Charles Hilary ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu - Zanzibar

Charles Hilary ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu - Zanzibar

Serikali ina mfumo wake wa mishahara sio dau lako kama sekta binafsi. Nimefanya kazi Serikalini maisha yangu yote naijua vizuri Serikali ya JMT na SMZ
Huyo jamaa anaelekea kustaafu. Sio vibaya kustaafu ukiwa ikulu marupurupu utayapata na una future nzuri kwa wanao. Hata CV inanyooka
 
Ukitaka kujua watu wabaguzi Ona maswali humu aisee kwahiyo nyie watu wa Zanzibar mnataka wachaguliwe wa Zanzibar tu huko smh
 
Back
Top Bottom