skilled masala
Senior Member
- May 2, 2019
- 118
- 160
Naomba kuuliza kuhusu elimu ya Charles Hilary, sio kwa ubaya lakini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawateui wenye majunguifike mahala kama wana JF tuishinikize serikali either ya muungano au ya mapinduzi impe uteuzi Paskali Mayalla... kila siku teuzi zinampita, SIJAPENDA.
Alkua analipwa shilingi ngapi? Sababu waswahili wanasema mbongo mpe picha tu stori nzima anatungaKwa cheo na mshahara wake pale Azam Media kwenda huko ni anguko kubwa sana ni sawa na Mchezaji wa Man City kuja kuchezea Ndanda
YesCharles Hillary ni Mzanzibari?
Etiii????Jamaa mbona anaandamwa na matukio sana?! Huyu si ndo mke wake alimruhusu aoe mke wa pili kumbe yeye anaenda kuolewa na yule jamaa waziri,,,,,?!
Charles Hillary ni mpogoro wa Morogoro, wazazi wake walihamia Zanzibar miaka mingi iliyopita.Kwanza nampongeza mkongwe wa habar Huyu, jemedari mwenye nyota zake za kihabar nchini Tanzania ndugu Charles Hillary naliona pigo kubwa kwa Azam Tv.
Yote kwa yote, hii nafasi ilikuwa ni ya yule marehem aliyekuwa kichwa,jabari la habar aliykufa baada kubuni kipindi kizur sana kupitia TBC 1. Mungu amweke mahali pena peponi.
Kongole kwa Rais wa Zanzibar kwa kutambua nafasi ya jabar Ili Mimi nilishangaa sana wanateuliwa sijui aniu sjui anwani wanaachwa hawa watu Asante Mwinyi kwa kuwaona.
Vipi wewe huna uwezo wa kuongoza hata kijiji?? Maana tuna watanzania milioni 60 na bado wewe unawafikiria wale wale as if hakuna wengine including wewe mwenyewe.Hongera sana. Rais Hussein Mwinyi ndiyo alihitajika kuongoza Tanzania kwa karne hii.
MngazijaCharles Hillary ni mpogoro wa Morogoro, wazazi wake walihamia Zanzibar miaka mingi iliyopita.
Si yupo yule Dada??Duh, sasa taarifa ya habari nihamie TV gani?
Anyway, hakuna tv yenye habari changanuzi kama UTV. Kila la kheri Charles, the best ever!