Charles Hilary ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu - Zanzibar

Charles Hilary ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu - Zanzibar

Achaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Zanzibar
IMG-20211230-WA0103.jpg
 
Anastahili Hongera zake!

Raisi Mwinyi kaiva kabisa kuwa Raisi anathamini Taaluma na Weledi kama Magufuli (RIP) na siyo mipasho, majungu na fitna kama huku kwetu.

Kila la Heri raisi Mwinyi na watu wa Zanzibar wana bahati kuwa Kiongozi!
 
Back
Top Bottom