Charles Kitwanga atajwa kuhusika na kashfa ya ufisadi katika Jeshi la Polisi ya sh. bilioni 34

Charles Kitwanga atajwa kuhusika na kashfa ya ufisadi katika Jeshi la Polisi ya sh. bilioni 34

Status
Not open for further replies.
Watu wamelamba hela na hawakufanya kazi yoyote dah...Zis kantri iz to much corapshen
Hehehe
 
Nchi za watu,ukituhumiwa na kashfa yeyote unajihuzuru kwanza kupisha uchunguz,lkn chin ya ccm,mtuhumiwa ataitisha press conference,atatoa tamko akiwa hotel ya nyota tano,ataendelea na kaz.
 
Napata kuunganisha dots! Wengi wa mawaziri na katibu wakuu wanafanya biashara na serikali na kuuiba juu! Kitwanga ndie atakuwa amemshauri JPM huyo best yake aingie NIDA pale! Amtoe BoT ampe NIDA!
inamana huyo DG wa NIDA alikuwa BOT na ndugu Kitwanga???
 
Yaani watu wote ndani ya ccm ni mafisadi basi kashfa zao bado hatujaziibua tu ila wote ni mafisadi
Mpaka pombe na kashfa ya kuuza nyumba za serikali kwa bei chee
 
Nchi za watu,ukituhumiwa na kashfa yeyote unajihuzuru kwanza kupisha uchunguz,lkn chin ya ccm,mtuhumiwa ataitisha press conference,atatoa tamko akiwa hotel ya nyota tano,ataendelea na kaz.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] nimependa utamadunj huu wa Tz
Hii system imeoza kabisa,kila mtu mwizi na fisadi.
 
Nchi za watu,ukituhumiwa na kashfa yeyote unajihuzuru kwanza kupisha uchunguz,lkn chin ya ccm,mtuhumiwa ataitisha press conference,atatoa tamko akiwa hotel ya nyota tano,ataendelea na kaz.
Ni ajabu sana huu utamaduni wa kujiuzulu Africa ni mtihani.
 
Inawapasa wajiuzulu ili wachunguzwe au wafukuzwe kazi mara moja.
Kitwanga ni waziri mzigo wa Magufuli sawasawa na Kawambwa wa Kikwete?
If so,no sooner than later,MAGUFULI=KIKWETE
 
Ukaribu wa urafik wa karbu sana wa Charlz kitwanga na Magufu ni sawasawa na Mkapa na Simon Mbilinyi enzi zile, tuone yatakuwa kama ya simon mbiliny kuachia ngazi
 
Noma sana ! unajua ni hivi , haiwezekani kuzuia nguvu ya Mungu , maadam ccm ilipangiwa iondoke , basi nina uhakika itang'oka tu .
 
Umbea at work. Guys mchunguze vitu kabla ya kupost hata kuchangia pia. Wengi mnachangia kwa mihemko ili hali mambo yenyewe ni ya uongo. Hii sisi wa siku nyingi tunaijua vyema sana. Ni vita kubwa ya watumbuliwa majipu dhidi ya Mh. Kitwanga na haya yote ni uongo. Kina Day wako busy sasa kupindisha ukweli lakini ukweli wanaujua dhahiri kwamba wametuibia sana. Kitwanga is clean na mnapoteza muda. Infosys keshagajitoa miaka nenda Rudi sasa haya ya leo mmeyatia wapi kama Si kukurupuka bila kuwa na ushahidi?
 
Charles Kitwanga naamini kabisa uwaziri kapewa pewa tu kulinda uozo fulanifulani lakini hana sifa hata ya kuwa mwenyekiti wa kijiji.
Hapana siyo kweli, napingana na wewe sifa anazo. Hili jambo limemkuta njiani tu maana ni deal la siku nyingi nafikri ndo alikuwa na mwaka tu tangu awe mbunge! Swala la kujiuliza hapa ni kwamba kwenye fomu za maadili ya viongozi ameitaja hii kampuni? Kama hajaitaja kutakuwa hakuna maana, Magufuli afukuze mawaziri wote tuanze upya na hapa achukue wananchi nje kabisa ya bunge maana bunge lote limeoza hawezi kupata msafi huko!
 
Yaani vituo 14 tu kati ya vyote vile,hii si madharau jamani?,
watumbuliwe wote bila kuangalia nyago ya mtu,

washaniudhi sasa,bilion 34 za burebure wanajichotea tu
Pumbavvv imba ccm yajenga nchiiii! Nyie si ndo wapiga mbinja wakubwa wa ccm? Nini tena?
 
Soma post zote kisha jibu hoja

Umbea at work. Guys mchunguze vitu kabla ya kupost hata kuchangia pia. Wengi mnachangia kwa mihemko ili hali mambo yenyewe ni ya uongo. Hii sisi wa siku nyingi tunaijua vyema sana. Ni vita kubwa ya watumbuliwa majipu dhidi ya Mh. Kitwanga na haya yote ni uongo. Kina Day wako busy sasa kupindisha ukweli lakini ukweli wanaujua dhahiri kwamba wametuibia sana. Kitwanga is clean na mnapoteza muda. Infosys keshagajitoa miaka nenda Rudi sasa haya ya leo mmeyatia wapi kama Si kukurupuka bila kuwa na ushahidi?
 
Umbea at work. Guys mchunguze vitu kabla ya kupost hata kuchangia pia. Wengi mnachangia kwa mihemko ili hali mambo yenyewe ni ya uongo. Hii sisi wa siku nyingi tunaijua vyema sana. Ni vita kubwa ya watumbuliwa majipu dhidi ya Mh. Kitwanga na haya yote ni uongo. Kina Day wako busy sasa kupindisha ukweli lakini ukweli wanaujua dhahiri kwamba wametuibia sana. Kitwanga is clean na mnapoteza muda. Infosys keshagajitoa miaka nenda Rudi sasa haya ya leo mmeyatia wapi kama Si kukurupuka bila kuwa na ushahidi?
kamati ya bbunge imechunguza unasema umbea??? Ww si bure inabidi upelekwe mirembe
 
Natafakari...
1. Charles Kitwanga ni msiri wa Dr.Magufuli na ndiye aliyeonekana katika video clip moja akimshauri Dr Magufuli "achukue fomu". Kweli Dr.Magufuli "alichukua fomu".
2. Mara ghafla anateuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, moja ya Wizara nyeti kabisa - maana inahusika na Usalama wa Raia na hata "Ujambazi" pia mara moja-moja.
3.Halaf muda si mrefu Mkurugenzi Mkuu wa NIDA anafukuzwa kazi na fasta-fasta anatafutwa mtu mmoja aitwaye Dr.Kipilimba na kuteuliwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa NIDA - na inatangazwa kwamba mikataba yote ya NIDA ivunjwe;huyu Mkurugenzi Mkuu mpya wa NIDA ni business partner wa Waziri wa Mambo ya Ndani - Wizara ambayo ndo ina jukumu la kuratibu mradi wa Vitambulisho vya Taifa...
4. Charles Kitwanga na Dr.Kipilimba wote wamepata kufanya kazi pamoja BOT.

Ninachokiona:
Charles Kitwanga amemweka Dr. Magufuli mfukoni na Dr Magufuli hakika hafurukuti...hapa umetengenezwa mtandao wa kupiga pesa za serikali kwenye miradi yote inayohusiana na teknolojia ya habari na mawasiliano, na hasa ile inayohusu taasisi zinazosimamiwa na Wizara ya Mambo ya Ndani.

Najiuliza...
Na hakika hapa najiuliza tu...how clean is Dr Magufuli?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom