Charles Hilary ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu - Zanzibar

Charles Hilary ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu - Zanzibar

Serikali ina mfumo wake wa mishahara sio dau lako kama sekta binafsi. Nimefanya kazi Serikalini maisha yangu yote naijua vizuri Serikali ya JMT na SMZ
Hukohuko serikalini kuna watu wana mishahara minono mkuu
 
Kiukwel wazanzbar wanajiajiri wao kwa wao wamejazana Bara na wameajiriwa ukienda kule kama we ni mtanganyika kununua ardhi ni kumbembe Sasa tumewakumbatia wa nini
 
Charles Hillary N'kwanga hajawahi kuwa mpogiro ni msumbwa wa geita!
Hata mimi nashangaa mpogoro gani mrefu hivyo...atakua msukuma huyo sio bure...huko kwa wapogoro labda alizaliwa na kukulia tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kiukwel wazanzbar wanajiajiri wao kwa wao wamejazana Bara na wameajiriwa ukienda kule kama we ni mtanganyika kununua ardhi ni kumbembe Sasa tumewakumbatia wa nini
Hakuna aliyewakumbatia zaidi ya maslahi ya viongozi wa ccm.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kweli yajayo yanafurahisha kama alivyosema Mwinyi.

Hii ya Mkristo kuteuliwa siyo record kweli kule Zanzibar? au Charles ni jina tu ila ni Ustadhi.
Mkristo pure wa dhehebu la Anglican. Last time nilimuona pale Anglican Ubungo akiwa mgeni rasmi kwenye tamasha la vijana wa kianglikana. Mke wake pia ni kento kanisani kwake.
 
Sina hakika sana kama jamaa bado mkristo, naskia ndoa yake ya mwisho kuoa ilimbadili dini, enzi hizo mimi na bint yake tulisoma wote primary na wote tukiwa watoto wa watangazaji
Charles ni mkristo mwanglikana na mke wake ni mshiriki active sana kanisani.
Ni kento kanisani kwao.
 
Huyu ni kama alivyokuwa Jaji Agostino Ramadhani.
Ni miongoni mwa wazazimbari wachache ambao ni wakristo. Wakkristo Zanzibar ni wengi tu hasa wa madhehebu ya Katoliki, Anglican na haya ya kiroho
 
Charles Hillary ni mpogoro wa Morogoro, wazazi wake walihamia Zanzibar miaka mingi iliyopita.
Upo sahihi kabisa, wanaosema Charles Hilary ni Mzanzibari ni vijana tu wa kwenye huu mtandao ambao kila mmoja anataka ajifanye anajua. Majina yake kamili ni Charles Martin Hilary Mkwanga. Sekondari alisoma Kinondoni Muslim na kumaliza kidato cha nne 1979 na kujiunga RTD 1982. Zilizofuata ni kozi mbalimbali za utangazaji na uzoefu wa kazi. Kazi walianza mwaka mmoja na Betty Mkwassa wakati huo akiitwa Betty Chalamila. Kwa hiyo ukweli ni kuwa Bwn Charles Hilary ni Mpogoro ( kabila dogo la Kindamba), hana uhusiano na Uzanzibari hata kidogo na wala lafudhi yake ya kuongea siyo ya Kizanzibari,.
 
Ngoja akamwite Yesu kwenye ile ikulu na #Kaziiendelee
Kwani kuna Tatizo gani,mtu kufanya kazi na wa imani nyingine ,au elimu ya ufia ugaidi imewakaa sana kichwani??? Acheni logic za kiduwazi
 
Back
Top Bottom