli?

Maumbile ya kiumbe hai kubadilika huwa ni genotipification kwa kupitia crossing kutoka pande mbili za cell inakuaje tofauti za kimazingira zinaingia ndani ya cells na kubadili utendaji kazi wake?
Hapo kwenye disuse nimemuelewa, hakumanisha lazima kipotee ila kinakua weak hata ww ukiamua kuuweka idol mkono wako mmoja kwamda mrefu lazma uwe dhaifu tofauti naule uliobize
 
Hapo kwenye disuse nimemuelewa, hakumanisha lazima kipotee ila kinakua weak hata ww ukiamua kuuweka idol mkono wako mmoja kwamda mrefu lazma uwe dhaifu tofauti naule uliobize
Mkia wako upo wapi?
Nyani.
 
Labda nikuulize swali, species mpya inaweza kutokea kwenye species iliyokuwepo?....pili ebu na nyie leteni chanzo chenu cha binadamu ili tukiunge mkono au kukikosoa.
Which came first? Male or Female?

[emoji86] [emoji86] [emoji86]
 
Unafahamu tatizo la antibiotic resistance? Unafahamu kwa nini dawa za antibiotics nyingi za zamani hazifanyi kazi?
Jibu haya maswali kila moja nipe naelezo yanayojitosheleza.

1. Which came first? Time, Space, Matter or energy?

2.Where did the necessary materials to create the universe come from and

where did they exist if there was no space?

3. Where did life originally come from if it can not appear spontaneously?

4. Which came first? Male or Female?

5. Why do we find petrified trees standing up through supposedly “millions” of years worth of geological layers?

6. What were the first elements to be formed?

7. When and how did the stars come to be?

8. When did the laws of nature(i.e. Gravity) first come into effect?

9. Why is an unproven theory used as fact?

10. How did the universe start(please provide specified details)?
 
images
Kimeandikwa na aliyekua mwanafunzi wa Charles Darwin.

Author: Kenneth Lawrence was born in British Columbia, Canada, where he currently resides. He has had an intense interest in science most of his life. A believer in Darwinian evolution for many years
 
DoE06_May2015Digital-1large.jpg

What people say about The Delusion of Evolution

“The Delusion of Evolution certainly contains a lot of information and I like the way you have tried to tackle the subject on multiple platforms. The magazine gives some clear and concise explanations of the ideas involved in the growth and development of the evolution theory – and offers credible explanation of the flaws in the theory and the alternative possibilities. You’re obviously trying to make some complicated scientific wranglings accessible to the average reader and I think you’ve achieved that.”
 
evolution-delusion-3d-truth-medallion.png

The Evolution Delusion

A Scientific Study of Creation & Evolution
by Dr. Bo Kirkwood

The Evolution Delusion is written by Bo Kirkwood, D.O., demonstrating that not everyone who opposes evolution is an uneducated religious fanatic. Dr. Kirkwood examines evolution from a scientific perspective to show that evolution is not based on the scientific method; rather it is a philosophy accepted by men who have rejected God's revelation and excluded the possibility of the miraculous. The evolutionary theory conflicts with many scientific facts. The presuppositions assumed by evolutionary theory are mathematically so improbable that only a rabid faith in the theory would cause one to continue to defend it. After showing the weaknesses of the evolutionary theory, Dr. Kirkwood looks at the Biblical alternative - creation. Dr. Kirkwood's work is written so that one who is not a science professional will have little trouble comprehending his arguments.
 
Jibu haya maswali kila moja nipe naelezo yanayojitosheleza.

1. Which came first? Time, Space, Matter or energy?

2.Where did the necessary materials to create the universe come from and

where did they exist if there was no space?

3. Where did life originally come from if it can not appear spontaneously?

4. Which came first? Male or Female?

5. Why do we find petrified trees standing up through supposedly “millions” of years worth of geological layers?

6. What were the first elements to be formed?

7. When and how did the stars come to be?

8. When did the laws of nature(i.e. Gravity) first come into effect?

9. Why is an unproven theory used as fact?

10. How did the universe start(please provide specified details)?
Mleta hoja na wadau wengine mmetumia elimu yenu vizuri.

Kiranga njoo huku wanakusubri mwenzako amelowa chepe chepe
 
images

When it comes to the subject of human origins, these folktales are criticized as mythical. Small wonder, then, that most scientists denigrate the Genesis account of creation as utterly preposterous; even some theologians claim it as ancient mythology. Still, the explanations by which evolutionary scientists account for human origins, such as life’s springing from non-life, are even more mythical than the ones they seek to replace.
 
science-evolve-evolving-evolution-animals-monkeys-hsc4629_low.jpg

"I love fools' experiments, I am always making them" - Charles Darwin.
 
Jibu haya maswali kila moja nipe naelezo yanayojitosheleza.

1. Which came first? Time, Space, Matter or energy?

2.Where did the necessary materials to create the universe come from and

where did they exist if there was no space?

3. Where did life originally come from if it can not appear spontaneously?

4. Which came first? Male or Female?

5. Why do we find petrified trees standing up through supposedly “millions” of years worth of geological layers?

6. What were the first elements to be formed?

7. When and how did the stars come to be?

8. When did the laws of nature(i.e. Gravity) first come into effect?

9. Why is an unproven theory used as fact?

10. How did the universe start(please provide specified details)?
King Octavian hazole1 magode bukoba boy mair erasto Apollo brillnoel UrbanGentleman Elungata njooni mteteeni mungu wenu Charles Darwin na imani yenu ya Darwinism huku.

Nijibuni hayo maswali [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] baba yenu Kiranga yupo uvunguni.
 
King Octavian hazole1 magode bukoba boy mair erasto Apollo brillnoel UrbanGentleman Elungata njooni mteteeni mungu wenu Charles Darwin na imani yenu ya Darwinism huku.

Nijibuni haya maswali baba yenu Kiranga yupo uvunguni.
Mkuu mbona unawatakia watu brain concussion hao uliomantion hata maana ya evolutionism hawajui maana yake.

Hao ni wabobevu wa kukagua mistari tu huku unawaonea mkuu wataikimbia jf.

Waulize tu kama wanafahamu hiki kitu.

Protocols of the Elders of Zion 2-3

DESTRUCTIVE EDUCATION
3. Do not suppose for a moment that these statements are empty words: think carefully of the successes we arranged for Darwinism (Evolution), Marxism (Communism), Nietzsche-ism (Socialism). To us Jews, at any rate, it should be plain to see what a disintegrating importance these directives have had upon the minds of the GOYIM.

"I love fools' experiments, I am alwaysmaking them" - Charles Darwin.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ni Tanzania tu watu wanaopinga creationism ni imbecile, lunkhead, meathead, nitwit na simpleton ulaya wengi wao huwa at least little dumb. [emoji97] [emoji97] [emoji97] [emoji97]
 
Kweli imekuwaje hakuna samaki tena wanaobadilika saivi na kuwa kiboko au tembo au nyau au mwewe au nyani na hakuna nyani anayebadilika na kuwa mwanadamu nini kimekuwepo zamani saivi hakipo???

Kiranga tunataka majibu tafadhali.
Evolution haisemi hivyo mkuu..Nyani hakubadilika na kuwa binadamu ila binadamu unae mwona leo ndiye alifanyika evolution.
Na kwa hili hadi leo linathibitika binadamu wa zamani chukulia tu babu zetu kuna tofauti na sisi japo ni mere kuiona
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ni Tanzania tu watu wanaopinga creationism ni imbecile, lunkhead, meathead, nitwit na simpleton ulaya wengi wao huwa at least little dumb. [emoji97] [emoji97] [emoji97] [emoji97]
😀😀 we jamaa umenichekesha kidogo nipaliwe unajua hawa misukule wa evolution wa Tanzania ukitaka debate nao inatakiwa uanze kuwafundisha evolution from the scratch kwanza wakishaelewa ndio muanze sasa debate sababu hata evolution yenyewe hawaijui ndio mana unaona thread haipo active challenged.

Ukitaka uone povu lao andika tu John 1:1 simple things lakini huku wanapita kama hawapo jf vile ndio mana nikakwambia unawatakia brain concussion.
 
Back
Top Bottom