Charles Darwin 3rd Degree MM aliefanikiwa kuupotosha ulimwengu kwa Illuminati agenda

Nasikiaga kuwa mfumo wa elimu yetu ni kama wa uingereza ni kweli.? kama ni kweli je kwenye somo la history ile mambo ya evolution of a man lipo au lilikuwepo kweli.??

lipo mpaka wakati huu naandika na Profesa Ndalichako analijua, naomba jf mumuite profesa wetu tubadilishane nae mawazo, ikiwezekana jf waandae mijadala ya wazi na watu wafike pamoja na viongozi weti, hili swala nimoja ya jambo linalotakiwa tumuulize ndalichako anakibaliana na huu UCHWARA wa wapumbavu hawa
 

Siwezi kuelezea kitu kwa kutaka challenge au kukusikiliza ili nikuchallenge. Bali tunaangaziana mwanga wa ufahamu. Unatoa concept wako nakusikiliza au naelezea jambo nawe unanisikiliza na mwisho wote kwa pamoja tunatumia akili timamu kuangalia logic ilivyo.
 
[/QUOTE]
[quote uid=292576 name="CHARMILTON" post=17569378]Ina maana wataka kusema raia hawana option ya kuchagua pindi zijapo theories za chanzo cha uhai? Kwani special creation theory haifundishi kwenye jamii?...Evolution ni famous kwa sababu inachunguzika/able to be tested tofauti na hiyo ya Mungu iliyoshushwa from nowhere.Kuwepo kwa wafuasi wengi na makosa/changamoto nyingi kwenye Evolution ni kwa sababu watu wanaweza kuijifunza na kuichambua tofauti na hiyo ya Mungu iliyokuja na vitisho ili kuforce watu waikubali.[/QUOTE]Unazidi kujionesha ulivyomtupu kichwani huo utafiti uliokuonyesha samaki akiwa dinosaur uliufanya wapi na matokeo yalikuaje?

Alafu umeshasema hii theory hauijui (hujaitathmini) unawezaje kuijibia maswali na kuitetea dini yako ambayo bado haujaitathmini?

Pia umesema wakristo tudanganywa na wazungu lakini wewe naona povu linakutoka haswa kumtetea tapeli wako Darwin au ameshabadili uraia? [emoji23] [emoji23] [emoji97] [emoji23]
 
Unasema unafanya excavation lakini maswali yangu kumi yamekushinda hiyo masters ya pili ungesomea tu uuguzi.
[emoji120]
 

Tena MTU MPUMBAVU kuliko kiumbe chochote alichowaki kuumba MWENYE ENZI NA WAKUDUMU DAIMA.
 

Kuwa chanzo cha theories haiipi uhalali wa kuwa yakweli, unaweza ukaleta uongo kuwa ubungo inawaka moto kwa sasa, watu wakaenda kuthibitisha wakaja kukwambia wewe ni muongo
 
Unasema unafanya excavation lakini maswali yangu kumi yamekushinda hiyo masters ya pili ungesomea tu uuguzi.
[emoji120]

Asante. Pia tazama maswali yako na excavation kama vinahusiana na penda kuuliza swali moja moja kisha ukielewa Au ukimuelewesha mtu ndipo uliza la pili. Sio kila mtu yupo kubishana.
 
Asante. Pia tazama maswali yako na excavation kama vinahusiana na penda kuuliza swali moja moja kisha ukielewa Au ukimuelewesha mtu ndipo uliza la pili. Sio kila mtu yupo kubishana.
Mkuu sio vibaya kitu kama hukijui au hauna uhakika nacho ukakiri.

Hivi wewe kama msomi wa field hiihii hujapitia articles za maprofessor na maDr. Wakiipinga hii theory kwa article zao?

Usijivunge soma hivyo vitabu Redeemer ameviweka huku usiwe mbishi soma hivyo vitabu ndio uje hapa wewe kama msomi wa hii field.
[emoji120]
 
naomba uelewa wako kuhusu Gene mutation in relation to Evolutionary theory.
 

Okay. Labda nikuambie ukweli. Mpaka sasa katika Sayansi hakuna Theory yoyote inayopingana na Evolution na inayoelezea asili ya viumbe labda Creationism. Mfano creation haikubaliki katika science na haina ushahidi kuwa ni kweli mpaka sasa na sidhani kama ni Theory.

Kama mwanadamu wa kwanza walikuwa ni wawili walioishi somewhere kwanini kuna races? Kwanini wanaoishi equatorial ni wana rangi fulani na wanaoishi kwenye poles wana rangi fulani? Lets say Adam na Hawa walikuwa Waafrika then Mchina ametoka wapi? Mzungu na Wahindi? Okay lets say mwanadamu wa kwanza alikuwa muafrika halafu akabadilika kutokana na Mazingira basi hapo utakuwa umeunga mkono Evolution. Tunashare genes sawa na 50% ya kufanana kwa Dna na Mmea wa Ndizi, 37% na uyoga na 98% na Chimpanzee that means something. Before life was one na mabadiliko yametubadilisha lakini genes bado haijabadilika sana kutokana na kuwa ndio kitu cha mwisho kubadilika.

Theory ya evolution sio kuhusiana na mwanadamu ametoka katika nyani. Swala la kusema mwanadamu, nyani na masokwe wametoka katika uzao mmoja ni tokeo la kufahamu theory ya mageuzi lakini sio kwamba ndio kiini cha theory.

Evolution ni mabadiliko ya taratibu kutoka kizazi mpaka kizazi kutokana na Natural selection, gene shuffle, mazingira na adaptation kwa kipindi kirefu cha miaka na taratibu. Na ina ushahidi katika Genes, DNA tests, mifupa ya zamani, wanyama wanaofanana lakini species tofauti na races.

66 Interesting Facts about Evolution

Lakini kumbuka kuwa ni Theory na sio principle au law. Hata kama ina ushahidi lakini wanasayansi wanaacha iendelee kuchunguzwa sana na kuhitimisha ukweli.
 

Ningewaambia wasome kitabu cha "Sapiens: A Brief History Of Humankind" cha Yuval Noah Harari

Ni kitabu kizuri sana kwa mtu anayetaka kujifunza.Ukitaka kuwa na mengi ya kusema, soma sana, sikiliza sana. Wengine wanataka kusema sana tu, hawasomi, hawasikilizi.

Kwa kila jambo moja unalosema, uwe na mia moja uliyosoma au kusikia.

Nakisoma sasa. Ona zaidi hapa

Kwa wanaojua kiingereza na uwezo wa kusoma wakitafute, tatizo unabishana na wengine hawajui hata Kiingereza na kitabu pekee wanachosoma ni Biblia au Quran.

 
Vinasaba vya viumbe hai vinahusiana nini na madawa?

Hapa nataka majibu kumekuaje na variations in genetic characteristics kutoka kwa kiumbe kimoja kilichojigawanya kwenye maumbile tofauti.?
Hujajibu swali langu, kama hujui jibu sema huji ili uelezwe, usijitie ubishi unaozidi kuanika ujinga wako.

Kama vinasaba vya viumbe hai haviusiani na madawa inakuwaje bacteria wanaweza ku develop resistance ya antibiotics?

Unaweza kunieleza hilo?
 
Darwin's excuse is totally ridiculous! Literally hundreds of millions of fossils have been extracted from all fossil-bearing rock strata and none of them are "transitional forms" or missing links--they all obviously belong to a definite species! In fact, it is estimated that over 100,000 different, distinct species of fossils have been found! In which sense the theory has lost all factual remains of it's existence?

Achana na hayo mapichapicha hata mimi naweza kuyabuni mbwa kufanana na simba hakumfanyi kuwa alikua mbwa awali where are the fossils in transitional forms?

Usije ukaniambia hizi chuma za Dr Leakey hapo olduvai.
 
Ndugu, nashukuru sana kwa kuwa free-minded. Kila la kheri katika kujifunza mengi [emoji120]
Hawa wasaidizi wa Mungu wanaanza kuichafua evolution kwa sababu ina maelezo ya kutosha na inajaribika....wanaona ile ya kwao iliyookotwa kule milimani inakaribiwa kupigwa knock out....Kila mtu alete theory yake nasi tuzichambue kwa uwazi bila unazi....hivi ndivyo tutakavyopata ukweli.
 
Hujajibu swali langu, kama hujui jibu sema huji ili uelezwe, usijitie ubishi unaozidi kuanika ujinga wako.

Kama vinasaba vya viumbe hai haviusiani na madawa inakuwaje bacteria wanaweza ku develop resistance ya antibiotics?

Unaweza kunieleza hilo?
Do not try to mixup topix zingatia my primary argument about DNA.

Natural selection can never extend outside of the DNA limit. DNA cannot be changed into a new species by natural selection. The same process of selective breeding is done with flowers, fruits, and vegetables.

How lowness the theory explained about the natural selection imekuje viumbe tofautitofauti ndani ya kiumbe kimoja?
 

Umeandika

Sio result ya Mutation. Mutation inapelekea upungufu wa Genetic information sio kuja kwa information mpya by chance.

Unajuaje kwamba resistance ni lazima ije kwa kuongezeka kwa information? Kwa nini isiwezekane kutokea baada ya kupungua kwa information?

Unajuaje kwamba kama kuna strains 100 za arrangement ya information, na tatu zikawa the weak link in the chain, ziko susceptible kwa antibiotics na kusababisha bacteria kufa akikutana na antibiotic, halafu mutation Fulani ikafanya hizo tatu zisiwepo kwa baadhi ya bacteria, na kwa sababu hiyo bacteria hao wakawa wanaweza kuzaliana Zaidi na kufanya next generations za bacteria ziwe na wanaoweza kuwa resistant mpaka population yote ya bacteria hao ikawa resistant?

The rest of the piece argues kwamba kuna bacteria waliogundulika kabla ya antibiotics kugunduliwa wako resistant kwa antibiotics.

Hili linaonyesha kutojua mambo Fulani.

1. Kwamba hata kama antibiotics zimegunduliwa miaka 40 iliyopita, hili halina maana kwamba hazikuwapo kabla ya miaka 88 iliyopita na Professor wa Bacteriology Alexander Fleming wa St. Mary's Hospital London, hilo halina maana kwamba zile naturally occurring chemicals zilizomo katika antibiotics hazikuwapo kabla ya hapo. Ukigundua kwamba mchaichai unatibu pumu na kutengeneza kidonge cha mchaichai hilo haina maana watu hawajawahi kutumia hiyo dawa ya mchaichai kabla ya kidonge kugunduliwa.

2. Hao bacteria waliokutwa wamekutwa katika miili ya watu ambao hawakuwa katika controlled environment, even though they were frozen, that does not mean that the bacteria were not there because of later contamination.

3.Hata kama bacteria walikuwa intact, kupata bacteria wa zamani walio resistant kwa dawa mpya hakumaanishi kwamba bacteria resistant haisababishwi na mutation. Kunaweza kusababisha kwamba kuna namna moja ya bacteria resistant haisababishwi na mutation.

4.Hata kama bacteria walikuwa intact, kupata bacteria wa zamani walio resistant kwa dawa mpya hakumaanishi kwamba bacteria hao hawaja mutate na mutation hizo over the years kusababisha resistance kwa dawa mpya.Utajuaje kama kuna biological arrow of time inayofanya bacteria wa evolve from being less resistant to being more resistant to antibiotics hata kama hawajakutana nazo?

5.Kinachotakiwa kuoneshwa ni kwamba hawa bacteria ambao wanadaiwa kuwa wamekuwa resistsnt to antibiotics, hawajawa resistant kutokana na mutation. Mimi nikisema "Nyumba hii kuna watu wamekunywa pombe kwa muda mrefu, zamani pombe ilikuwa inawalewesha, lakini siku hizi pombe ile ile haiwaleweshi, inabidi mpaka tuwatafutie pombe mpya ili walewe, hawa watu wamekuwa walevi sugu, vichwa vyao vimeweza kuhimili pombe Zaidi" huwezi kuniambia "Hao kuweza kao kuhimili pombe hiyo Zaidi hakutokani na vichwa vyao kuwa sugu kwa sababu kuna watu wengine hawajawahi kunywa pombe tangu wazaliwe na pombe hiyo hiyo haiwaleweshi". Unajuaje kama hao wengine hawajala chakula ambacho kinawafanya wasilewe na hivyo kufanya comparison yako isiwe na maana kwa sababu hailinganishi vinavyolingana?
 

Umeandika

How lowness the theory explained about the natural selection imekuje viumbe tofautitofauti ndani ya kiumbe kimoja??

Hili swali halieleweki. Limechanganya lugha, halina sarufi,halina mpangilio wa maneno kiasi cha kuleta maana, ni gumu kueleweka unachouliza ni nini.

Hebu andika vizuri kwa namna inayoweza kueleweka halafu niulize tena. Nina nia ya kukuelewa na kukujibu, lakini pale usipoeleweka kwa kuwa umeandika vibaya nina wajibu wa kukuuliza uandike vizuri ili nielewe.

Maana siwezi kujibu kitu ambacho hakieleweki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…