Probablyunataka kusema,aliingia mambo ya ndani ili akafiche hiyo scandal?
Anaogopa maana akianza kubadili mawaziri leo hadi maiaka mitano atakuwa amebadili zaidi ya mara laki kidogo kwa tanzania ilipokuwa imefikishwaMhe Rais, amekuwa akieleza mara kwa mara kuwa hatawavumilia wateule wake ambao watashiriki ktk ufisadi
Naomba kushauri kuwa Mhe huyu anatakiwa awajibishwe haraka sana, vinginevyo tutaamini kuwa ile Kauli yetu ya Kizaramo "UKIWAONA KAMA WATU".
Mhe Rais Jipu kubwa hilo, unachotakiwa si kulitumbua bali ni kulikamua.
Jibu hoja acha wengeNdg.kwanza fanya marekebisho yafuatayo kwenye hoja yako:-
1. Rais siyo Rahisi.
2. Majipu yaliyoiva siyo hiva.
3. Hamna lolote siyo amna lolote.
4. Magazeti aliyotumia siyo haliyotumia,
5. Mbiguni hesabu siyo esabu.
Hivi David Cameroon atajiuzuru
Hakuna hoja kwenye makosa ya kisarufi.Jibu hoja acha wenge
unajipoza machungu.
Nina uhakaika asilimia 100% Mkurugenzi wa NIDA siyo mmoja ya wamiliki wa infosys. Ndiyo, Kitwanga ni mmoja ya shareholder wa infosys IPS Ltd. Kampuni ya infosys IPS Ltd ni moja ya kampuni chache za IT zenye ufanisi mkubwa na uadilifu ktk utendaji. Ni kampuni ambayo hutimiza ahadi siku zote. Infosys IPS Ltd imewahi kufanya miradi mikubwa sana na wateja kama wizara ya fedha, TRA etc, na kote huko haikuwahi kuchelewesha kazi. Tusubiri naamini kukatakuwa na sababu za kwa nini Lugumi walichelewa au wamechelewa kutekeleza mradi. Hivyo infosys IPS Ltd na Charles Kitwanga ni kampuni safi na Mh. Charles Kitwanga ni muadilifu na mchapa kazi.
hahahah kamanda umenichekesha. lakini niulize ni chama gani ambacho unaweza kupata system yao yote ni safi hapa Tanzania na hata dunia nzima. ndio maana zipo sheria kali kwa wabadhirifu wote. hakun, binadamu aliye perfect hujui. hata wewe kuna sehemu tu lazima una weakness zako na labda umeshawahi kulamba bingo sehemu sehemu. ni malaika tu ndio wapo perfect ,hakuna cha ccm, chadema, cuf, nccr, act na vingevyo. kila mtu anahangaikia mkono uende kinywani. blabla za siasa kutudanganya tuYetu macho na masikio. Kumpata mtu safi kwenye system ya Ccm ni sawa na kutaka mwanamume abebe ujauzito.