Charles Hilary ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu - Zanzibar

https://www.facebook.com/
 
Basi mzanzibari kwa kuzaliwa. Inaswihi pia. Maana huku Zanzibar watu wengi wana asili zao. Wenye makabila ya pure zanzibar ni wachache.
 
Nasikia mkataba wake na Azam ulikuwa unaelekea mwisho. Serikalini tunaishi kwa safari na honorarium
 
Amezaliwa Zanzibar inatosha kusema yeye ni Mzanzibari haijalishi amekulia wapi au wazazi wake wametokea wapi.
Unachong'ang'ana nacho hata hakieleweki, sijui nikuite bwege au kalumekenge! Wewe utalazimishaje mtu sehemu au nchi isiyo yake, yeye ni Mpogoro kwa taarifa yako na wala lafudhi ya kiswahili chake haina uhusiano kabisa na Zanzibar kama kweli unajua lahaja! Kiswahili chake ni cha bara.
 
Usichoelewa wewe ni kwamba uraia ni dhana pana sana ukizingatia Zanzibar kabla ya Muungano ilikuwa ni nchi inayojitegemea. Na pia ukielewa aina za uraia basi wewe ndio utajiona bwege kuliko unavyojiona sasa hivi, endelea kung'aa sharubu.
Asili ya mtu haijalishi ndani ya dhana ya uraia, unaweza ukazaliwa na wazazi Watanzania ndani ya ndege kuelekea Uingereza na ukawa na uraia wa Uingereza! Vutu wahed!!
 
Hata angezaliwa North Korea au Afghanistan yeye ni MPOGORO wa MALINYI mkoa wa MOROGORO, na maisha yake yako BARA! Upo hapo! Hana shida na huko Zanzibar unakosema maana siyo nchi yake!
Amezaliwa Zanzibar inatosha kusema yeye ni Mzanzibari haijalishi amekulia wapi au wazazi wake wametokea wapi.
 
Kabla ya Muungano yeyote aliyezaliwa Zanzibar ni Mzanzibari baada ya Muungano sote ni Watanzania, wapo Wamakonde na wamezaliwa Zanzibar lakini nao ni Wazanzibari kwa kuzaliwa. Jua kwanza dhana ya uraia! Balaghau wahed!!
 
Hata angezaliwa North Korea au Afghanistan yeye ni MPOGORO wa MALINYI mkoa wa MOROGORO, na maisha yake yako BARA! Upo hapo! Hana shida na huko Zanzibar unakosema maana siyo nchi yake!
Swala la kuwa Mpogoro haliondoi uhalisia wake wa kuzaliwa Zanzibar na kuwa Mzanzibari, Uzanziabri sio kabila bali ni uzaliwa wa eneo la Zanzibari.
Makabila yote unayoyajua na usiyoyajua yaliyopo bara na nje ya nchi yapo Zanzibari lakini haiondoi uhalisia wao wa kuwa Wazanzibari. Hata Karume mwenyewe wazazi wake wana asili ya Malawi lakini yeye alizaliwa Zanzibar na kuwa Mzanzibari! Unafeli wapi!
Uzanzibari sio kabila bali ni uzao tu
 
Hata angezaliwa North Korea au Afghanistan yeye ni MPOGORO wa MALINYI mkoa wa MOROGORO, na maisha yake yako BARA! Upo hapo! Hana shida na huko Zanzibar unakosema maana siyo nchi yake!
Kumbe hujielewi! Ndani ya Muungano Zanzibar ni nchi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…