Charles Hilary ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu - Zanzibar

Charles Hilary ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu - Zanzibar

Mwinyi anaturidisha nyuma hizi ni nafas za vijana anamueka huyu Charls amekubuhu hana ata hamasa tena, then huyu si wakwetu anapeleka mizigo zanzibar
 
Hongera sana. Rais Hussein Mwinyi ndiyo alihitajika kuongoza Tanzania kwa karne hii.
Anaweza akawa baada ya Samia hajachelewa, katiba inamruhusu.

Na anavyoipeleka Zabzibar, aweza kutufaa sana Tz bara.
 
Watu walishazoea majina kama makame, Saidi, vuai ndo wazanzibari kumbe hata akina John, Charles pia wamo
 
Huyo nasikia ni mzaliwa wa Jang'ombe sema huu ukafir kautoa wapi au ndio aliweka jina la bosheni lakini ni mandevu?

Watanzania bana kafiri kwa maana ipi! Hizi dini hizi! Uislamu ndiyo unakufundisha kuita wenzio kafiri[emoji2307][emoji2307]na waswas na hiyo dini
 
Jamaa ni Yanga damu,nakumbuka alivyokuwa akimpamba Charles Boniface Mkwasa

Hongera zake.
 
Kwa cheo na mshahara wake pale Azam Media kwenda huko ni anguko kubwa sana ni sawa na Mchezaji wa Man City kuja kuchezea Ndanda
Ungekuwa wew usingeenda muache akamalizie carrier yake kule huku akila kuku kwa mrija
 
Hongera sana Homeboy. Wapogoro tupige kazi tunaaminika sana. Mungu akutangulie Mkuu, najua hunifaham Ili mara kadhaa tulionana ukija kumsalimu Mzee Hilary, na hata siku ya kumpumzisha kijijini tulikuwa wote. Ukiwaona watu wa Iraque usiwadharau
 
Back
Top Bottom