Hawezi kuzuia habari, ni ngumu saanam , watu walikuwa wanamsema rizone bure kuhusu hili sualanadhani hii ngoma ni nzito kuliko uwezo wake ndio maana pamoja na kuwa waziri wa wizara husika kashindwa kuzuia habari zisivuje
Mkuu mpaka hii week ijayo iishe tunaweza ona dalili kama hii vita inamaanishwa au laTunafahamu ukaribu wake na mkuu mwenyewe, jee alipewa wizara hiyo ili aje afiche madhambi ya nyuma?
Magu kweli hii bita ya ufisadi ataiweza kweli maana inaonyesha hakuna atakaye baki
membe alilisema hili, zimwi likujualo halikuli likakumaliza, si unajua jamaa ni jasusiSidhani kama ataondolewa, mbona Makamba anadunda tu
yes, hivyo ndivyo inavyotakiwaNa kwa Wabunge wale kupelekwa Lupango, kama wataamua kuamka na kuisimamia Serikali wakaondoa uvyama, tutasikia mengi
Soma Tena Kichwa Cha Habari Kwanza!! Ametajwa Kama Charles Kitwanga, Hakuna Sehemu Inayosemwa Kuwa Wkt Huo Alikuwa Waziri Wa Wizara Husika!! Ndio Maana Amesema, Waziri Wa JPM, Sio Wa Kikwete!!Wakati huo hakuwa waziri wa wizara husika
Unafiki sio tusi ni sifa ya mtu mwny kupenda kujifanya anazungumzia tatizo la upande mmoja. Kwa hiyo ukiwa unazungumzia jambo kinafiki nafki hatutaepuka kukukanya. Kukumbusha kuwa Mbowe kasema Rushwa ndani ya Chadema na ukosefu wa nidhamu viliwakosesha ushindi iweje uwe mkali?
Kutokufikishwa Mahakamani sio kigezo kuwa ni wasafi.
Unafiki ni kuamini Misikitini,Makanisani,Saccos na Vyama vya Upinzani hakuna Rushwa kwa kuwa tu hawajafikishwa Mahakamani
Utakua umenufaika na hao infosysNina uhakaika asilimia 100% Mkurugenzi wa NIDA siyo mmoja ya wamiliki wa infosys. Ndiyo, Kitwanga ni mmoja ya shareholder wa infosys IPS Ltd. Kampuni ya infosys IPS Ltd ni moja ya kampuni chache za IT zenye ufanisi mkubwa na uadilifu ktk utendaji. Ni kampuni ambayo hutimiza ahadi siku zote. Infosys IPS Ltd imewahi kufanya miradi mikubwa sana na wateja kama wizara ya fedha, TRA etc, na kote huko haikuwahi kuchelewesha kazi. Tusubiri naamini kukatakuwa na sababu za kwa nini Lugumi walichelewa au wamechelewa kutekeleza mradi. Hivyo infosys IPS Ltd na Charles Kitwanga ni kampuni safi na Mh. Charles Kitwanga ni muadilifu na mchapa kazi.
Hao vatican hawaguswiNinachokiona kwenye serikali ya Mh.watendaji wanaumizwa lakini wanasiasa ambao ndio mafisadi papa wanaachwa.huu ni udhaifu mkubwa alionao rais wetu. Labda kwa sababu kawateua yeye.
Kwenye ukweli lazima tuseme. Ila fisadi hata kama ni ndugu yangu siwezi kuvumilia ni lazima atumbuliwe. Nimejaribu kuelezea kwa jinsi ninavyoifahamu infosys IPS Ltd na Mh. Charles Kitwnga.Utakua umenufaika na hao infosys
Kwa hiyo anaruhusiwa kuchukua fedha bila kufanya kazi na baadaye kuteuliws kuwa waziri WA wizara hiyo hiyo?Wakati huo hakuwa waziri wa wizara husika
Ulichoaminishwa wewe sicho, umepewa taarifa tofauti tulia watu wachangie,Kwenye ukweli lazima tuseme. Ila fisadi hata kama ni ndugu yangu siwezi kuvumilia ni lazima atumbuliwe. Nimejaribu kuelezea kwa jinsi ninavyoifahamu infosys IPS Ltd na Mh. Charles Kitwnga.
Hili litakuwa jipu la pili kwa mkurugenzi wa NIDA,naye ni mpigaji tu kama sisi wenzake wa CCMNaye mkrugenzi wa NIDA kumbe jipu dah! Noma sana
acha kutetea ujinga wewe unamfahamu kitwanga wewe ni mke wake? kama kampuni yake imefanya ufisadi awajibishwe tuKwenye ukweli lazima tuseme. Ila fisadi hata kama ni ndugu yangu siwezi kuvumilia ni lazima atumbuliwe. Nimejaribu kuelezea kwa jinsi ninavyoifahamu infosys IPS Ltd na Mh. Charles Kitwnga.