balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Huyu siyo wa Kilombero?Anarudi kwao kustaafia kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu siyo wa Kilombero?Anarudi kwao kustaafia kazi
Acha uchocheziduh, kafir na Znz wapi na wapi
NiLiJua ni muislam. Aache udiniMkristo ataweza kuisoma qur an kweli? Au ulijua jamaa muislam?
Dah.. hii imekaaje mkuu, fafanua kidogo.. kama kuna linki ya uzi nisogezeeJamaa mbona anaandamwa na matukio sana?! Huyu si ndo mke wake alimruhusu aoe mke wa pili kumbe yeye anaenda kuolewa na yule jamaa waziri,,,,,?!
Kabla ujaanzisha uzi ni vyema ungeuliza watu wazima ungepata faida Charles ni MzanzibarRais Hussein Mwinyi kumteua Charles Hillary kuwa Mkuu wa mawasiliano Ikulu ni kuwadharau wazanzibari.Wazanzibari wapo kibao ambao wangeweza kushika nafasi hiyo...
Mtoa mada ni Mshamba...Kabla ujaanzisha uzi ni vyema ungeuliza watu wazima ungepata faida Charles ni Mzanzibar
licha ya hivyo yule mzee ana uweled mkubwa katika tasnia ya mawasiliano na habarKabla ujaanzisha uzi ni vyema ungeuliza watu wazima ungepata faida Charles ni Mzanzibar
tena hopeless kabisa yaan na wasipo endelea mpaka 2025 hawatoendelea tena koz hawajitumi wanalalamika na bado ni mdebwedoMtoa mada ni Mshamba...
😍Kabla ujaanzisha uzi ni vyema ungeuliza watu wazima ungepata faida Charles ni Mzanzibar
Mars 12 huna adabu .Rais Hussein Mwinyi kumteua Charles Hillary kuwa Mkuu wa mawasiliano Ikulu ni kuwadharau wazanzibari.Wazanzibari wapo kibao ambao wangeweza kushika nafasi hiyo.Labda kilichokusukuma mpaka ukamteua ni kufanya kazi kwake BBC...
Bwege bwege sana weweRais Hussein Mwinyi kumteua Charles Hillary kuwa Mkuu wa mawasiliano Ikulu ni kuwadharau wazanzibari.Wazanzibari wapo kibao ambao wangeweza kushika nafasi hiyo.Labda kilichokusukuma mpaka ukamteua ni kufanya kazi kwake BBC...
Ndio kudumisha Muungano YaheeRais Hussein Mwinyi kumteua Charles Hillary kuwa Mkuu wa mawasiliano Ikulu ni kuwadharau wazanzibari.Wazanzibari wapo kibao ambao wangeweza kushika nafasi hiyo.Labda kilichokusukuma mpaka ukamteua ni kufanya kazi kwake BBC...
swahilitimes.co.tz