Charles Hilary ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu - Zanzibar

Charles Hilary ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu - Zanzibar

Hongera Sana,Taarifa Njema Sana Kwa Baba Yangu Huyu,Namuombea Mungu Atimize Vyema Majukumu Yake Ipasavyo.
 
Kwa cheo na mshahara wake pale Azam Media kwenda huko ni anguko kubwa sana ni sawa na Mchezaji wa Man City kuja kuchezea Ndanda
Binafsi naona amekikubali hicho cheo kwa ajili ya heshima na siyo pesa. Ikulu ina hadhi yake tofauti na Azam Media. Kama ilivyo kawaida ya Watanzania, hapo Ikulu ni rahisi pia kutoa connection kwa watoto, ndugu na jamaa pia.

Sina uhakika ila nahisi Charles hana njaa, kwa sababu alishavuna hela akiwa BBC Swahili, na pia kwa muda aliofanya kazi Azam Media

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom