mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Nina uza duka.ila napenda kuwa na fani nyingi.
Umeme naujua.kufunga madishi najua.na hizo fani nataka niongezee
Umeme naujua.kufunga madishi najua.na hizo fani nataka niongezee
Mtaani wako kibao wanafanya tena darasa la saba sikukatishi tamaa lakini wahi soko bado Lipo ni ajabu darasa la saba wamekufa fast mover ndio wanafunga security systems ,mafundi simu na computer ,wauza vifaa vya simu na computer,wafunga sattelite dishes nk wasomi wamelala wanakoroma kusubiri ajira serikalini sijui shida nini ina maana darasa la saba ana more entreprenur skills kuliko graduate aliyesoma somo la entrepreneurship chuo?
UKo kwenye right track hongera