TANZIA Charles Keenja na mkewe wafariki Dunia wakati akipatiwa matibabu Hospitali ya Seifee

Duh inakuwaje mtu na mkewe kufariki siku moja kwa situation ambayo sio ajali?
Sii ajabu kama ninmfuatiliaji wa mambo. Hasa kama ni watu waliopendana na kuishi pamoja muda mrefu

 
Mbona habari leo wamepost facebook kwamba yeye na mkewe wamefariki?
 
Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Tume ya Jiji la Dar, Mbunge wa Ubungo na Waziri kipindi cha awamu ya tatu Charles Ndiliana Ruwa Keenja amefariki Dunia leo akipatiwa Matibabu Seifee Hospital jijini Dar...
Na Mke wake Kafariki leo na Walikuwa Wamelazwa Hospital Moja
 
Tayari Mkuu sasa natembea kifua MBERE na matambara yangu ya kuziba pua na mdomo. Kwa sauti ya mwendazake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera Mkuu mi bado naogopa, inaweza ikanimalizia zile nguvu zetu, na bdo nahitaji kuongeza watoto, ngoja Kwanza hayo majaribio tuyaonee kwako

Sent from my 5033X_EEA using JamiiForums mobile app
 
Mtoto wao Mkubwa anaye julikana kwa Jina la Amani Keenja naye amelazwa kwa changamoto hizo hizo, tuendelee kumuombea
Mungu wangu jmn eh Baba
Wasaidie hii familia daah
Namfahamu mke wake yani moyo umefanya paa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hakuna kitu kama hicho Mkuu. Epuka COVID-19 kwa kupata chanjo.
Hongera Mkuu mi bado naogopa, inaweza ikanimalizia zile nguvu zetu, na bdo nahitaji kuongeza watoto, ngoja Kwanza hayo majaribio tuyaonee kwako

Sent from my 5033X_EEA using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…