Charles Darwin 3rd Degree MM aliefanikiwa kuupotosha ulimwengu kwa Illuminati agenda

Jibu haya maswali acha pumba.

1. Which came first? Time, Space,Matter or energy?



2.Where did the necessary materials to create the universe come from and

where did they exist if there was no space?



3. Where did life originally come from if it can not appear spontaneously?



4. Which came first? Male or Female?



5. Why do we find petrified trees standing up through supposedly “millions” of years worth of geological layers?



6. What were the first elements to be formed?



7. When and how did the stars come to be?



8. When did the laws of nature(i.e. Gravity) first come into effect?



9. Why is an unproven theory used as fact?



10. How did the universe start(pleaseprovide specified details)?
 

Sasa kama mlishaifuta masikioni mwenu kwanini mnahangaika nayo na kwanini msilete hoja zisizo na mapungufu juu ya chimbuko la binadamu mkuu? Ili sisi wa darasa la saba tukajua chimbuko letu.

Kama msomi ulitakiwa useme theory ni bubu na kuweka uliyoifanyia uchambuzi.


Usinilishe maneno hakuna sehemu niliyosema theory haijakamilika ni mwenzako huko juu.

Kama lengo ni kupinga kitu ulichokifuta maskioni na kichwani mwako..baadae [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Bora tu usepe sababu ni pumba mwanzo mwisho.
Nilikua nakuurumia utaanzaje kujibu hizo hoja wakati Darwinism nayo umekupita kushoto unasema evolution ilianzia kwa modern man sijui ikaishia kwa siafu???

Ni huzuni tu.
 
Bora tu usepe sababu ni pumba mwanzo mwisho.
Nilikua nakuurumia utaanzaje kujibu hizo hoja wakati Darwinism nayo umekupita kushoto unasema evolution ilianzia kwa modern man sijui ikaishia kwa siafu???

Ni huzuni tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu hilo lilikua ni dumu la mafuta ya korie tokea mwanzo nilishaligundua hilo[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Bora tu usepe sababu ni pumba mwanzo mwisho.
Nilikua nakuurumia utaanzaje kujibu hizo hoja wakati Darwinism nayo umekupita kushoto unasema evolution ilianzia kwa modern man sijui ikaishia kwa siafu???

Ni huzuni tu.

Tatizo redeemer hampo serious na hamweleweki mnachotaka kwenye huu uzi. Kichwa cha mada hakiendani hata na mnachouliza. Hoja siioni mara maswali ya space na energy. mara mmerudi kwenye theory kutumika kwenye education institutions.

Nikuumbue tu: sehemu gani nimeongelea theory kuanza kwa modern man? Na kuishia kwa siafu? Sitaki kuamini hizi kumbukumbu ni za mtu aliyefanya dissertation.

See you brother.
 
Okay hayo mengine yote nakusamehe nijibu hayo maswali 10 niliyokupa sababu tuokoe muda ninayo mengi zaidi ya 50 nahitaji majawabu.
 
Thread imekosa changamoto, Arguments za wapinzani zimeyeyuka hatua za awali kabisa.
Athiests/Evolutionists sio wanascience maana wanascience wameshawakana na proved their threory is dilutional and flaw.
Aibu sana kuwa na WaTZ wasiokuwa na updated version of what they stand for.
 
mmmhh mada za akili kama hizi huwaoni viazi kuja kuchomekea
Wakina nani hao viazi? Mada kama hizi mda mwengine huwa zinachosha sana kudiscus caz hazina application katika maisha, yaani hazishawishi katika maendeleo ya nchi ila ni kuwafanya watu kuwa watumwa wa kifikra na kupinga Uwepo wa Muumba.
 
Mkuu I personally think this is a post of the day.....I also think you are among the few people who are able to think critically when analyzing an issue, that's why You are able to see both sides of the coin.Some of Africans are laziest beings when it comes to the matter of thinking, as a result they have turned into universal receivers of anything come into their way as long as it's is coming from the whites.They have substituted their culture for that of Europeans....They are ready to die only for the sake of glorifying other's culture like religion.They accepted foreign religions believing that they are 100% correct though they came with a lot of mistakes and cruelty, things which are contrary to what religions preach.Who will deny cursedness over Africans? only fool...see them in HOMO very soon.
 
Si mtumie kiswahili tu ili muelewane sababu English hata hamuelewani.

Jamaa yako kasema hivi.... Reasonable Africans know that there is truth in both bible and theory of evolution.

Yeye anaamini Bible na Darwinism vyote vya mzungu.

Wewe unaamini Darwinism kwani Charles Darwin alikua msukuma?
 
Okay hayo mengine yote nakusamehe nijibu hayo maswali 10 niliyokupa sababu tuokoe muda ninayo mengi zaidi ya 50 nahitaji majawabu.
Redeemer umeitendea haki mada hii. Atheists walikuwa wanajenga hoja hakuna Mungu wakiwa na base ktk evolution. Kwamba "matter created matter" something which is nonesense.

Ulichelewa sana kufika ktk uzi wa Kiranga, alitukana sana lakin leo ameingia mitini.

Kwa upande huo nakupa hongera. Kwenye mistari ya Biblia me nipo waje tu.
 
Ni wapi nimesema namwamini Darwin?....M tu akileta theory yake juu ya chanzo cha kitu fulani ninaipokea na kutathimini....ila ni wapi nimesema namwamini Darwin?
 
Wazungu ni sawa na Waafrika wamegwanyika Athiests/evolutionists wamefuata ujinga wa wazungu wenzao na baadhi ya waafrika wakafuata mkumbo. Christianity has nothing to do with a certain race. It was neother initiated in europe. Its a Multicultural origin with sparking orgin at middle east destined to be a message to all mankind. Usichanganye mambo.
Tetea uozo wa evolution kwanza.
 
Ni wapi nimesema namwamini Darwin?....M tu akileta theory yake juu ya chanzo cha kitu fulani ninaipokea na kutathimini....ila ni wapi nimesema namwamini Darwin?
Tunaomba majibu au maoni yako baada ya Kumtathimini Darwin
 
Ni wapi nimesema namwamini Darwin?....M tu akileta theory yake juu ya chanzo cha kitu fulani ninaipokea na kutathimini....ila ni wapi nimesema namwamini Darwin?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwamba unathamini theory ya Darwin lakini haumuamini???
Aise kiswahili ni kipana sana.

Nikuambie tu kama hujui
Ni kwamba wewe ni muumini wa Darwinism na unaitwa Darwinist kama anayeamini Christianity anaitwa Christian.

Hivyo wote mna imani ila miungu tofauti wewe ni Darwinist sababu umeyapokea na kuyaamini yote Darwin aliyoyasema ndiomana saivi unapoteza muda wako kumtetea mtu aliyekula mkwanja mtefu wa kupumbuza fahamu zako.

Huwezi kumwaga povu hapa kwa kitu husichokiamini.
Upo hapo Darwinist?
 
Fuatilia post yake ya kwanza alivyokuja Speed akitafuta backup kwa Kiranga
Baada ya kuwa brainmopped na Facts kapoteza direction.
 
Okay hayo mengine yote nakusamehe nijibu hayo maswali 10 niliyokupa sababu tuokoe muda ninayo mengi zaidi ya 50 nahitaji majawabu.
Redeemer nashindwa kuelewa lengo lako.

Ishu ni unataka mimi kudeclair may be naamini biblia au Darwinism? Au lengo nini?

Ok. Siamini chochote kati ya vyote hivyo.
 
Fuatilia post yake ya kwanza alivyokuja Speed akitafuta backup kwa Kiranga
Baada ya kuwa brainmopped na Facts kapoteza direction.
Mkuu kwenye zile nondo zako za jana usiku nani hajipendi?

Nimewaita wale mapapa wa atheism hakuna hata mmoja aliyetokea tatizo ni kwamba kiranga ndio amewaingiza members wengi humu kwenye atheism sasa wanamtegemea kwa lolote.

Alivyotoka nduki jana wamelowa chepechepe wanafikiri atheism ni kokusoa tu Bible they don't know they have the huge task to defend their delusion crap.
 
Mkuu unaona ulivyo kihio/kilazer? mimi nimesema natathimini theory ya Darwin, wewe unadai kwamba nimesema nina thaminini theory ya Darwin.Hivi ni kweli kwamba hujui tofauti kati ya kuthamini na kutathimini? kwahiyo najadili na kakilazer?....Kutokukubali special creation theory amanishi kwamba namuunga Darwing mkono.Mimi ni Free thinker, si fungamani wala kuwa na unazi na upande wowote kati ya Darwinism au Special creation...ninafungamana na upande wenye maelezo na evidences za kutosha.Kwa hiyo kutokuamini kwangu kwenye Special creation haimanishi kuwa mimi ni Darwinist.Theories zote zinafaa kuletwa mezani zikiwa na maelezo na shahidi za kutosha ili tuzifanyie tathimini kuona nani yupo sawa na nani yupo kimakosa....ila nyie tayari mshazifunga akili zenu kwa kuamini kuwa Special creation ni sawa kwa 100%.....Kwa hiyo ieleweke kwamba ninatafuta shahidi na maelezo juu ya theory zote na siyo kufungamana wala kuiponda theory flani....itakayo appeal kwangu ndiyo nitakayoiamini......@MSEZA MKULU
 
Katika thread ambazo niliamini kuwa kuna watu ni wabishi lakini hawapendi kujifunza bali wanataka ubishi ni hii mada. Nakumbuka nilichangia mwanzoni sana lakini niliona hakuna anayependa tujifunze bali ni ubishi.

Anyway, kwa kutoa mchango na mawazo yangu, Charles Darwin sio muanzilishi wa concept ya Evolution. Mwanzoni hii idea ya evolution ilikwepo kwenye baadhi ya Imani kama vile Buddhism na Induism. Buddha alisema ulimwengu unachange, viumbe vinachange nothing stay the same as it is, everything change from one form to another. Pia kwa upande wa wanafalsafa idea hii ilitolewa mawazo na Lucretius mwanafalsafa wa kigiri aliyeamini ulimwengu, viumbe na ufahamu umeanzia kutoka simple to complex. Miaka 600 kabla ya Darwin uarabuni alikwepo mtafiti na explorer aitwaye Nasir al-Din Tusi ambaye naye alizungumzia evolution ya viumbe kwa kina na hakukosea ila tu hakuwa na tafiti. Wapo watafiti kabla ya Darwin kama vile Russel Walace, Thomas Malthus, Erasmus Darwin aliyekuwa mlezi na babu wa Darwing ndiye aliyemfundisha Darwin kuhusiana na evolution kwa kusafiri na, kuchunguza nyani wa Africa na waka watu wa kwanza kuamini kuwa Nyani, masokwe na binadamu wametoka katika aina moja ya kumbe kilichoishi zamani sana ambacho kutokana na mageuzi kwa muda mrefu wa miaka na miaka zikatoka species mbalimbali wakaziita primates. Hivyo evolution sio idea ya Darwin tu, kuna imani za kale ziliiamini, kuna wanafalsafa wa kale walisema hivyo hivyo ila contribution ya Darwin ni alipoifanya iwe kisayansi kwa kutafuta ushahidi wa Mabaki ya mifupa ya kale, kuangalia sifa za viumbe na classification.

Evolution haizungumzii mwanadamu tu, ni kila kiumbe dunia. Kupitia evolution farasi, punda na pundamilia waligunduliwa hapo kale walikuwa trait moja na species moja.

Evolution inajibu kuhusiana na kwanini simba, paka, chui, puma wanafanana.

Evolution inajibu kwanini nyangumi ana mapafu, ni mnyama na ana nywele badala ya magamba, kwanini nyangumi ananyonyesha na kuzaa. Ni kwasababu aliwahi kuwa mnyama wa nchi kavu aliyetemea kuwinda vyakula vya kwenye bahari na hatimaye maisha yake yakazoea na sasa anaishi majini, pia sawa kwa kasa, na Sea Lion.

Evolution inajibu jinsi Penguin waliwahi kuwa ndege

Evolution inajibu jinsi viumbe vilipoacha kutaga na kuanza kuzaa

Evolution inajibu kwanini kuna mchina, mwafrika, mzungu na wote wanatofautiana. Mwafrika hawezi kuzaa na mwafrika wakapata mchina hata siku moja, then kama bila evolution tutasema wachina na races zilitoka wapi?

Evolution inajibu kwanini ukikunja kiganja chako mishipa ya mkono unautumia sana inayounganisha muscles na movement ya vidole inatofautiana katika mkono ulioutumia zaidi.

Evolution inajibu kwanini watoto wako hawawezi kufanana na wewe completely, na jinsi genes zinavyofanya shuffling na mutation.

Evolution inajibu mutation inavyofanya kazi

Evolution inaelezea kwanini Olduvai na sehemu nyingi kuna mabaki ya Homins wana sifa za nyani katika muonekano lakini walikuwa watembea miguu miwili na wamekutwa mifupa yako kwenye mabaki ya mawe na mifupa. Mifupa ina alama za meno na mawe katika kufunjwa na mawe yanaonekana yamechongwa kwa nia na madhumuni ya matumizi.

Evolution inajibu jinsi mwanadamu alivyosambaa kutoka afrika kuenea mpaka mabara mengine

Evolution inajibu kwanini huwezi kupata mabaki ya kale ya mwanadamu yanayozidi miaka milion 1.5 nje ya Africa.

Evolution inajibu mabaki ya viumbe wa kale ambao hawapo leo mfano farasi mwenye kwato tatu mifupa yake ipo olduvai, twiga wa shingo fupi, vifaru wafupi, tembo mammoths, dinasours waliokuwa wanapaa.

So why shouldn't I believe in Evolution? It make sense to me.

NB: Mimi ni archaeologist ninachukua masters ya Pili (Masters in Archaeology) University of Dar es Salaam. Katika fields zangu nimechimba sana, nimechunguza mifupa sana for 5 years now na siwezi kupinga. Kuna concepts kwenye evolution unaziona kabisa kwenye remains za kale.

Kama huamini evolution its okay, kama unaona ni illuminati ni mawazo na fikra zako. Sio lazima kila mtu awe na mtazamo huo. Sio kila mtu ni mkristu au muislam. Wengine imani zetu zinaunga mkono evolution na hatuwezi kusema ni uongo au ni ushetani as some perceive kutokana na imani zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…