unalinganisha mbingu na ardhi we bwege kweliSidhani kama ataondolewa, mbona Makamba anadunda tu

Mbona tulishachoka kitamboAkibainika kama kweli amepiga hilo deal atumbuliwe faster tumechoka sasa.
WAZIRI WA MAGUFULI KTK KASHFA YA UFISADI NA POLISI
- Kampuni inayohusishwa naye ya Infosys ilikuwa mkandarasi
Yadaiwa Infosys inamilikiwa na Kitwanga na Mkurugenzi Mkuu NIDA
Ni mdau wa LUGUMI enterprises
Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga atajwa kuhusika na kashfa ya ufisadi katika Jeshi la Polisi ya sh. bilioni 34, imeelezwa.
Kuhusika huko kwa Waziri Kitwanga imekuja siku moja, baada ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali(PAC) kueleza kuwa kuna ufisadi mkubwa kwenye mkataba ulioingia kati ya Jeshi la Polisi Nchini na Kampuni ya Lugumi Enterprises.
Taarifa za kuaminika ilizozipata gazeti hili, zimeeleza kuwa Waziri Kitwanga anahusika kupitia kampuni yake ya Infosys anayomiliki pamoja na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), iliyo chini ya Wizara hiyo hiyo.
Jeshi la Polisi limekumbwa na kashfa kubwa ya manunuzi ya vifaa vya kuhifadhi alama za vidole ambapo Kamati ya PAC imegundua kuwa kampuni ya Lugumi Enterprises haikutekeleza mkataba ipasavyo.
Kampuni hiyo ililipwa sh. bilioni 34 na jeshi la polisi ili kusambaza vifaa hivyo nchi nzima katika vituo 138 vya polisi lakini ni vituo 14 vilivyopata vifaa hivyo.
Gazeti hili limegundua kuwa moja ya kampuni iliyopewa kazi hiyo ni Infsosys ambayo nakala za msajili wa makampuni inaonyesha kuwa inamilikiwa na Charles Kitwanga na Dk. Modestus Francis Kipilimba, ambaye ni Mkurugenzi wa NIDA.
Nyaraka za uchunguzi ikiwemo mkataba kati ya kampuni ya Lugumi na Infosys ambazo gazeti hili imeziona inaonyesha kuwa Kampuni hiyo ya Waziri Kitwanga ilifanya kazi ya kuunganisha internet kati ya vituo vya polisi na mkonga wa taifa.
Kazi ambayo haikufanyika kabisa kwani mpaka sasa ni vituo 14 tu vya polisi viliunganishwa, ambapo baadhi ya taarifa ilizozipata gazeti hili zilionyesha kuwa moja ya taarifa ya ukaguzi inaonekana Marijani Saleh alisaini kufikisha vifaa vya Infosys.
Vifaa hivyo, vinaelezwa vilifikishwa Machi 2, 2012. Katika Nyaraka hiyo upande wa Jeshi la Polisi alisaini ofisa mmoja wa Polisi aliyejulikana kwa jina la Nestory Tagaya na mdau mwingine kutoka kampuni ya BioLink alikuwa Pierson J.
Taarifa iliyotolewa na PAC hivi karibuni ilionyesha kuwa kampuni ya Lugumi ilingia mkataba na Jeshi la Polisi mwaka 2011, kwa kazi hiyo ya kufunga mitambo hiyo kwenye vituo vya Polisi vya wilaya nchi nzima na kulipwa fedha zote huku kazi ikiwa haijafanyika.
Yaani vituo 14 tu kati ya vyote vile,hii si madharau jamani?,
watumbuliwe wote bila kuangalia nyago ya mtu,
washaniudhi sasa,bilion 34 za burebure wanajichotea tu
*****Yaani vituo 14 tu kati ya vyote vile,hii si madharau jamani?,
watumbuliwe wote bila kuangalia nyago ya mtu,
washaniudhi sasa,bilion 34 za burebure wanajichotea tu
..kama watumishi mbali mbali wanavyosimamishwa, na huyu iwe vivo hivyo apishe uchunguzi!!!!!!!!! Kitwanga! Kitwanga! jinsi nilivyomsikia tangu mwanzo, huyu hazipiti siku nyingi amuangushe Mh. Rais, yaelekea ana makando kando ya kutosha!!!WAZIRI WA MAGUFULI KTK KASHFA YA UFISADI NA POLISI
- Kampuni inayohusishwa naye ya Infosys ilikuwa mkandarasi
Yadaiwa Infosys inamilikiwa na Kitwanga na Mkurugenzi Mkuu NIDA
Ni mdau wa LUGUMI enterprises
Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga atajwa kuhusika na kashfa ya ufisadi katika Jeshi la Polisi ya sh. bilioni 34, imeelezwa.
Kuhusika huko kwa Waziri Kitwanga imekuja siku moja, baada ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali(PAC) kueleza kuwa kuna ufisadi mkubwa kwenye mkataba ulioingia kati ya Jeshi la Polisi Nchini na Kampuni ya Lugumi Enterprises.
Taarifa za kuaminika ilizozipata gazeti hili, zimeeleza kuwa Waziri Kitwanga anahusika kupitia kampuni yake ya Infosys anayomiliki pamoja na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), iliyo chini ya Wizara hiyo hiyo.
Jeshi la Polisi limekumbwa na kashfa kubwa ya manunuzi ya vifaa vya kuhifadhi alama za vidole ambapo Kamati ya PAC imegundua kuwa kampuni ya Lugumi Enterprises haikutekeleza mkataba ipasavyo.
Kampuni hiyo ililipwa sh. bilioni 34 na jeshi la polisi ili kusambaza vifaa hivyo nchi nzima katika vituo 138 vya polisi lakini ni vituo 14 vilivyopata vifaa hivyo.
Gazeti hili limegundua kuwa moja ya kampuni iliyopewa kazi hiyo ni Infsosys ambayo nakala za msajili wa makampuni inaonyesha kuwa inamilikiwa na Charles Kitwanga na Dk. Modestus Francis Kipilimba, ambaye ni Mkurugenzi wa NIDA.
Nyaraka za uchunguzi ikiwemo mkataba kati ya kampuni ya Lugumi na Infosys ambazo gazeti hili imeziona inaonyesha kuwa Kampuni hiyo ya Waziri Kitwanga ilifanya kazi ya kuunganisha internet kati ya vituo vya polisi na mkonga wa taifa.
Kazi ambayo haikufanyika kabisa kwani mpaka sasa ni vituo 14 tu vya polisi viliunganishwa, ambapo baadhi ya taarifa ilizozipata gazeti hili zilionyesha kuwa moja ya taarifa ya ukaguzi inaonekana Marijani Saleh alisaini kufikisha vifaa vya Infosys.
Vifaa hivyo, vinaelezwa vilifikishwa Machi 2, 2012. Katika Nyaraka hiyo upande wa Jeshi la Polisi alisaini ofisa mmoja wa Polisi aliyejulikana kwa jina la Nestory Tagaya na mdau mwingine kutoka kampuni ya BioLink alikuwa Pierson J.
Taarifa iliyotolewa na PAC hivi karibuni ilionyesha kuwa kampuni ya Lugumi ilingia mkataba na Jeshi la Polisi mwaka 2011, kwa kazi hiyo ya kufunga mitambo hiyo kwenye vituo vya Polisi vya wilaya nchi nzima na kulipwa fedha zote huku kazi ikiwa haijafanyika.
Magufuli mweke kando huyo ili TATUKURU wamchunguze.
ningeshangaa kama usingekuja kutetea ma breadwinner wakoNijuavyo mimi infosys ni kampuni ya Ali Mfuruki labda kama aliuza!
Kuna wanasiasa wametajwa kuhusiana na rushwa wiki kadhaa zimepita hatujaona hatua zilizochukuliwa.Kweli wingi wa division 0 n 4 si kwasababu walimu hawafundishi, ni kwasababu mmeamua kuzipata kwa kupindisha mafundisho ya walimu wenu.
Tuhuma zimevumisha hata mwezi bado, ushahidi hata haujapatikana, mmejaa mapovu kumlaumu Magufuli na kuanza kutoa mahitumisho,
Jamani, kuweni na hata kumbukumbu ya yale mliyo elekezwa. ' no evidence no right to speak'.