Charles Hilary ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu - Zanzibar

Charles Hilary ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu - Zanzibar

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu Kuna Mabadiliko Ya Nafasi kule Ikulu Zanzibar.

Charles Hilary ameteuliwa na Rais Mwinyi Kuwa DG mpya Wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Zanzibar..

Kulikoni Wa Kwetu Huyu Van Mohammed Tena Kuliwa Kichwa?
Screenshot_20211230-191726.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda jamaa hayuko matured ,hajapevuka. Pia hana muonekano wa kibaba baba.
 
Back
Top Bottom