TANZIA Charles Keenja na mkewe wafariki Dunia wakati akipatiwa matibabu Hospitali ya Seifee

Ila kala maisha..ubunge..uwaziri...R.i.p
 
Huyu mdudu yaani shida sana, moja ya mtihani mkubwa ambao mwanadamu hajapata kuupitia...

Yaani huwezi kuishi pasipo kupumua, then mdudu yeye kakomaa kukaa kwenye hewa ambayo lazima uivute...

😠😠
😅😅😅
 
Huyu mdudu yaani shida sana, moja ya mtihani mkubwa ambao mwanadamu hajapata kuupitia...

Yaani huwezi kuishi pasipo kupumua, then mdudu yeye kakomaa kukaa kwenye hewa ambayo lazima uivute...

[emoji34][emoji34]
Nakuona Dalali wa machanjo unajaribu kutupia nyavu...
 
MBONA KAMA MISIBA INAANZA KUSHIKA HATAMU???

Usiwe na wasiwasi chanjo imechukuwa sehemu ya Mungu tuliye mtegemea kipindi cha nyuma.
Hivyo itakuepusha na kifo. Endeleeni kutegemea akili na maarifa ya kibinadamu. "Amelaaniwa ategemeaye mwanadamu". Poleni wa uzao wa Keenja ndugu jamaa na marafiki.

#Tanzania tutanunua magari kutoka Rwanda.
 
R.I.P. aliyekua Mkurugenzi wa Tume ya jiji la daslam .
 
Daah inasikitisha sana.
 
Mke wake ame RIP jioni ya leo
 
Huku wanatupiga kule sir God anawanyuka haswa wiki moja 1. Kwandikwa 2. Keenja dah
 
Wamepishana muda kidogo na mke wake.Naye amekata moto baada ya mumewe.
 
Johnson And Johnson
Mpango Wa Covax
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…