mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Mtaani wako kibao wanafanya tena darasa la saba sikukatishi tamaa lakini wahi soko bado Lipo ni ajabu darasa la saba wamekufa fast mover ndio wanafunga security systems ,mafundi simu na computer ,wauza vifaa vya simu na computer,wafunga sattelite dishes nk wasomi wamelala wanakoroma kusubiri ajira serikalini sijui shida nini ina maana darasa la saba ana more entreprenur skills kuliko graduate aliyesoma somo la entrepreneurship chuo?
UKo kwenye right track hongera
Hongera uko vizuri hiyo inaitwa multi skill mfano katibu mkuu wa CCM Dk Bashiru Ally Mbali na kuwa katibu mkuu wa CCM ni mwalimu mahiri wa chuo kikuu lakini pia ni mvuvi hodari mpiga makasia mitumbwi ya uvuvi,mchuuzi wa samaki ,dalali na dereva wa malori makubwa na fundi makenika wa malori makubwa na mkulima na fundi ujenzi wa nyumbaNina uza duka.ila napenda kuwa na fani nyingi.
Umeme naujua.kufunga madishi najua.na hizo fani nataka niongezee
Chadema wa mitandaoni hamna multi skills ulichosomea ndicho hicho hicho ndio maana mnalia njaa mabwege nyiePumbavu zako.
Sina hakika kama umeelewa nilichoandikaSawa mkuu acha tuharishe lkn tupone ajira ni kwl hakuna,jua ni likali kwa graduates walio wengi ,Huoni au hauishi Tz? Hahaaaahaaaa yeye walau mtaala ulimsaidia SAA hizi anatafutia wajukuu wewe umeutumiaje mtaala?
umekufikisha wapi? Acheni utani kwenye mambo ya msingi...
Mkuu kuna wachina nafanya nao kazi naambiwa vyuo vile academics vingi sana wamebadilisha kwenda veta system. Na anayetokea mfumo wa veta ndiye anayelipwa Hela nyingi sana kuliko kama huyu wa udsm aliyejaa theory na ilhali hata redio fuse ikiungua hawezi kubadilishaKimei Huyo wa kusikilizwa alibadilisha benki ya kizawa ya CRDB hadi kuwa ya kimataifa yenye Matawi nje ya nchi
UShauri wangu syllabus zote za Veta zichukue syllabus ya China na ujerumani ziko vizuri sababu zinafunza mtu kuwa producer wa bidhaa za kupeleka sokoni sio tu fundi tu msubiri aitwe kufanya ufundi !!!! hii ya kuitwa mtu anakuwa na idle time muda mrefu bila kazi
Hongera uko vizuri hiyo inaitwa multi skill mfano katibu mkuu wa CCM Dk Bashiru Ally Mbali na kuwa katibu mkuu wa CCM ni mwalimu mahiri wa chuo kikuu lakini pia ni mvuvi hodari mpiga makasia mitumbwi ya uvuvi,mchuuzi wa samaki ,dalali na dereva wa malori makubwa na fundi makenika wa malori makubwa na mkulima na fundi ujenzi wa nyumba
Hiyo multi skills muhimu kwenye maisha hufi njaa ongeza fani zingine ukiweza
Sawa, ila tuambie unafanya niniTuliyosoma VETA naona sahv wenyewe mnatutambua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zamani tulikuwa tunadharaulika
Ova
Tatizo upo kiuanachama kwa kila madaKazi Nyingi sasa hivi sio za white color jobs za kulamba suti na tai muambiane huko Chadema kuwa kazi za kulamba suti na tai hazipo ukiwemo ugombea uraisi , ubunge na udiwani kupitia Chadema
Mimi nafanya kila kitu ilimradi nipige hela tuSawa, ila tuambie unafanya nini
Mkuu, asante kwa uzi wako.
====
Mkuu, kama haitakuwa shida. Naomba kujua skills ulizojifunza/soma lakini hujui unaziapply vipi (VP) kwenye maisha ya kawaida.
Karibu.
Yale yale!!! Mawazo ya Ccm. Je wakisha jifunza wote ufundi hivyo watakavyo tengeneza ni nani ata nunua? Na wana pata wapi mitaji ya kuanzisha shughuli zao wakati wana madeni ya kukopeshwa na Serikali ya Ccm pesa za kujisomesha?
Mara nyingi huwa nasema wazee wakae nyumbani wacheze na wajukuu. Wasichukulie siasa kama ni kazi ya wastaafu
Una pointHalafu ni mbaya, unapeleka mtoto shule hadi form4 anapata0 na ukimpeleka shamba hawezi kulima pia..... na hapo keshakua mtu mzima 18, 19
Na ndivyo inavyotakiwa kwenye maishaMimi nafanya kila kitu ilimradi nipige hela tu
Ova
Mimi naomba sana wa-tanzania wapate nafasi ya kuwa wanamsikiliza huyu mtu kila anapokuwa anongea Bungeni.Salamu wakuu, nilipata nafasi ya kutizama Bunge Leo wakati wa majadiliano ya hotuba ya Raisi, kwa moyo mmoja kabisa nimpongeze mbunge Charles kimei kwa kufikiri na kutoa mawazo ya nje ya box.
Graduates kwa sasa ni wengi mtaani hakuna ajira za kutosha kila anayegraduate kuajiriwa, ni wakati wa meza kupinduliwa kazi za mikono ziwekewe kipaumbele kikubwa kwenye system ya elimu...mitaala itanduliwe tupone, hii mind set ya MTT akimaliza Chuo aajiriwe akashike kalamu tu kwenye kiyoyozi ife, vijana wapewe skills za maisha zinazotumika kila Siku.
Kuna skills zingine mie nilisoma sijui unaiapply VP kwenye maisha ya kawaida serious!. Mh. Kimei Ameishauri serikali kuwekeza zaidi kwenye skills ambazo ajira zake zinaakisi maisha yetu ya kila siku kina fundi simu ,magari na the likes VETA izidi kukua.
Siyo wazo baya ila practically kuwambia vijana wajiajiri wakati anayeongea hayo aliajiriwa miaka nenda hadi kastaafu na badala ya kujiajiri kaingia bungeni inastajabisha kidogo. Kujiajiri siyo mchezo. Inataka dedication na uvumilivu wa hali ya juu. mtu mpaka utoboe uwe tayari kusota miaka mingi. Siyo kazi rahisi kujiajiri. na wengi wanaopiga kelele vijana wajiajiri wao wameajiriwa. Narudia siyo wzo baya ila ni vigumu sana kuliappy practically.Salamu wakuu, nilipata nafasi ya kutizama Bunge Leo wakati wa majadiliano ya hotuba ya Raisi, kwa moyo mmoja kabisa nimpongeze mbunge Charles kimei kwa kufikiri na kutoa mawazo ya nje ya box.
Graduates kwa sasa ni wengi mtaani hakuna ajira za kutosha kila anayegraduate kuajiriwa, ni wakati wa meza kupinduliwa kazi za mikono ziwekewe kipaumbele kikubwa kwenye system ya elimu...mitaala itanduliwe tupone, hii mind set ya MTT akimaliza Chuo aajiriwe akashike kalamu tu kwenye kiyoyozi ife, vijana wapewe skills za maisha zinazotumika kila Siku.
Kuna skills zingine mie nilisoma sijui unaiapply VP kwenye maisha ya kawaida serious!. Mh. Kimei Ameishauri serikali kuwekeza zaidi kwenye skills ambazo ajira zake zinaakisi maisha yetu ya kila siku kina fundi simu ,magari na the likes VETA izidi kukua.
Ndio hii spirit tuwajengee watoto tangu Siku wanakanyaga shuleni usome ila kuna option mbili uajiriwe au ujiajiri..Siyo wazo baya ila practically kuwambia vijana wajiajiri wakati anayeongea hayo aliajiriwa miaka nenda hadi kastaafu na badala ya kujiajiri kaingia bungeni inastajabisha kidogo. Kujiajiri siyo mchezo. Inataka dedication na uvumilivu wa hali ya juu. mtu mpaka utoboe uwe tayari kusota miaka mingi. Siyo kazi rahisi kujiajiri. na wengi wanaopiga kelele vijana wajiajiri wao wameajiriwa. Narudia siyo wzo baya ila ni vigumu sana kuliappy practically.