Charles Kitwanga atajwa kuhusika na kashfa ya ufisadi katika Jeshi la Polisi ya sh. bilioni 34

Status
Not open for further replies.
Hao hawawezi kuhuswa
1 kwa dini yao
2 kwa uwezo wao
3 kiburi chao
4 mvinyo ndio ule ule
 
Hakuna kuficha
Kilakitu wazi
Unafiki pembeni
Wasemwe tu
Maana Tunaitaji Tanzania mpya
 
Ukibainika una jipu basi jiandae kutumbuliwa tu na sio kufungwa bandeji ili lisionekane

Charles Kitwanga
Modestus kapilimbi

Kama wamehusika ktk kashfa hiyo sheria itawaangazia tu
 
Anaogopa maana akianza kubadili mawaziri leo hadi maiaka mitano atakuwa amebadili zaidi ya mara laki kidogo kwa tanzania ilipokuwa imefikishwa
 
Huku Lowassa hausiki.....??????You will one day utajuwa Lowassa siyo fisadi na tuliaminishwa hivyo ili tusiwajuwe mafisadi halisi.
 
Ndg.kwanza fanya marekebisho yafuatayo kwenye hoja yako:-

1. Rais siyo Rahisi.

2. Majipu yaliyoiva siyo hiva.

3. Hamna lolote siyo amna lolote.

4. Magazeti aliyotumia siyo haliyotumia,

5. Mbiguni hesabu siyo esabu.
Jibu hoja acha wenge
 
David Cameron is genius politician and he knows how to play with British minds. Suala la Panama Ni dogo kwake kuliruka ukizingatia kuwa yote yamefanyika akiwa nje ya system. Cameron anaijua vizuri chama chake cha conservative zaidi ya Brown anavyoijua Labour . Hivi unategemea jembe Kama KGB PUTIN ajiuzulu kisa zile nyaraka za Panama ? Hiyo itakuwa sawa Na kusubiri mabasi ya Zanzibar hapo Kivukoni Feri.


Hivi David Cameroon atajiuzuru
 
unajipoza machungu.

Nawakumbusha wanafiki kama wewe wanaodhani Rushwa na wizi upo ccm tu wakati malalamiko hayo yapo mpaka kwny Vyama vya Upinzani, Misikitini, Makanisani, Saccos na kwny Vicoba. Unafiki ni mbaya sawa na Rushwa.
 
Nafikir wote hatujui lilo chini ya kapeti, kwani aliyetoa kazi aliwahi kulalamika kuhusu kutokamilika kwa mradi? Usishangae aliyetoa kazi ndiye alisimamisha mradi kwa maelekezo mahalum
 
Ngoja nikanunue kisimbuzi cha azam,tayari kabisa kwa ajili ya kusubiria bunge letu tukufu
 


acha kutetea maovu na kuwasafisha wahalifu...
 
Yetu macho na masikio. Kumpata mtu safi kwenye system ya Ccm ni sawa na kutaka mwanamume abebe ujauzito.
hahahah kamanda umenichekesha. lakini niulize ni chama gani ambacho unaweza kupata system yao yote ni safi hapa Tanzania na hata dunia nzima. ndio maana zipo sheria kali kwa wabadhirifu wote. hakun, binadamu aliye perfect hujui. hata wewe kuna sehemu tu lazima una weakness zako na labda umeshawahi kulamba bingo sehemu sehemu. ni malaika tu ndio wapo perfect ,hakuna cha ccm, chadema, cuf, nccr, act na vingevyo. kila mtu anahangaikia mkono uende kinywani. blabla za siasa kutudanganya tu
 
Hii nchi kwakweli kujakutengemaa sijui?maana wanakuchekea na ukaamini wanachapa kazi ndo wanaokung'ong'a,ukute hiyo kampuni inamikono mingi MIKUBWA bilion 34 si mchezo,huyu cheupe aliyeoko now msonga katuaribia kweli nae analijua hili.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…