Charles Kitwanga: Inanichekesha kuona kivuko chetu kinapelekwa Kenya kutengenezwa

Charles Kitwanga: Inanichekesha kuona kivuko chetu kinapelekwa Kenya kutengenezwa

Unafananisha 10b itakayobaki nchini na 7b utakayompelekea nyang'au.......tumia akili kidogo tu.
Ndugu yangu TANZANIA mnatengeneza ENGINE na VIPURI VYA MELI ? Sababu hicho KIVUKO asilimia kubwa kinakwenda kubadilishwa ENGINE nakuwekwa ENGINE MPYA na baadhi ya vipuri vingine sasa hiyo BILLION 10 itabaki vipi TANZANIA . ....MAYBE MISHAHARA ya wafanya kazi.

Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
 
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Zamani wa Tanzania, Charles Kitwanga amesema “Tunachukua kivuko chetu, sijali kama ilinunuliwa kwa Bilioni 8 na inaendwa kutengenezwa kwa bilioni 7.5, tunashindwaje kuitengeneza sisi Watanzania hadi kupeleka Kenya.

“Tuangalie nani yupo nyuma wa huo mpango, inanipa usumbufu wa mawazo. Sikubaliani na suala la kuipeleka Kenya, niwaambieni hata mkitaka kuiba ibeni kisha muwekeze Tanzania ili wapate kazi”

Chanzo: Dar24

Ila hii ichi daaah kwa hesabu tu kama hizo kama ni kweli si hatari hii wakuu? Tofauti na bei yakununia ni ndogo sana
 
Kwani Mpina na February wanasemaje kwenye hili?!

Bush stars vs Town stars….nani zaidi….ngoja tuone
Ngoma ngumu kwa ma Bushi Stars, majembe yetu mengi kama Musukuma, Bajaji, walihama timu pale team captain Pombe alipofariki. Bungeni kabaki Mpina na Bashiru ndio wanapambana na Madenge wa Nishati na Lodi Lofa wa Msoga. Juzi juzi naona kiungo Kitwanga karudi kambini kwa Ma Bushi Stars. Lakini bado.
 
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Zamani wa Tanzania, Charles Kitwanga amesema “Tunachukua kivuko chetu, sijali kama ilinunuliwa kwa Bilioni 8 na inaendwa kutengenezwa kwa bilioni 7.5, tunashindwaje kuitengeneza sisi Watanzania hadi kupeleka Kenya.

“Tuangalie nani yupo nyuma wa huo mpango, inanipa usumbufu wa mawazo. Sikubaliani na suala la kuipeleka Kenya, niwaambieni hata mkitaka kuiba ibeni kisha muwekeze Tanzania ili wapate kazi”

Chanzo: Dar24
Tabia halisi za wazalendo waliopo ndani ya CCM zinabadilika tu kutoka awamu moja ya uongozi kwenda nyingine. Lakini ukweli ni kuwa wote ni kama vile ukoo wa kambale, wana sifa moja ya kuwa na sharubu.
 
Mbona,pesa ya plea bargain imeenda china?? Kwan Tz Haina benk?
 
Wangeendelea na bargaining Hadi wakakubaliana.

All in all uamuzi wa kuvuka mpaka haikubaliki.
Mkuu

Nimekuja tangu jana huku mwanza, AISEH nimecheki MJI nikakumbuka ule unabii nikatamani nipande Bas nirudi HARAKA Sana!!

Hii milima milima hii ikitokea nowhere to run hakuna atakae pona AISEH!
 
Mafundi wa TEMESA na wakandarasi waliopo nchini hawana akili ya kufanya maintenance ya hicho kivuko cha kizamani? nakubaliana na Kitwanga kwenye hili.....
Msilazimishe mambo ikiwa hamna uwezo mwishowe mzamishe watu pale kivukoni.
 
Mafundi wa TEMESA na wakandarasi waliopo nchini hawana akili ya kufanya maintenance ya hicho kivuko cha kizamani? nakubaliana na Kitwanga kwenye hili.....
kumbuka kuwa umetoa tenda na umeruhusu makampuni kushindana,hivyo yuke mwenye ofa nzuri ndio anashinda bila kujali anatoka wapi,pia mkumbuke na sisi kule mombasa rostam kapewa tenda ya kujenga kituo cha gesi
 
Amechukia kwanini hawakupewa wale sangara? Hii inathibitisha walikula sana enzi yao, wawe wapole tu sasa, wao ndio waliiba sana tena sanaaaaa
Wezi wakubwa, mirija imekata na kufungwa na kufungwa wanatapatapa
Stupid nonsense!.
 
Yaani wanajaribu kupingana na Magu mtangulizi ktk Kila jambo hata kama ni zuri Kwa maslah ya nchi.

Magu alisisitiza Uzalendo, wao wanafanya tofauti,

Uliona wapi pesa za walipakodi wa US zipelekwe Urusi Kwa njia ya maintainance[emoji854][emoji854][emoji854]

USALAMA wa Nchi umezingatiwa? Ndomana mtu kama Kitwanga ametoka kupiga kelele.

Mshindani wetu kiuchumi na kiusalama awezaje kuruhusiwa kuingia bedroom Ili kufix nuts za kitanda tunacholalia?
Kuna hoja hapa sema ccm ni viziwi na vipofu
 
Basi Tu mambo mengine Yanauma
Na wakutusemea Watanzania wapo busy Kupambana najina la Marehemu
Wanaotakiwa kuwasemea watanzania ni wabunge kule kwenye Nyumba! Ambapo PM anakuewepo na mawaziri! Kwa Bahati mbaya wanatokana na hao hao wapigaji! Yakisemwa huku nje Mara nyingi yanapuuzwa na wale was chama chako wanaita uzushi!
Kwa maana Hiyo Basi Ni vyema kuwalaumu wale wanaofanya vikao vya kamati kuu ya chama kwa mwamvuli wa Jina la bunge na kupiga piga meza kwa kila Jambo huku wakiunga mkono kila hoja na kuipigia magoti na kuishukuru badala ya kuisimamia!

Na Huyo Marehemu ndio chanzo Cha haya yote tunayopitia baada ya kupora uchaguzi na kufanya Bunge liwe rubebr stamp ya kile alichodhani yeye Ni sahihi! Alisema mwenyewe uwashughulikie huko Bungeni kwanza wakija huku hawana Kinga nitawashughulikia! Hakupenda kukosolewa na hao wanaofanya hayo Ni zao lake na wameishi katika utamaduni huo!

Tatizo Ni kwamba unaacha kupambana na tatizo pamoja na mleta tatizo unaanza kuwasimanga na kuwalaumu watu wengine ambao hata kauli zao haziwezi kubadili maamuzi yaliyokwisha fanyika!
 
Sasa wa kazi gani na wanalipwa..je wameshindwa kufanya collaboration na baadhi ya wataalam badala ya kupeleka kivuko chote nje?

Zamani hatukujua kama meli inaweza kujengwa hata tanzania. Ila awamu ya tano tumeona maajabu mengi mno. Yote yanawezekana kumbe tanzania ila ni utashi wa aliyepo juu tu.
Songoro marine iko wapi?
 
Mkuu

Nimekuja tangu jana huku mwanza, AISEH nimecheki MJI nikakumbuka ule unabii nikatamani nipande Bas nirudi HARAKA Sana!!

Hii milima milima hii ikitokea nowhere to run hakuna atakae pona AISEH!
Ikitokea hapa kwetu, huko kwingine ndo hapatakalika,

Muhimu ni maombi tu, tuendelee na TOBA Kwa Nchi, viongozi na Kwa watu wa Mungu mmoja mmoja wanaotambulika kama KANISA.
 
Msilazimishe mambo ikiwa hamna uwezo mwishowe mzamishe watu pale kivukoni.
Miaka zaidi ya sitini ya uhuru unazungumzia watu kukosa uwezo, yaani unahitaji akili kiasi gani kukarabati kivuko cha kizamani, labda utwambie hicho kivuko kinatumia teknolojia gani ya kisasa kisiweze kukarabatiwa hata na mafundi wa VETA........acheni akili mgando hizi.
 
Back
Top Bottom