Charles Kimei: Serikali iwekeze kwenye Elimu ya ujuzi ambayo inaakisi maisha yetu ya kila siku

Kazi Nyingi sasa hivi sio za white color jobs za kulamba suti na tai muambiane huko Chadema kuwa kazi za kulamba suti na tai hazipo ukiwemo ugombea uraisi , ubunge na udiwani kupitia Chadema
Ajira 8ml mlizowaambia bongolala mliwaajiri kwenye sekta ipi?
 
Wastani wa 20,000@day kila mtu angeshona.
 
Yaani nikisomaga comments kama za mleta mada nazidi kuelewa Nchi ina WAPUMBAVU wa kiwango gani!....Kimei anajipya gani ameshindwa kumuiga Dr Rashid aliekuwa BOT sasa anaendesha Bank yake ya Amana Kimei kapiga Hela kashindwa hata kuanzisha Saccos amekimbilia mbeleko ya ccm leo mjinga mmoja anakuja kuharisha humu daah
 
Kuna skills zingine mie nilisoma sijui unaiapply VP kwenye maisha ya kawaida serious
Mkuu, asante kwa uzi wako.
====
Mkuu, kama haitakuwa shida. Naomba kujua skills ulizojifunza/soma lakini hujui unaziapply vipi (VP) kwenye maisha ya kawaida.

Karibu.
 
Halafu ni mbaya, unapeleka mtoto shule hadi form4 anapata0 na ukimpeleka shamba hawezi kulima pia..... na hapo keshakua mtu mzima 18, 19
Na pia sports ni 0? Siamini Mungu anaweza kumnyima mja wake kila kitu. Lazima tufundishe watoto kutambua talanta zao.
 
I
Yeye anaweza kwenda veta?bangi ni wewe mkariri
Kwe
Kimei na Benno Ndulu ndo mababa zangu wa uchumi kwa hapa Tanzania..

Japo hawajanifundisha ila nimejifunza mengi kutoka kwao.

Kikubwa ni kwamba, wameelimika kiasi kwamba wanaweza kutambua na kutofautisha theory na practice vitu ambavyo ba
At
Tatizo mitaala mibovu MTU tangu uko shuleni unasetiwa kuajiriwa myumbani unaimbiwa soma uwe daktari(wa watu),mwlm,ruban nk..miongo yangu yote sijawah sikia soma uwe mkulima hodari au mjasiriamali mkubwa huo ndio ukwl...
 
Charles Kimei ni msomi aliyeelimika mwenye kujua jinsi ya kuitumia elimu yake kwa matumizi sahihi ya mazingira yaliyopo
Hongera kwake mbunge wa Vunjo
So ndo CCM mwenye akili kuliko wote?ama anautaka uwaziri wa elimu?Ndalichako inabidi akae chonjo maana....
 
Mwambieni huyu Mzee CCM haipendi wenye kuwaza tofauti na akili zao...

Ale aondoke.. CCM haijawahi kuwaza Mbadala wa elimu hii mbovu ya kikoloni...
 
So ndo CCM mwenye akili kuliko wote?ama anautaka uwaziri wa elimu?Ndalichako inabidi akae chonjo maana....
Kimei Kutoa mawazo yake bungeni sio kwamba anataka uwaziri wa elimu; na Ndalichako kutosikika akiongelea sio kwamba halijui au halifanyii kazi
 
Kimei Kutoa mawazo yake bungeni sio kwamba anataka uwaziri wa elimu; na Ndalichako kutosikika akiongelea sio kwamba halijui au halifanyii kazi
Sasa hapa unamtetea Ndalichako?Hii issue mbona ya siku nyingi sana ila bado kashindwa kuchukua hatua.Wampe tu Kimei uwaziri wa elimu anaweza akasaidia zaidi kuliko Ndalichako
 
Kila mtu anataka kuwa HRO....

Kazi kwelii..
 
Sasa hapa unamtetea Ndalichako?Hii issue mbona ya siku nyingi sana ila bado kashindwa kuchukua hatua.Wampe tu Kimei uwaziri wa elimu anaweza akasaidia zaidi kuliko Ndalichako
Nimemtetea wapi Ndalichako? Au wapi nimemponda Kimei!?
Au unataka mawazo yako yawe yanguπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…