Charles Hilary afafanua sehemu ya ardhi ya Bagamoyo kumilikiwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Charles Hilary afafanua sehemu ya ardhi ya Bagamoyo kumilikiwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Mbona inaonyesha unakata tamaa

😂sasa unataka nifanyaje ndugu yangu? Hii ndoa tuliwaoa sie wenyewe kwahiyo acha kiherehere chetu na kukosa akili kuendelee kutuponza.

Nyie waZanzibari hamna haya kabisa.
 
Kwa kuwa tayari wananchi wanaishi eneo hilo na kujenga nyumba za kudumu nashauri Hati ya ardhi hiyo ifutwe.
Tena haraka Sana , kwao zbar Mtanganyika haruhusiwi kumiliki ardhi iweje wao huku wamiliki , hata Kama walipewa Basi wapewe Kama wawekezaji sio kuwa na umiliki Kama anavyodai hilary . Hii nchi sio ya kutoa sadaka hovyohovyo , tuna watt na wajukuu kibao wa kitanganyika watakuja kutuona mazuzu babu zao kwa kugawa hovyo ulidhi wao.
 
Mtu yeyote anaruhusiwa kumiliki Ardhi Tanganyika, as long as awe mTanganyika
 
[emoji23]sasa unataka nifanyaje ndugu yangu? Hii ndoa tuliwaoa sie wenyewe kwahiyo acha kiherehere chetu na kukosa akili kuendelee kutuponza.

Nyie waZanzibari hamna haya kabisa.
Kuwa na haya na kitu gani?
 
Kudadeki hawa jamaa washatupanda kichwani. Yaani manake mkojani yuko anaandaa documents. Muungano ndani ya muungano
 
Back
Top Bottom