Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
- Thread starter
- #101
Ikiwa unajenga uadui na kuumizwa na mitazamo au maoni ya watu wengine basi wewe ni dikteta hatari sana, yaaani unamchukia mtu kwa sababu ya Mitazamo na maoni yake?
Sasa wale mashangazi zenu wanataka wanataka wajadiliane twitter na watu wanaowashangilia tu, ukiwakosoa BLOCK!
Sasa wale mashangazi zenu wanataka wanataka wajadiliane twitter na watu wanaowashangilia tu, ukiwakosoa BLOCK!
Usiwe punguani kwani mtu akiwa Chadema akifanya jambo la kitaifa nimchukie? Mfalme wako Mbowe, alimleta Lowassa akampa na nafasi ya kugombea urais, unadhani mimi na akili mandanzi kama wewe.Huna unalojua.... Hyu Odero ni CHADEMA tokea akiwa bachelors pale SAUT. Kiri basi kuwa CHADEMA ina watu serious maana unayemsifia ni CHADEMA kindaki ndaki tokea CHASO!