Charles Hilary ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu - Zanzibar

Charles Hilary ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu - Zanzibar

Mtangazaji Charles Hillary mtu mwenye uzoefu ndani ya nchi na kimataifa katika mashirika makubwa IPP MEDIA, BBC, DW, AZAM MEDIA chini ya wahariri wasimamizi nguli huku akiwa amezungukwa na waandishi habari wazoefu kwa kipindi chote nadhani anafaa ...

WASIFU :

Salama Na CHARLES HILLARY Ep 38 | MZEE WA BUSARA Part 2

Source: YahStoneTown

https://millardayo.com › tag › charle...
Charles Hillary – Millard Ayo TV

Kumbe Charles Hillary kaondoka BBC na kuamua kurudi nyumbani? Miongoni mwa watu ambao sauti zao zimesikika sana kupitia BBC London, ni
Ndugu bagamoyo , shukhrani sana kwa haya uyafanyayo JF.
Unatuwekea habari kwa kina na pia kutambua chanzo cha taarifa yako.
Kwa nini wengine hatukuigi!!???
 
Anastahili mno.....👏

Kila la heri kwa mjomba Charles Hillary🙏

"Mkwanga bwanaaaa"!

#Siempre JMT
 
ifike mahala kama wana JF tuishinikize serikali either ya muungano au ya mapinduzi impe uteuzi Paskali Mayalla... kila siku teuzi zinampita, SIJAPENDA.

Angekwisha pata uteuzi tatizo lake ni INCOSISTENCY, hana msimamo!! Anayumba yumba! Mtu wa namna hiyo huwezi kumuamini kumpa dhamana ya uongozi!
 
Mtangazaji Charles Hillary mtu mwenye uzoefu ndani ya nchi na kimataifa katika mashirika makubwa IPP MEDIA, BBC, DW, AZAM MEDIA chini ya wahariri wasimamizi nguli huku akiwa amezungukwa na waandishi habari wazoefu kwa kipindi chote nadhani anafaa ...

WASIFU :

Salama Na CHARLES HILLARY Ep 38 | MZEE WA BUSARA Part 2

Source: YahStoneTown

https://millardayo.com › tag › charle...
Charles Hillary – Millard Ayo TV

Kumbe Charles Hillary kaondoka BBC na kuamua kurudi nyumbani? Miongoni mwa watu ambao sauti zao zimesikika sana kupitia BBC London, ni

Kaka mkubwa Charles, hongera mno, wala haikuwa ajabu kwa watu kwa uteuzi huu. Ila usisahau kuanzisha “La Chaz” Zenji, please. Kila la kheri
 
Hongera sana Homeboy. Wapogoro tupige kazi tunaaminika sana. Mungu akutangulie Mkuu, najua hunifaham Ili mara kadhaa tulionana ukija kumsalimu Mzee Hilary, na hata siku ya kumpumzisha kijijini tulikuwa wote. Ukiwaona watu wa Iraque usiwadharau
Mmeanza ukabila tayari.
Watu wa lake zone wakiteuliwa mnanung'unika.
 
Kweli yajayo yanafurahisha kama alivyosema Mwinyi.

Hii ya Mkristo kuteuliwa siyo record kweli kule Zanzibar? au Charles ni jina tu ila ni Ustadhi.
 
Kwanza nampongeza mkongwe wa habar Huyu, jemedari mwenye nyota zake za kihabar nchini Tanzania ndugu Charles Hillary naliona pigo kubwa kwa Azam Tv.

Yote kwa yote, hii nafasi ilikuwa ni ya yule marehem aliyekuwa kichwa,jabari la habar aliykufa baada kubuni kipindi kizur sana kupitia TBC 1. Mungu amweke mahali pena peponi.

Kongole kwa Rais wa Zanzibar kwa kutambua nafasi ya jabar Ili Mimi nilishangaa sana wanateuliwa sijui aniu sjui anwani wanaachwa hawa watu Asante Mwinyi kwa kuwaona.
Kikeke sasa anarudi tz rasmi
 
Unazani hakuliona hilo? Lazima ataje dau lake mkuu
Serikali ina mfumo wake wa mishahara sio dau lako kama sekta binafsi. Nimefanya kazi Serikalini maisha yangu yote naijua vizuri Serikali ya JMT na SMZ
 
Boss aisee samahani
Naomba usome Quran vizuri utaona kuwa ulikatazwa pia kuita wengine kafiri maana hakuna mkamilifu
Mkristo ataweza kuisoma qur an kweli? Au ulijua jamaa muislam?
 
Kweli yajayo yanafurahisha kama alivyosema Mwinyi.

Hii ya Mkristo kuteuliwa siyo record kweli kule Zanzibar? au Charles ni jina tu ila ni Ustadhi.
Sina hakika sana kama jamaa bado mkristo, naskia ndoa yake ya mwisho kuoa ilimbadili dini, enzi hizo mimi na bint yake tulisoma wote primary na wote tukiwa watoto wa watangazaji
 
Back
Top Bottom