Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee Hillary aliishi sana Zanzibar.. Kama sikosei alikuwa mkuu wa polisi zamani sana.Charles Hillary ni Mzanzibari?
Hahahah....wewe ni mtoto wa mtangazaji yupi?
usijekuwa mtoto wa Zembwela au Baba levo [emoji23][emoji23][emoji23]
Hata Mimi nimeona, huyu jamaa atakuwa mkristoUnadhani ni wa imani unayofikiri,yuko kwa ajili ya kuharibu uzi
Asili yake ndiyo, lakini kwa kukua na kusoma ni Zanzibar. Sikiliza lafudhi yake vizuri uone kama ni ya kipogoro. Baba yake Mzee Hilary amestaafu polisi akiwa Zanzibar na alifungua 'business' yake maeneo ya Mpendae baada ya kustaafu.Siyo kweli Charles Hilary ni Mpogoro wa Morogoro, kwa hiyo hata wewe ni chaka na umetaka kumuingiza mwenzio chaka.Mmekutana vipofu watupu, hakuna wa kumuonyesha mwenzake njia.
Na alistaafia Zanzibar.Mzee Hillary aliishi sana Zanzibar.. Kama sikosei alikuwa mkuu wa polisi zamani sana.
Mdogo wake mmoja kamuoa sister wangu
Augustino ramadhani alikuwa mkristo na amefanya Sana kazi serikali ya mapinduziKweli yajayo yanafurahisha kama alivyosema Mwinyi.
Hii ya Mkristo kuteuliwa siyo record kweli kule Zanzibar? au Charles ni jina tu ila ni Ustadhi.
Sorry boss, alifariki Apr 2020Duuu! Acha utani boss, mi4 mbona mingi
Sasa hii ya wakristo kuitwa makafiri na chogo kule zanzibar inatokea wapi?Charles Hilary ni Mzanzibari mzawa, ambapo kwenye ukoo wao kuna mchanganyiko wa Waislam na Wakristo.
Hii pia naomba waelewe wale wote wanaohisi labda Zanzibar hakuna Wakristo wazawa, wapo tena wala huwezi kuwajua na pia ni wazanzibari safi na wanajichanganya na waislam waliopo Zanzibar na wala hawana mambo ya kijinga kama wengine wanaohamia.
Sasa umekuja sawa kabisa ongezea naAsili yake ndiyo, lakini kwa kukua na kusoma ni Zanzibar. Sikiliza lafudhi yake vizuri uone kama ni ya kipogoro. Baba yake Mzee Hilary amestaafu polisi akiwa Zanzibar na alifungua 'business' yake maeneo ya Mpendae baada ya kustaafu.
Zanzibar wako wengi wenye asili ya bara ambao baadhi ni wazawa wa kule, mfano akina Mwakanjuki ambao baadhi wamezaliwa kule na wamekuwa wakiishi Zanzibar miaka yote.
Na nyie mko bara mnakula maisha mnatuona mapimbi sio, sijapenda kabisa hiyo kauli ya kibaguzi sana, hamna Cha kututisha, dini ni mapokeo na mrengo tu kisikufanye kumnyanyapaa mtu kiasi hichoduh, kafir na Znz wapi na wapi
NI kweli nafasi nyingi za kiserekali hua na mishahara yakawaida sana, Kinachowapaisha ni wizi tuKwa cheo na mshahara wake pale Azam Media kwenda huko ni anguko kubwa sana ni sawa na Mchezaji wa Man City kuja kuchezea Ndanda
Mi babushikamoo
OK. Nakumbuka tukiwa wadogo tukienda kwake pale bomani (ziwani). Tuliwahi kwenda kwenye party sijui kama ilikua ya ku retire. Zamani sana hata si recall vizuriNa alistaafia Zanzibar.
Wewe GAIDI umejichimbi huku Bara ukila urojo wako bila bugdha, ila hutaki kusikia Wabara wakienda huko Zanzibar.duh, kafir na Znz wapi na wapi
Asili yake ndiyo, lakini kwa kukua na kusoma ni Zanzibar. Sikiliza lafudhi yake vizuri uone kama ni ya kipogoro. Baba yake Mzee Hilary amestaafu polisi akiwa Zanzibar na alifungua 'business' yake maeneo ya Mpendae baada ya kustaafu.
Zanzibar wako wengi wenye asili ya bara ambao baadhi ni wazawa wa kule, mfano akina Mwakanjuki ambao baadhi wamezaliwa kule na wamekuwa wakiishi Zanzibar miaka yote.
Asili yake ndiyo, lakini kwa kukua na kusoma ni Zanzibar. Sikiliza lafudhi yake vizuri uone kama ni ya kipogoro. Baba yake Mzee Hilary amestaafu polisi akiwa Zanzibar na alifungua 'business' yake maeneo ya Mpendae baada ya kustaafu.
Zanzibar wako wengi wenye asili ya bara ambao baadhi ni wazawa wa kule, mfano akina Mwakanjuki ambao baadhi wamezaliwa kule na wamekuwa wakiishi Zanzibar miaka yote.