Charles Hilary ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu - Zanzibar

Charles Hilary ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu - Zanzibar

Kwani Wazanzibari wangapi wanasoma sekondari bara? mbona miaka ile ya sabini na themanini walikuwepo wengi sana ambao walimalizia sekondari bara kwa vile enzi zile sekondari zilikuwa mbili tu, moja unguja na moja pemba. Kwa hivyo waliokuwa na uwezo wengi wakipeleka watoto wao bara kusoma sekondari au kumalizia form three na four bara.
 
Mwenyewe amethibitisha kuwa ni Mzanzibar na kuwa ndio kwao wewe unapata shida ya nini?
Kweli baba yake alitokea bara na kuzamia Zanzibar kutafta maisha, Mama ake alikua ni mzanzibari na yeye akazaliwa Zanzibar nakukulia huko, alihamia Bara kuja kwa mama yake mdogo.
 
Upo sahihi kabisa, wanaosema Charles Hilary ni Mzanzibari ni vijana tu wa kwenye huu mtandao ambao kila mmoja anataka ajifanye anajua. Majina yake kamili ni Charles Martin Hilary Mkwanga. Sekondari alisoma Kinondoni Muslim na kumaliza kidato cha nne 1979 na kujiunga RTD 1982. Zilizofuata ni kozi mbalimbali za utangazaji na uzoefu wa kazi. Kazi walianza mwaka mmoja na Betty Mkwassa wakati huo akiitwa Betty Chalamila. Kwa hiyo ukweli ni kuwa Bwn Charles Hilary ni Mpogoro ( kabila dogo la Kindamba), hana uhusiano na Uzanzibari hata kidogo na wala lafudhi yake ya kuongea siyo ya Kizanzibari,.
Basi mzanzibari kwa kuzaliwa. Inaswihi pia. Maana huku Zanzibar watu wengi wana asili zao. Wenye makabila ya pure zanzibar ni wachache.
 
Basi mzanzibari kwa kuzaliwa. Inaswihi pia. Maana huku Zanzibar watu wengi wana asili zao. Wenye makabila ya pure zanzibar ni wachache.
Msiklize hapo Charles ndo utajua yeye kakulia Kariakoo karibu na klabu ya Simba, mtaa wa Magiri, Msimbazi Quarters.
 
Msiklize hapo Charles ndo utajua yeye kakulia Kariakoo karibu na klabu ya Simba, mtaa wa Magiri, Msimbazi Quarters.
Amezaliwa Zanzibar inatosha kusema yeye ni Mzanzibari haijalishi amekulia wapi au wazazi wake wametokea wapi.
 
Sidhani tena sidhani ulichokiandika hapo kama umekifanyia utafiti. In short Charles si bwege kuacha maslahi makubwa kwenda ambako maslahi mdogo. Ana uwezo wa kukata a kuteuliwa. Bottom line is 'Ikulu ni Ikulu' Anakula sawa na Aniu wa Magogoni kama sio Chamwino.
Nasikia mkataba wake na Azam ulikuwa unaelekea mwisho. Serikalini tunaishi kwa safari na honorarium
 
Amezaliwa Zanzibar inatosha kusema yeye ni Mzanzibari haijalishi amekulia wapi au wazazi wake wametokea wapi.
Unachong'ang'ana nacho hata hakieleweki, sijui nikuite bwege au kalumekenge! Wewe utalazimishaje mtu sehemu au nchi isiyo yake, yeye ni Mpogoro kwa taarifa yako na wala lafudhi ya kiswahili chake haina uhusiano kabisa na Zanzibar kama kweli unajua lahaja! Kiswahili chake ni cha bara.
 
Usichoelewa wewe ni kwamba uraia ni dhana pana sana ukizingatia Zanzibar kabla ya Muungano ilikuwa ni nchi inayojitegemea. Na pia ukielewa aina za uraia basi wewe ndio utajiona bwege kuliko unavyojiona sasa hivi, endelea kung'aa sharubu.
Asili ya mtu haijalishi ndani ya dhana ya uraia, unaweza ukazaliwa na wazazi Watanzania ndani ya ndege kuelekea Uingereza na ukawa na uraia wa Uingereza! Vutu wahed!!
 
Hata angezaliwa North Korea au Afghanistan yeye ni MPOGORO wa MALINYI mkoa wa MOROGORO, na maisha yake yako BARA! Upo hapo! Hana shida na huko Zanzibar unakosema maana siyo nchi yake!
Amezaliwa Zanzibar inatosha kusema yeye ni Mzanzibari haijalishi amekulia wapi au wazazi wake wametokea wapi.
 
Unachong'ang'ana nacho hata hakieleweki, sijui nikuite bwege au kalumekenge! Wewe utalazimishaje mtu sehemu au nchi isiyo yake, yeye ni Mpogoro kwa taarifa yako na wala lafudhi ya kiswahili chake haina uhusiano kabisa na Zanzibar kama kweli unajua lahaja! Kiswahili chake ni cha bara.
Kabla ya Muungano yeyote aliyezaliwa Zanzibar ni Mzanzibari baada ya Muungano sote ni Watanzania, wapo Wamakonde na wamezaliwa Zanzibar lakini nao ni Wazanzibari kwa kuzaliwa. Jua kwanza dhana ya uraia! Balaghau wahed!!
 
Hata angezaliwa North Korea au Afghanistan yeye ni MPOGORO wa MALINYI mkoa wa MOROGORO, na maisha yake yako BARA! Upo hapo! Hana shida na huko Zanzibar unakosema maana siyo nchi yake!
Swala la kuwa Mpogoro haliondoi uhalisia wake wa kuzaliwa Zanzibar na kuwa Mzanzibari, Uzanziabri sio kabila bali ni uzaliwa wa eneo la Zanzibari.
Makabila yote unayoyajua na usiyoyajua yaliyopo bara na nje ya nchi yapo Zanzibari lakini haiondoi uhalisia wao wa kuwa Wazanzibari. Hata Karume mwenyewe wazazi wake wana asili ya Malawi lakini yeye alizaliwa Zanzibar na kuwa Mzanzibari! Unafeli wapi!
Uzanzibari sio kabila bali ni uzao tu
 
Hata angezaliwa North Korea au Afghanistan yeye ni MPOGORO wa MALINYI mkoa wa MOROGORO, na maisha yake yako BARA! Upo hapo! Hana shida na huko Zanzibar unakosema maana siyo nchi yake!
Kumbe hujielewi! Ndani ya Muungano Zanzibar ni nchi??
 
Back
Top Bottom