MR.NOMA
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 339
- 505
Nyie wakati wenu umeshapita, Sasa wakati wa wengine. Subirini awamu zijazo labda Dr. Msukuma atachukua nchiMmeanza ukabila tayari.
Watu wa lake zone wakiteuliwa mnanung'unika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie wakati wenu umeshapita, Sasa wakati wa wengine. Subirini awamu zijazo labda Dr. Msukuma atachukua nchiMmeanza ukabila tayari.
Watu wa lake zone wakiteuliwa mnanung'unika.
Mayala maana yake ni njaaWamkumbuke huyu wa kwetu jf naye
Ova
Hujui kitu wewe. sikiliza hiyo.
Hahahahha kwamba ni makobaz kwa siri siri ?Huyo nasikia ni mzaliwa wa Jang'ombe sema huu ukafir kautoa wapi au ndio aliweka jina la bosheni lakini ni mandevu?
Job security.Kwa cheo na mshahara wake pale Azam Media kwenda huko ni anguko kubwa sana ni sawa na Mchezaji wa Man City kuja kuchezea Ndanda
Wadhifa.Kwa cheo na mshahara wake pale Azam Media kwenda huko ni anguko kubwa sana ni sawa na Mchezaji wa Man City kuja kuchezea Ndanda
Hahahahha kwamba ni makobaz kwa siri siri ?
Charles Hillary ana sauti ya kipekee.
Hongera Charls!
Yanga oyeeee.
Huyo jamaa anaelekea kustaafu. Sio vibaya kustaafu ukiwa ikulu marupurupu utayapata na una future nzuri kwa wanao. Hata CV inanyookaSerikali ina mfumo wake wa mishahara sio dau lako kama sekta binafsi. Nimefanya kazi Serikalini maisha yangu yote naijua vizuri Serikali ya JMT na SMZ
Nadhani jibu ni ndiyo.Hivi Charles Hilary alishawahi kuwa BBC Swahili?
Hii mijimaa Ina ubaguzi wa kijinga sanaKwani kuna Tatizo gani,mtu kufanya kazi na wa imani nyingine ,au elimu ya ufia ugaidi imewakaa sana kichwani??? Acheni logic za kiduwazi
True,Azam anaweza kufilisika,lakini Serikali haifilisiki.Huyo jamaa anaelekea kustaafu. Sio vibaya kustaafu ukiwa ikulu marupurupu utayapata na una future nzuri kwa wanao. Hata CV inanyooka
Kumbe mtoto wa ndani. Sisi wana wa wafugaji tutulie tuCharkes Hilary ni mtu wa Malinyi mkoa wa Morogoro Zanzibar aliishi wakati baba yake akiwa Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar.
Baada ya kifo cha yule masihi wenu umepotea kabisa.Mpogoro aliyehamia Unguja miaka mingi iliyopita. Hana ungazija usidanganywe na lafudhi yake.