TANZIA Charles Keenja na mkewe wafariki Dunia wakati akipatiwa matibabu Hospitali ya Seifee

Rest in peace Mr & Mrs Keenja.
Poleni sana wanafamilia na wote mlioguswa na msiba huu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakuna kitu kama hicho Mkuu. Epuka COVID-19 kwa kupata chanjo.
Ngoja Kwanza mkuu nikutangulize kma miezi mitatu hivi, bdye ntakuuliza Hali yako hlf ndo ntafanya maamuzi Sasa, Ila hiyo kitu ni hatari, ilinipiga kma wiki mbili hivi, haina utani, isikilizie Kwa mwingine mkuu, lkn kma umechanja ni maamuzi mazuri pia.

Sent from my 5033X_EEA using JamiiForums mobile app
 
Reactions: BAK
Kila la heri Mkuu but please watch this video to the end. They made the decision to wait until 2022 unfortunately Covid-19 has its own timeline.
 
R.I.P. aliyekua Mkurugenzi wa Tume ya jiji la daslam .
Alikuwa mwenyekiti wa Tume ya Jiji la Dar es salaam, alifanya mageuzi makubwa sana kati ya mwaka 1996 hadi 1999, zilipoanzishwa Halmashauri za Manispaa za Ilala, Kinondoni na Temeke, atabaki kwenye kumbukumbu za viongozi walioacha alama kubwa sana nchi hii
 
Dah! Kitambo sana nilishamsahau, mzee alioa ndugu na mke wa Sumaye

R.I.P
 
Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Tume ya Jiji la Dar, Mbunge wa Ubungo na Waziri kipindi cha awamu ya tatu Charles Ndiliana Ruwa Keenja amefariki Dunia leo akipatiwa Matibabu Seifee Hospital jijini Dar...
Buriani, huu ni msimu wa Israel kuvuna
 
Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Tume ya Jiji la Dar, Mbunge wa Ubungo na Waziri kipindi cha awamu ya tatu Charles Ndiliana Ruwa Keenja amefariki Dunia leo akipatiwa Matibabu Seifee Hospital jijini Dar...
Keenja na mkewe wamefariki kwa pamoja akianza Keenja.
 
[emoji15][emoji15][emoji15] aisee vifo double double duh! Yule Waziri wa Ulinzi Baba yake pia kafariki.
Halafu bado kuna kenge bado zinakataa uwepo wa Corona !!. Watu wazima tuna shida
 
Mimi si mkamilifu ila ikimpendeza Mwenyezi Mungu, afanye majaribio kwangu niishi miaka kama 500 hivi kama enzi zilee ila bila karaha zinazokuja na uzee.

Amenipa karama ya uvumilivu na unyenyekevu mkubwa, nadhani sitamuangusha.
 
Umeona death certificate yake au ndio udaku wa JF?

yaani wewee ni bonge la falaa kweli kweli, aliyekwambia JF ni jukwaa la udaku nani?? ebu jaribu kufikia 'nje ya box' hata kidogo, kwani wewe unafikiri hii couple imekufa siku moja kwa kuchoma visu??? mzee hili ni jukwaa la ma great thinkers mzee, kama hauendani na hili jukwaa wee rudi tuu FB......
 
Sawa, ila wewe mwerevu umeona death certificate ya mzee? Hayo mengine ndio udaku mliouleta hata mmeharibu ile reputation ya mwanzo ya JF.

Unadhani familia ikikushtaki utamwambia huu upuuzi hakimu akakuelewa?

Acheni upumbavu wa kujifanya mnatangaza mambo yasiyowahusu. Acha familia iseme ndugu yao amefariki kwa ugonjwa ģani kama wakiamua kusema. Wengine pigeni kimya!

Yaani wewe mwoga kama kunguru umejificha kwenye jina feki unamtishia mwanaume. Kwenda zako huko!
 
Mimi si mkamilifu ila ikimpendeza Mwenyezi Mungu, afanye majaribio kwangu niishi miaka kama 500 hivi kama enzi zilee ila bila karaha zinazokuja na uzee.

Amenipa karama ya uvumilivu na unyenyekevu mkubwa, nadhani sitamuangusha.
Miaka mingi sana hiyo mkuu.
Mwishoni utachoka tu na kuomba ukapumzike!.
 
Mbunge wetu wa ubungo,dah! Siasa za miaka ile full fix
Nalog off
 
U Uzi haujakamilika hakuna taarifa kuhusu mkewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…