pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Hivi ni 'bunge kweli' au 'kamati ya bunge la ccm'?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajira 8ml mlizowaambia bongolala mliwaajiri kwenye sekta ipi?Kazi Nyingi sasa hivi sio za white color jobs za kulamba suti na tai muambiane huko Chadema kuwa kazi za kulamba suti na tai hazipo ukiwemo ugombea uraisi , ubunge na udiwani kupitia Chadema
Wastani wa 20,000@day kila mtu angeshona.Kwani waajiriwa kwenye ajira rasmi wanalipwa sh ngapi? Na wao hawazeekei kwenye nyumba za kupanga? Fundicherehani mdogo kabisa anaingiza wastani wa 20 kwa siku sioni kama ni kitu kidogo
Na hiyo statement ya kuzeekea kwenye nyumba za kupanga ulivyoitumia hapo umesahau kama kuwa na kitu fulani inategemea na vipaumbele vya mtu
Yaani nikisomaga comments kama za mleta mada nazidi kuelewa Nchi ina WAPUMBAVU wa kiwango gani!....Kimei anajipya gani ameshindwa kumuiga Dr Rashid aliekuwa BOT sasa anaendesha Bank yake ya Amana Kimei kapiga Hela kashindwa hata kuanzisha Saccos amekimbilia mbeleko ya ccm leo mjinga mmoja anakuja kuharisha humu daahYeye Kimei anafanya nn bungeni kama anajua hayo? Mawazo kama hayo hakuna jipya, elimu ya ufundi stadi ipo na inafundishwa, kipi kipya Kimei kasema? Yeye mwenyewe kastaafu CRDB, kashindwa kujiajiri, kakimbilia kuomba ajira kwa wananchi.. Kwanini Kimei pamoja na kuwa MD wa CRDB ana mahela kibao, asijiajiri na kufungua miradi ambayo ingetoa ajira kwa wananchi hata wa jimbo alilotoka la Vunjo? Kimei kashindwa kujiajiri mwenyewe, alafu anaishauri serikali itengeneze ajira kwa kufundisha ufundi, mbona hakuna jipya hapo. Au ww mpambe tu wa Kimei, hapa JF sio kila mtu mjinga, ukipost jambo waza mara nyingi, acha kuona watu wajinga ww.. Kimei nothing new kasema. Mwenyewe kashindwa kujiajiri..
Mkuu, asante kwa uzi wako.Kuna skills zingine mie nilisoma sijui unaiapply VP kwenye maisha ya kawaida serious
Kwa mwaka!?Wanafika 8m?
Unawaza kizamani sanaWastani wa 20,000@day kila mtu angeshona.
Na pia sports ni 0? Siamini Mungu anaweza kumnyima mja wake kila kitu. Lazima tufundishe watoto kutambua talanta zao.Halafu ni mbaya, unapeleka mtoto shule hadi form4 anapata0 na ukimpeleka shamba hawezi kulima pia..... na hapo keshakua mtu mzima 18, 19
KweYeye anaweza kwenda veta?bangi ni wewe mkariri
AtKimei na Benno Ndulu ndo mababa zangu wa uchumi kwa hapa Tanzania..
Japo hawajanifundisha ila nimejifunza mengi kutoka kwao.
Kikubwa ni kwamba, wameelimika kiasi kwamba wanaweza kutambua na kutofautisha theory na practice vitu ambavyo ba
Tatizo mitaala mibovu MTU tangu uko shuleni unasetiwa kuajiriwa myumbani unaimbiwa soma uwe daktari(wa watu),mwlm,ruban nk..miongo yangu yote sijawah sikia soma uwe mkulima hodari au mjasiriamali mkubwa huo ndio ukwl...Hivi kinachotusumbua graduates ni kutokusoma stadi za kazi au ni kuandaliwa kuishinda tunayohisi kuwa aibu endapo tutaonekana kufanya baadhi ya kazi?
Mfano ni wahitimu wangapi wa mechanical/electrical engineering wanaoona aibu kujichanganya gereji za kitaa kufanya kazi zilizopo wajipatie kipato ila wanashinda kutwa na bahasha kutafuta kazi za ofisini zinazoendana na walichosomea vyuo?
Kwasababu kama umesoma technical schools uka graduate katika fani husika unashindwa vipi kufanya ulichokisomea hadi unazidiwa maisha na muhitimu wa veta mtaanj kwenu.. Hapa sio kwamba ni aibu tu inatukumba na kujikuta tunashindwa kufanya kazi za tunaoamini hawajasoma?
Kwa mwaka!?
Naomba source ya takwimu hii. Natanguliza shukrani.
Lengo langu unisaidie kuwaza kisasa.Unawaza kizamani sana
So ndo CCM mwenye akili kuliko wote?ama anautaka uwaziri wa elimu?Ndalichako inabidi akae chonjo maana....Charles Kimei ni msomi aliyeelimika mwenye kujua jinsi ya kuitumia elimu yake kwa matumizi sahihi ya mazingira yaliyopo
Hongera kwake mbunge wa Vunjo
Kimei Kutoa mawazo yake bungeni sio kwamba anataka uwaziri wa elimu; na Ndalichako kutosikika akiongelea sio kwamba halijui au halifanyii kaziSo ndo CCM mwenye akili kuliko wote?ama anautaka uwaziri wa elimu?Ndalichako inabidi akae chonjo maana....
Sasa hapa unamtetea Ndalichako?Hii issue mbona ya siku nyingi sana ila bado kashindwa kuchukua hatua.Wampe tu Kimei uwaziri wa elimu anaweza akasaidia zaidi kuliko NdalichakoKimei Kutoa mawazo yake bungeni sio kwamba anataka uwaziri wa elimu; na Ndalichako kutosikika akiongelea sio kwamba halijui au halifanyii kazi
Kila mtu anataka kuwa HRO....Shida mwingereza alipokuja lengo lake lilikuwa kuandaa makarani wa white color jobs tulipopata uhuru tuka adapt elimu ya muingeteza!! ya kuzalisha white color jobs officials!! Tukabaki na mentality ya kikoloni hadi Leo
Niseme wazi tulipofikia white color jobs are not nuch needed kwenye makert na hazina future kubwa both in the public sector na private sector
Wanafunzi wasisome tu kama wehu waangalie soko linataka nini. NA WAZAZI tuwe serious tuangalie soko linataka nini vyuo pia waangalie soko lataka nini sababu wakisubiri wazazi na watoto waamke kugomea course zao sababu hazina ajira wala future watakuja jikuta vyuo vinafungwa kwa kukosa wanafunzi
Nimemtetea wapi Ndalichako? Au wapi nimemponda Kimei!?Sasa hapa unamtetea Ndalichako?Hii issue mbona ya siku nyingi sana ila bado kashindwa kuchukua hatua.Wampe tu Kimei uwaziri wa elimu anaweza akasaidia zaidi kuliko Ndalichako