Ndugu yangu TANZANIA mnatengeneza ENGINE na VIPURI VYA MELI ? Sababu hicho KIVUKO asilimia kubwa kinakwenda kubadilishwa ENGINE nakuwekwa ENGINE MPYA na baadhi ya vipuri vingine sasa hiyo BILLION 10 itabaki vipi TANZANIA . ....MAYBE MISHAHARA ya wafanya kazi.Unafananisha 10b itakayobaki nchini na 7b utakayompelekea nyang'au.......tumia akili kidogo tu.
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Zamani wa Tanzania, Charles Kitwanga amesema “Tunachukua kivuko chetu, sijali kama ilinunuliwa kwa Bilioni 8 na inaendwa kutengenezwa kwa bilioni 7.5, tunashindwaje kuitengeneza sisi Watanzania hadi kupeleka Kenya.
“Tuangalie nani yupo nyuma wa huo mpango, inanipa usumbufu wa mawazo. Sikubaliani na suala la kuipeleka Kenya, niwaambieni hata mkitaka kuiba ibeni kisha muwekeze Tanzania ili wapate kazi”
Chanzo: Dar24
Kitwanga anatingisha mzinga tu ili nae alambishwe asali tena! Mtaani kugumu asikwambie Mtu!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Ngoma ngumu kwa ma Bushi Stars, majembe yetu mengi kama Musukuma, Bajaji, walihama timu pale team captain Pombe alipofariki. Bungeni kabaki Mpina na Bashiru ndio wanapambana na Madenge wa Nishati na Lodi Lofa wa Msoga. Juzi juzi naona kiungo Kitwanga karudi kambini kwa Ma Bushi Stars. Lakini bado.Kwani Mpina na February wanasemaje kwenye hili?!
Bush stars vs Town stars….nani zaidi….ngoja tuone
Tabia halisi za wazalendo waliopo ndani ya CCM zinabadilika tu kutoka awamu moja ya uongozi kwenda nyingine. Lakini ukweli ni kuwa wote ni kama vile ukoo wa kambale, wana sifa moja ya kuwa na sharubu.Waziri wa Mambo ya Ndani wa Zamani wa Tanzania, Charles Kitwanga amesema “Tunachukua kivuko chetu, sijali kama ilinunuliwa kwa Bilioni 8 na inaendwa kutengenezwa kwa bilioni 7.5, tunashindwaje kuitengeneza sisi Watanzania hadi kupeleka Kenya.
“Tuangalie nani yupo nyuma wa huo mpango, inanipa usumbufu wa mawazo. Sikubaliani na suala la kuipeleka Kenya, niwaambieni hata mkitaka kuiba ibeni kisha muwekeze Tanzania ili wapate kazi”
Chanzo: Dar24
Hana lolote mshamba tuuu mbona pesa ya plea bargain imeenda china Kwa Tz hakuna benk??Kitwanga siku zote ni mtu smart sana
Mengine ni madhaifu yake
MkuuWangeendelea na bargaining Hadi wakakubaliana.
All in all uamuzi wa kuvuka mpaka haikubaliki.
Msilazimishe mambo ikiwa hamna uwezo mwishowe mzamishe watu pale kivukoni.Mafundi wa TEMESA na wakandarasi waliopo nchini hawana akili ya kufanya maintenance ya hicho kivuko cha kizamani? nakubaliana na Kitwanga kwenye hili.....
kumbuka kuwa umetoa tenda na umeruhusu makampuni kushindana,hivyo yuke mwenye ofa nzuri ndio anashinda bila kujali anatoka wapi,pia mkumbuke na sisi kule mombasa rostam kapewa tenda ya kujenga kituo cha gesiMafundi wa TEMESA na wakandarasi waliopo nchini hawana akili ya kufanya maintenance ya hicho kivuko cha kizamani? nakubaliana na Kitwanga kwenye hili.....
Jambo flani ndio nini?.Anatikisa tu kibiriti
Mbona wakati wa mwendazake hakuna mtu aliyekuwa anatokea hadharani na kukemea au kosoa
Jambo fulani
Ova
Stupid nonsense!.Amechukia kwanini hawakupewa wale sangara? Hii inathibitisha walikula sana enzi yao, wawe wapole tu sasa, wao ndio waliiba sana tena sanaaaaa
Wezi wakubwa, mirija imekata na kufungwa na kufungwa wanatapatapa
Kuna hoja hapa sema ccm ni viziwi na vipofuYaani wanajaribu kupingana na Magu mtangulizi ktk Kila jambo hata kama ni zuri Kwa maslah ya nchi.
Magu alisisitiza Uzalendo, wao wanafanya tofauti,
Uliona wapi pesa za walipakodi wa US zipelekwe Urusi Kwa njia ya maintainance[emoji854][emoji854][emoji854]
USALAMA wa Nchi umezingatiwa? Ndomana mtu kama Kitwanga ametoka kupiga kelele.
Mshindani wetu kiuchumi na kiusalama awezaje kuruhusiwa kuingia bedroom Ili kufix nuts za kitanda tunacholalia?
Wanaotakiwa kuwasemea watanzania ni wabunge kule kwenye Nyumba! Ambapo PM anakuewepo na mawaziri! Kwa Bahati mbaya wanatokana na hao hao wapigaji! Yakisemwa huku nje Mara nyingi yanapuuzwa na wale was chama chako wanaita uzushi!Basi Tu mambo mengine Yanauma
Na wakutusemea Watanzania wapo busy Kupambana najina la Marehemu
Lakini unawajua waliotengeneza meli Kuwa Sio wao TEMESA?.Sasa kama wanaweza kutengeneza meli, kivuko ndio kiwashinde?
Uwizi mwingine unatia aibu walahi[emoji35]
Songoro marine iko wapi?Sasa wa kazi gani na wanalipwa..je wameshindwa kufanya collaboration na baadhi ya wataalam badala ya kupeleka kivuko chote nje?
Zamani hatukujua kama meli inaweza kujengwa hata tanzania. Ila awamu ya tano tumeona maajabu mengi mno. Yote yanawezekana kumbe tanzania ila ni utashi wa aliyepo juu tu.
Ikitokea hapa kwetu, huko kwingine ndo hapatakalika,Mkuu
Nimekuja tangu jana huku mwanza, AISEH nimecheki MJI nikakumbuka ule unabii nikatamani nipande Bas nirudi HARAKA Sana!!
Hii milima milima hii ikitokea nowhere to run hakuna atakae pona AISEH!
Miaka zaidi ya sitini ya uhuru unazungumzia watu kukosa uwezo, yaani unahitaji akili kiasi gani kukarabati kivuko cha kizamani, labda utwambie hicho kivuko kinatumia teknolojia gani ya kisasa kisiweze kukarabatiwa hata na mafundi wa VETA........acheni akili mgando hizi.Msilazimishe mambo ikiwa hamna uwezo mwishowe mzamishe watu pale kivukoni.
MwenyeweStupid nonsense!.
Hao ni kina KIGOGO na wazazi wao.Basi Tu mambo mengine Yanauma
Na wakutusemea Watanzania wapo busy Kupambana najina la Marehemu