Charles Kitwanga atajwa kuhusika na kashfa ya ufisadi katika Jeshi la Polisi ya sh. bilioni 34

Status
Not open for further replies.
Tunafahamu ukaribu wake na mkuu mwenyewe, jee alipewa wizara hiyo ili aje afiche madhambi ya nyuma?
Magu kweli hii bita ya ufisadi ataiweza kweli maana inaonyesha hakuna atakaye baki
Huu mdundiko kuna siku utarindima nyuma ya ikulu ya magogoni
 
Rais Magufuli hana ubavu wa kumuweka pembeni Charles Kitwanga. Huyo ndo master minder wake. Akimwambia Rais geuka kusho, kulia, njoo, nenda anafanya. Ni zaidi ya swahiba kwa JPM.
 


sasa anahangaika kujitete
 
Rais Magufuli hana ubavu wa kumuweka pembeni Charles Kitwanga. Huyo ndo master minder wake. Akimwambia Rais geuka kusho, kulia, njoo, nenda anafanya. Ni zaidi ya swahiba kwa JPM.
Alaaaaa kumbe
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…