Charles Hilary ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu - Zanzibar

Charles Hilary ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu - Zanzibar

Jamaa mbona anaandamwa na matukio sana?! Huyu si ndo mke wake alimruhusu aoe mke wa pili kumbe yeye anaenda kuolewa na yule jamaa waziri,,,,,?!
Dah.. hii imekaaje mkuu, fafanua kidogo.. kama kuna linki ya uzi nisogezee
 
Rais Hussein Mwinyi kumteua Charles Hillary kuwa Mkuu wa mawasiliano Ikulu ni kuwadharau wazanzibari.Wazanzibari wapo kibao ambao wangeweza kushika nafasi hiyo.

Labda kilichokusukuma mpaka ukamteua ni kufanya kazi kwake BBC.Muulize Rais mstaafu Jakaya kwa nini alimuondoa Tido Mhando TBC? Dr President Hussein uteuzi wa Hillary hauendani na utamaduni wa Zanzibar.

Wapo akina Ally Saleh,Salim Kikeke,na wengine wengi ambao ni wazanzibari original.Hatutaki mamluki toka sehemu zingine.Zanzibar Nation belong to Zanzibaris.
 
Kwani mzanzibari halisi ni nani ?!!!

Hayati mzee Karume?!!!

Mzee Ali Hassan Mwinyi?!!!

Visiwa vyote duniani havina WATU ASILIA.....wote ni wahamiaji tu.....

Zanzibar ina WANGONI....WAMATUMBI....WANGAZIJA....WAMAKONDE....WANGINDO...WANDENGEREKO....WAMAKUA...WANYASA....WANYAMWEZI...WASUKUMA.....WAARABU....WAHINDI....WAAJEMI......

#Siempre JMT🙏
 
Rais Hussein Mwinyi kumteua Charles Hillary kuwa Mkuu wa mawasiliano Ikulu ni kuwadharau wazanzibari.Wazanzibari wapo kibao ambao wangeweza kushika nafasi hiyo.Labda kilichokusukuma mpaka ukamteua ni kufanya kazi kwake BBC...
Mars 12 huna adabu .
 
Bwege bwege sana wewe
 
Ndio kudumisha Muungano Yahee
 
Bila shaka umezuzuliwa na jinale pasipo kutambua kwamba Charles ni m-kisiwani

Back
Top Bottom